Ronald Opus death: Kifo chenye utata mkubwa kuwahi kutokea

Najaribu tu kutafakari hii coincidence na tena risasi ilenge kichwa...aisee!!
 
Mkuu nashukuru sana kwa kunitag fanya hivyo mara nyingine tena ukiwa na story bora kama hizi.

Mungu akubariki
 
Marehemu alijiandalia kifo chake mwenyewe!
 
Mtoto alijilusha kutoka gorofa ya 10
Risasi ilitoka ktk gorofa namba 9..

Daah sijui vip vip zilikutana kichwa na risasi??

Japo inawezekana lkn ngumu kumeza

Mkuu nazid kukusoma.vema thanks kwa story zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…