Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Dinho ni mkali zaidi ya Messi, nadhani kwa miaka 20 iliyopita(1992-2012) wa kumlinganisha na Dinho ni Zizzou peke yake na sio huyu mtumia HGH.
Nakubalian na Elizabeth Dominic kwamba LM anabebwa sana na vyombo vya habari.
LM ana mkataba wa udhamini na Adidas, ambao wana mkataba pia na FIFA, kwa hiyo Adidas wanahakikisha wanatoa mchezaji bora ili kukuza biashara yao. Kwa sasa FIFA ya Blatter iko extremely corrupt. Kwa hiyo wachezaji wanaodhaminiwa na Nike, Puma na Reebok kushinda tuzo itakuwa sio rahisi.
Akili zako zimekuwa za Kitanzania mpaka zimepitiliza. Puma na Addidas wanaweza kuwa na mkataba na Messi au Blatter (kama ulivyoelekezwa na shangazi yako) lkn umewahi kujiuliza kura zinapigwa na watu wangapi na hao watu ni kina nani? Makocha, manahodha wa timu za taifa, waandishi wa habari hao woote wanahongwa na Addidass? Kweli akili nzuri ukiwa nazo.
Msipende ubishi wa kijingajinga na kitoto wa fulani kahongwa, hakuna mwanaume wa kumuhonga Arsene Wenger kutoa kura yake kwa Messi. By the way, makocha karibu mia tano wanaweza kuhongwa wote?
Ungekuwa na akili basi ungemlinganisha Zidane na Messi na sio Zidane na Ronaldinho. Zidane kachukua mara 3, Messi 4, Gaucho only twice. Kwanza kwa taarifa yako, Ronaldo de Lima 'The phenomenon boy' amekipiga zaidi ya Gaucho. Sema wengi mlikuwa hamjaja mjini. Nimewawekea hata chati ya wachezaji bora wa Brazil, Gaucho hayumo kabisaaaaa kati ya 20