Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona


Akili zako zimekuwa za Kitanzania mpaka zimepitiliza. Puma na Addidas wanaweza kuwa na mkataba na Messi au Blatter (kama ulivyoelekezwa na shangazi yako) lkn umewahi kujiuliza kura zinapigwa na watu wangapi na hao watu ni kina nani? Makocha, manahodha wa timu za taifa, waandishi wa habari hao woote wanahongwa na Addidass? Kweli akili nzuri ukiwa nazo.

Msipende ubishi wa kijingajinga na kitoto wa fulani kahongwa, hakuna mwanaume wa kumuhonga Arsene Wenger kutoa kura yake kwa Messi. By the way, makocha karibu mia tano wanaweza kuhongwa wote?

Ungekuwa na akili basi ungemlinganisha Zidane na Messi na sio Zidane na Ronaldinho. Zidane kachukua mara 3, Messi 4, Gaucho only twice. Kwanza kwa taarifa yako, Ronaldo de Lima 'The phenomenon boy' amekipiga zaidi ya Gaucho. Sema wengi mlikuwa hamjaja mjini. Nimewawekea hata chati ya wachezaji bora wa Brazil, Gaucho hayumo kabisaaaaa kati ya 20
 

Era yake itapita ikiwa tayari imeandika rekodi ambayo haiwezi kufutwa na midomo yenu. Si Media zinazomchagua Messi kuwa mchezaji bora, hapa sijui kwa nini tunakataa kuelewa. Jopo la makocha na manahodha wa timu za taifa nao ni MEDIA?

Kwa hiyo wewe unaamini Messi si lolote zaidi ya Media Publicity? If that is so, ni personal character ipi nje ya uwanja ambayo Media inavutiwa nayo kwa Messi kama walivyo watu wa show-of kina Christian Ronaldo na hereni zao na mademu lukuki ambazo Messi anazo?

Nimeweka takwimu hapo, huyo Ronaldinho, hata katika ubora dhidi ya Wabrazil wenzake kwenye watu 20 yeye hayupo. Mwenye akili basi na atamlinganisha Messi na Ronaldo de Lima na sio Gaucho. Soma post zangu za nyuma, niliweka statistics ili mjionee na sio urembo.
 

Kwa hiyo ni lini Messi atamfikia Dinho? Siku akichukua tuzo kwa mara ya kumi kama alivyochukua Dinho au?

Nashangaa unajiita unayejua soka, unajua soka gani wewe? Hebu na ujuzi wako wa soka, angalia hii list hapo chini halafu nioneshe jina la Ronaldinho lipo nafasi ya ngapi

Below are the results of a poll by International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) for the best Brazilian player of the 20th century.[SUP][53][/SUP][SUP][54][/SUP]
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TH]#[/TH]
[TH="width: 150"]Name[/TH]
[TH="width: 100"]Career[/TH]
[TH="width: 40"]Votes[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD="align: left"]Pelé[/TD]
[TD]1957–1971[/TD]
[TD]220[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD="align: left"]Garrincha[/TD]
[TD]1955–1966[/TD]
[TD]142[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD="align: left"]Zico[/TD]
[TD]1971–1989[/TD]
[TD]51[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD="align: left"]Zizinho[/TD]
[TD]1942–1957[/TD]
[TD]40[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD="align: left"]Arthur Friedenreich[/TD]
[TD]1912–1935[/TD]
[TD]21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Tostão
[/TD]
[TD]1966–1972
[/TD]
[TD]21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7
[/TD]
[TD="align: left"]Didi[/TD]
[TD]1952–1962[/TD]
[TD]15[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Leônidas[/TD]
[TD]1932–1946[/TD]
[TD]13[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD="align: left"]Nílton Santos[/TD]
[TD]1949–1962[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Ronaldo[/TD]
[TD]1994–2011[/TD]
[TD]12[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD="align: left"]Romário[/TD]
[TD]1987–2005[/TD]
[TD]11[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD="align: left"]Falcão[/TD]
[TD]1976–1986[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Rivelino[/TD]
[TD]1965–1978[/TD]
[TD]10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD="align: left"]Ademir da Guia[/TD]
[TD]1965–1974[/TD]
[TD]9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD="align: left"]Luís Pereira[/TD]
[TD]1973–1977[/TD]
[TD]7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD="align: left"]Carlos Alberto Torres[/TD]
[TD]1964–1977[/TD]
[TD]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD="align: left"]Domingos da Guia[/TD]
[TD]1931–1946[/TD]
[TD]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD="align: left"]Ademir[/TD]
[TD]1945–1953[/TD]
[TD]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD="align: left"]Bebeto[/TD]
[TD]1985–1998[/TD]
[TD]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: left"]Jairzinho
[/TD]
[TD]1963–1982[/TD]
[TD]2
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Ronaldo de Lima yupo kwenye hii list na Ronaldinho hayupo, haya sema na hawa IFFHS nao walihongwa na Nike kwa kuwa Ronaldo alivaa Nike.
 
Roho ya wapinga Messi haitaacha kuwatafuna. Amelinganishwa saaana na Christian Ronaldo, baada ya kuona amemuadhiri, mkamlinganisha na Chitalu wa Zambia, kilipoonekana ni kichekesho, mmekuja na Ronaldinho na naamini ipo siku mtamlinganisha na Ngassa wa Azam.

Hii roho itaendelea kuwasumbua na kwa roho hii, hata takwimu mtazikataa na FIFA wataonekana kama wao ndio wanaamua tuzo apewe nani wakati si kweli. Mwingine ameonesha ujuha wake kiasi cha kusema wanahongwa, sasa sijui mtu anawezaje kuwahonga wati zaidi ya 500 wenye misimamo tofauti.

Lionel Andres 'Leo' Messi, ataendelea kuwa Messi, na ataendelea kuandika rekodi mpya kwa kadiri ya kipaji chake. Kichekesho cha kumlinganisha na Ronaldinho ni kikubwa hasa ukizingatia hata baina ya Wabrazil, Ronaldinho alikuwa kama upepo wa kupita tu. Yupo Ronaldo de Lima, huyu ndio hasa nguli wa Kibrazil wa kizazi hiki na kamwe sio Mr. Tabasamu.

Labda mniambie mmeathirika na tabasamu kwa kuwa hapa kwetu linaongoza nchi
 
Gianluigi Buffon @"Gazetta dello
Sport":
"I voted for Cristiano
Ronaldo and my vote was given to
Pirlo. I don't know what
happened!"
"I voted for Cristiano Ronaldo, but
according to FIFA my vote went to
Messi. It's a pitty these things
happen''
 
A journalist from Indonesia claim
she voted for Xavi, Barcelona
midfielder, but his vote was given
to Messi
(SOURCE ,Real Madrid C.F. Lover's Page)
 

niliangalia video clip inayoitwa Ronadinho the magician,kuna mmoja alicomment:
C. Ronaldo+Messi=Ronaldinho.
Hivi yaweza kuwa kweli?
 
Hii list lazima itakuwa imechakachuliwa kwa vigezo viwili moja umalaya wa Dhino, pili hakukaa kwenye peak muda mrefu kutokana na kupoteza muda mrefu pale PSG..! Haiwezikani Ronadhino Gaucho asiwepo. Kuhusu itamchukua muda gani Messi kumfikia Dhino ni kwamba ikiwa atafanikiwa kufanya vitu adimu for next 2 years hapo sasa tunaweza kuongea tofauti..! Good thing ni kwamba the guy is still young he can make it..! Nadhani tupo pamoja..!
 
Dihno alikuwa Entertainer sana na ball juggler zaidi....ukimuona akiwa na mpira unasikilizia lolote linaweza kutokea!!Mercy anacheka na nyavu zaidi na chenga ndogo ndogo za maudhi!
Sawa kabisa kwani hata majina tu ni tofauti.
 
Gianluigi Buffon @"Gazetta dello
Sport":
"I voted for Cristiano
Ronaldo and my vote was given to
Pirlo. I don't know what
happened!"
"I voted for Cristiano Ronaldo, but
according to FIFA my vote went to
Messi. It's a pitty these things
happen''
La mkosaji tu hilo.
 

Akili zingine ni za kijinga hadi zimepitiliza. Hapo juu kabisa ya jedwali kuna link, hiyo link ukiifuata itakuletea jedwali hili hili original, sasa sijui una sababu gani za kutaka kubishana na redio.

Muda gani Messi atakuchukua kumfikia Gaucho halikuwa swali, nilikuwa NAKEJELI. Ukiwa na akili timamu, utagundua kuwa rekodi zinaonesha kuwa Messi yupo mbele, kwa MAGOLI, VIKOMBE, POPULARITY, FEDHA, THAMANI na UMUHIMU.

Kama chenga ziliwapendeza, basi mjue kuwa Barca wao wamependezwa na soccer. Hivyo unavyoviita vitu adimu, Austin 'Jay Jay' Okocha alivifanya kwenye kombe la Dunia 1994 Marekani na bado havikumfanya awe mwanasoka bora wa dunia.

Mtaumiza kichwa kwa Jealous zenu. Mnakataa hata takwimu kwa wivu,.....by the way, hivi navyokujibu, Barcelona keshamkandamiza Malaga 2 na ni dkk ya 69. Mbao ya kwanza imewekwa kimiani na Lionel Andres 'Leo' Messi na la pili, Cesc Fabregas. Mtaumwa sana mwaka huu na marehemu wenu huyo
 
niliangalia video clip inayoitwa Ronadinho the magician,kuna mmoja alicomment:
C. Ronaldo+Messi=Ronaldinho.
Hivi yaweza kuwa kweli?

Kukomenti si hata wewe unaweza kukomenti, shida iko kwenye kuchukua tuzo mara 4, tena mfululizo.
 
A journalist from Indonesia claim
she voted for Xavi, Barcelona
midfielder, but his vote was given
to Messi
(SOURCE ,Real Madrid C.F. Lover's Page)

Hivi kwa nini Watanzania tunapenda kujivunia ujinga.

Hivi wewe kwa akili yako, ukipewa habari za uhuni wa mke wako na source ikawa ni mwanamke ambaye siku zote anajichekeshachekesha mbele yako ili akutege utaziita hizo habari ni za kweli?

Kwa hiyo kwa akili zako unategemea washabiki wa Real Madrid wampende Messi kwa migoli yoooote hiyo anayowamiminia nyavuni wanapokutana?! Kweli hamna mtu hapa. Mtakuja na sababu za kuokoteza kontena zima, lkn muda napokuandikia huu waraka, Barca keshamduga Malaga 2, shukrani kwake Messi na Fabregas
 
Kukomenti si hata wewe unaweza kukomenti, shida iko kwenye kuchukua tuzo mara 4, tena mfululizo.


Shida pia ni kuwa na tuzo 4 mfululizo ambazo huzitokei jasho, lakini hujabeba kombe la Dunia ambalo alikwenda South Africa akawa uharo kiasi hata magazeti yakawa yanaogopa kuweka picha yake front page kwani alikosa mvuto akawa kama maiti...

Pambaf
 


Na nimekuwekea na hiyo source nikijuwa utakurupuka kuponda kuwa ni Madrid ndio wanamchafua huyo Eskimo.
Je hiyo habari hujapata isoma kwenye web nyingine?

Na unavyodai kuwa ni watu wa Madrid ndio wameandika hivyo je wewe nukuu zako zimeshushwa?
Au nazo zinaweza kuwa na dalili zote za kumchafua saint Gaucho?
 

hata me naunga mkono fifa hamna kitu we tazama hata afrika mchezaji bora katongo hakuwekwa kwnye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…