Ronadihno vs Okocha nani alikuwa zaidi?

Nilimchukia okocha kombe la dunia 98 kati ya Nigeria ns denimark alicheza kutaka sifa binafsi badala ya kusaidia timu matokeo yake wakafungwa nne tofauti ns kina Sunday olisa walijitolea kea timu yeye madoido yasiyo na maana gaucho ni zaidi

Hilo ndio tatizo kubwa hasa la fundi okocha.
 





Zinedine alikuwa mashine bwana, na katika 5 bora ya greatest football player of all time yumo, wakati gaucho hayumo...

JUVENTUS, ZIDANE

Serie A: 1996–97, 1997–98

Supercoppa Italiana: 1997

UEFA Super Cup: 1996

Intercontinental Cup: 1996

UEFA Intertoto Cup: 1999


REAL MADRID, ZIDANE

La Liga: 2002–03

Supercopa de España: 2001, 2003

UEFA Champions League: 2001–02

UEFA Super Cup: 2002


BARCELONA, GAUCHO

La Liga: 2004–05, 2005–06[210]

Supercopa de España: 2005, 2006[211]

UEFA Champions League: 2005–06[212]

MILAN.... Baada ya ujio wa MESSI pale nou camp jamaa akatimuliwa ama kufukuzwa kabisa akakimbilia ac milan, huko kilichompeleka ni kuongeza idadi ya kombe kupitia migongo ya akina Antonio di Natale, inzaghi, Seardof n.k...na wala hakua na msaada wowote basi tu wabongo kwa kukariri tu hawajambo....alikuwa overrated sana na ndio chanzo cha kufukuzwa Barcelona....

Serie A: 2010–11


Huyu ndiye Antonio di Natale akiwa na Ac milan, alitisha 👇


Individual, ANTONIO
 
Kuna moja akiwa EPl alikuwa anapiga chenga mabeki ndani ya Sita....huo Ni ujuha .Hakuna Meneja mwenye kiu ya kufanikiwa ,akakubali upuuzi huo!
Okocha alikuwa Kama yule dada anayejua kucheza na mpira lakini Nina uhakika hata timu Hana!
 
Kingine zidane ana hasira za haraka kuna mech alipewa kadi nyekundu mfano france na saud Arabia 1998 ya pili fainali france na italy 2006.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingine zidane ana hasira za haraka kuna mech alipewa kadi nyekundu mfano france na saud Arabia 1998 ya pili fainali france na italy 2006.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli.
Worldcup 1998 zidane alicheza mechi mbili za makundi, mechi ya pili akala red card hivyo akakosa mechi ya tatu ya makundi na mechi ya 16 Bora dhidi ya Paraguay. Hivyo zidane alicheza na Italy(giant) robo fainali (hapa aling'ara sana), nusu against croatia(alicheza kawaida sana) na fainali against Brazil (hapa alicheza mpira wa sayari nyingine?
Euro 2000 kama unakumbuka zidane hakucheza vizuri kwenye makundi mpaka France walimaliza washindi wa pili nyuma ya Holland. Robo wakakutana na Spain ya akina Raul na Guardiola (zidane alisimamisha dunia), nusu fainali akakutana na ureno ya figo( moja ya mechi bora zidane alizowahi kuperform) fainali akakutana na Italy.aliperform vizuri sana.
Worldcup 2002 France waliishia makundi.
Euro 2004 france mechi ya kwanza akaanza na England (giant).mechi ikaisha kwa France kushinda 2-1 magoli ya france yote akifunga zidane.ila zidane alishindwa robo fainali na Greece(small ) na kutolewa
World cup 2006 .mechi ya kwanza na South Korea draw( first yellow card). Ya pili na uswisi draw (second yellow card).mechi ya tatu akawa suspended against Togo.ufaransa akashinda.uliibuka mjadala mkubwa sana nchini ufaransa kwamba mechi mbili za kwanza zidane ndie alikuwa anaiangusha timu hivyo mechi ya 16 Bora na Spain asipangwe. Kocha akasema siwezi kucheza na Xavi, Iniesta, Fabregas na Alonso katikati bila Zidane wataniua.kumbuka may Xavi na Iniesta walitoka kuchukua UCL na Barca, Fabregas ametoka kucheza fainali ya UCL na Barca na Alonso mwaka mmoja uliopita aliwapa ubingwa liverpool wa UCL dhidi ya Ac Milan.hivyo Spain walikuwa na viungo waliokuwa kwenye fomu balaa kwahiyo france walilazimika kumpanga zidane.
Kilichofuata France 3-1 Spain.goli la tatu anafunga Zidane.
Robo fainali na Brazil anatoa assist kwa Henry
Nusu na Ureno anafunga goli moja Zidane.
Fainali France anafungwa na zidane anastaafu.
Conclusion:
Linapokuja suala la big match sijawahi kumuona mchezaji wa level ya Zidane.




Sent using Jamii Forums mobile app
 


Alafu anakuja shabiki wa tandale kwa mtogolo anathubutu kumlinganisha gaucho na hiyo mashine Zinedine zizzou...gaucho hata katika The 5 greatest football players of all time hayumo 😀
 
sitakaa nisahau ile mechi..iliniuma ki k eroo...tulikua tunawategemea halafu yule k akacheza kama kapewa hela
Nilimchukia okocha kombe la dunia 98 kati ya Nigeria ns denimark alicheza kutaka sifa binafsi badala ya kusaidia timu matokeo yake wakafungwa nne tofauti ns kina Sunday olisa walijitolea kea timu yeye madoido yasiyo na maana gaucho ni zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…