Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Baby!aibu naona mimi
Sisi tukatafute ugali wetu wakila sikukwa iyo sisi wananchi tufanyaje sasa?
baby ...Baby!
Pona basi, here i am.baby ...
muda mwingi hatujaongea hadi naumwa
Siyo wa Mara huyo ni wa koromijehao ndio wanatakiwa waanze kupimwa tezi dume tena kwa Jifinga la mwanaume wa Mara
huyo jamaa simkubali kabisa kama choko fulani hivi hata mambo yake ya ajabu ajabu hiviRommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu.
Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa amesuka nywele kwa mtindo huo.
Kauli ya Rommy imeibua maswali mengi sana kwa wadau mbalimbali wengine wakimuunga mkono wazo lake huku wengine wakimkandia vibaya sana.
View attachment 768035