Ronald Opus death: Kifo chenye utata mkubwa kuwahi kutokea

Ronald Opus death: Kifo chenye utata mkubwa kuwahi kutokea

The person often meets his destiny on the road he took to avoid it...
 
Jukwaa la intelligence linazidi kuboreka kwa kuleta vitu kama hivi.Kazi nzuri
 
Mkuu shukrani kinitag,hapa ingekuwa kweli sijui ningeelewaje,yaani mtu kamtegea mama yake kwa kuweka risasi kwenye bunduki ya baba yake ili baba yake akimtishia tena mama yake afe kweli,na inaonesha alisubiri tukio litokee akashindwa kuvumilia akajirusha afe,bila yeye kujua muda huo ugumvi wa wazazi ukazuka sasa utata spidi ya kuanguka na muda lisasi ilipotoka akutane nayo kikawaida hii haielezeki bana.ila inafikirisha sana
 
Back
Top Bottom