Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Sidhani hata kama unaelewa unachoshangilia siyo kosa lako!
!
Safi sana mwendesha mashtaka na mahakama. Mpaka wakome hao.
Sidhani hata kama unaelewa unachoshangilia siyo kosa lako
!
!
Safi sana mwendesha mashtaka na mahakama. Mpaka wakome hao.
Selikali=serikali!
!
haina jinsi mkuu . Usipowasifia unakuwa mchochezi. Sasa ngojea tuwasifu tu. Taarifa zilizonijia ndotoni ni kwamba selikali itapeleka muswada bungeni ili kupongezwa kwa selikali na vyombo vyake kutambuliwe kisheria na kukosolewa kupigwe marufuku kabisa.
Usisahau kuwa hii ni selikali ya viwanda
Selikali=serikali
Rudi shule kwanza unasumbua humu jf
Utafikwa na laanaSafi kabisa tena huko lumande wasikae bure wahakikishe wanafanya kazi usiku mchana ili tabia zao sa kisomali zikome...hawa ndo walikuwa wanawadharau mawakili wa government sasa naona wanaisoma namba
Sijui Na Mie Nipongeze?!
!
Safi sana mwendesha mashtaka na mahakama. Mpaka wakome hao.
Sijui Na Mie Nipongeze?
Yule rais mstaafu hakukosea...nchi hii ina Malofa wengi sanaaa...
Kwa uandishi huu...sidhani kama umemaliza kidato cha 4!
!
huenda nikawa na shule kubwa kukuzidi mkuu.
Ni jambo la aibu kumnyima dhamana mtuhumiwa.Mahakama ya Wilaya ya Rombo yawanyima dhamana MADIWANI 3 wa CHADEMA na mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo mpaka tarehe 05/09/2016. Hii ni baada ya Afisa Upelelezi wa Wilaya kuwasilisha mahakamani hati ya maombi ya zuio la dhamana kwa washtakiwa.
Madiwani hao ni:
1. Nicholous B. Kimario - Diwani na Mkt H/W
2. David M. Tarimo - Diwani kata ya Kingachi.
3. Anisia Amede - Diwani Viti Maalum.
4. Mjumbe mmoja wa serikali ya Kijiji cha Kirongo.
Kwa uandishi huu...sidhani kama umemaliza kidato cha 4