Rommy Jones kusuka twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Rommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu.

Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa amesuka nywele kwa mtindo huo.

Kauli ya Rommy imeibua maswali mengi sana kwa wadau mbalimbali wengine wakimuunga mkono wazo lake huku wengine wakimkandia vibaya sana.

IMG_20180506_170834_748.jpg
 
Katiba Inaruhusu ngoja afanye anavyotaka hata kama anataka kuwa Wema awe tu.
 
mambo ya wana dar hao,, wenyewe wanakwambia the hustle is real welkamu
 
Sio ajabu maana nae ni mwanaume wa dar
 
Sasa kusuka nywele ndio habari? Embu nikaangalie zangu El classico mie.
 
Rommy Jones amuahidi Wema Sepetu kwamba na yeye ataenda kusuka nywele mtindo wa twende kilioni ili afanane na Wema Sepetu.

Uamuzi huo wa Rommy Jones umekuja mara baada ya Wema kupost picha akiwa amesuka nywele kwa mtindo huo.

Kauli ya Rommy imeibua maswali mengi sana kwa wadau mbalimbali wengine wakimuunga mkono wazo lake huku wengine wakimkandia vibaya sana.

View attachment 768035
huyo jamaa simkubali kabisa kama choko fulani hivi hata mambo yake ya ajabu ajabu hivi
 
Back
Top Bottom