Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ndio tabu ya kuangalizia mechi vibandani.
Hiyo Mechi Zizzou angempiga kanzu Dinho basi kiza kingetanda palepale na kisha upepo mkali ungevuma na kuleta madhara makubwa mno.
.
Chukua hii any goal scored by ronaldinho
is ALWAYS a highlight...
 
to me ronaldinho is the most
talented to ever played the game football, he
was even more talented than maradona. so if we
judge like this
in the best of
messi,ronaldinho,maradona,pele,zidane,ronaldo who is the best for me its
ronaldinho
 
Hata goal alilojifunga Walters juzi wakati wa match na Chelsea was a Highlight kwa hiyo Walters ni mkali zaidi ya Messi na Zizou!
 
Ronaldinho on Messi. "To be better than Pele, you
need to win three World Cups, not just goals against
Getafe, Mallorca and Zaragoza."
 
to me ronaldinho is the most
talented to ever played the game football, he
was even more talented than maradona. so if we
judge like this
in the best of
messi,ronaldinho,maradona,pele,zidane,ronaldo who is the best for me its
ronaldinho

Welcome again sir...
 
As u said, TO YOU, "you are entitled to your own opinions but NOT your own Facts"
 
Ronaldinho on Messi. "To be better than Pele, you
need to win three World Cups, not just goals against
Getafe, Mallorca and Zaragoza."

Wewe una wivu wa kike. Hebu ona hiyo comment ya kilevi uliyoweka. Haya maneno umeweka mwenyewe hapa na kama unabisha onesha link ya wapi umeyapata.

Ronaldinho
"Every time he plays, Leo Messi reminds me more of Maradona, both left-footed and short, Messi is the best player in the world, along with Kaká and Cristiano Ronaldo. For us it is not a surprise. Since he began to come and train with us and we knew we would go down this path. Someday I will explain that I was at the birth of one of the footballing greats: Leo Messi."

Hiyo quote imetoka hapa:Quotes - Lionel Messi, Leo Messi, Messisasa kama na wewe kweli mwanaume huna wivu wa kike, weka link nijionee mwenyewe.By the way, go tell your imaginary Ronaldinho to tell his imaginary Pele this ''To be better than Messi you need to take Ballon d'or 4 times, not just sharing the glory of Brazilian National Team''

Hicho kimbelembele chako cha kutunga maneno hakiondoi fact kwamba, iliyoshinda World Cup ni Brazil na ndio maana kombe lipo kwenye kabati la Brazil lakini tuzo lukuki alizonazo Messi ni za Messi na ndio maana anazo kabatini kwake.

Weka link nijisomee hiyo quote mwenyewe
 
Sibishani naye, NAMKOMOA. Kila anapoongea ujinga wake mimi nakandamiza jedwali au picha. We unafikiri hayamuiingii? Yanamuingia ila anajibaraguza. Nimemuwekea jedwali linaonesha huyo Gaucho wake hayumo hata kwenye 20 bora za Wabrazil na mimi simuwekei ngonjera, namuwekea hadi link ili ahakikishe. Yeye anatunga maneno halafu chini anaandika Frank Lampard akidhani hizo ngonjera zinapunguza tuzo moja kwa Messi.

Ukiona mtu mzima anaanza kutukana ujue kaishiwa hoja ndio maana anasema 'mavi' kila saa, anaweweseka.
 
tumalize ubishi tutafute replay za dinho na messi wakicheza kwenye club na wakicheza kwenye kombe la dunia then tupige kura, kwa mtazamo wangu dinnho atashinda, kama kuna mtu anabisha tupige kura huma JF tuone nani zaidi

Labda utafute replay za Gaucho, Messi is still playing. Kura za JF labda kama tungekuwa tunaongelea 'Namna ya kumtoa bikra msichana' lakini sio soka.

Messi alichaguliwa na kura za kina Mourinho, Wenger, Maldini, Platini, Ronaldo, Pele, Mancini, Nesta n.k ambao ni manguli wa soka na sasa ana tuzo 4 za Dunia kwa kura zao, leo hii wewe na jealous wenzako kura zenu zitabasili nini?
 
Ronaldinho on Messi. "To be better than Pele, you
need to win three World Cups, not just goals against
Getafe, Mallorca and Zaragoza."

Chit Chat. Upuuzi mtupu. Dinho mwenyewe anamkubali Messi.

Inaonekana unaugua sana juu ya huyu nguli. Messi noma wewe
 
Sasa huu ndio uanaume. Kama kuna ubishi umalizwe kwa ushahidi. Haya nyie wanoko njooni muoneshe jina la Ronaldinho hapa kwenye orodha. Safi sana mwana mtoka pabaya
 
Mbona moja haipo mkuu? Mi nitakununulia lunch ukiweka yenye tuzo 4. Weka hiyo wanga waugue mioyo

Like kwako mkuu haya mapicha nimeyalaik. Kuna watu wanadhani midomo yao ina hadhi sawa na miguu ya messi
 
Yawezekana Gang Chomba usielewe, hili ni kabati la Messi, sio la timu.

Siku huyu dogo akiambiwa abebe haya madini kwa mgongo ndani ya gunia hakyanani lazima avunjike mgongo

Mkuu mwanamtoka pabaya niPM nikupe lunch. Hii ndio kiboko ya ganga chomba na umbea wake na maneno ya kwenye khanga yasiyo na reference. Sasa anioneshe kama kuna mwanaume yeyote amepiga picha na tuzo 4, .....taip!
 
Mwana Mtoka Pabaya fb una2mia jina gani? plz kuna raia huku nataka uje uwape darasa
 
Mkuu mwanamtoka pabaya niPM nikupe lunch. Hii ndio kiboko ya ganga chomba na umbea wake na maneno ya kwenye khanga yasiyo na reference. Sasa anioneshe kama kuna mwanaume yeyote amepiga picha na tuzo 4, .....taip!

Futa mikohozi hiyo...
washambenga wenzio nshawaambia kuwa Tuzo huzitokei jasho.
Wenzake wanapiga picha na ndoo ya Dunia walioitokea jasho.

Forza Dinho
 
Ndio tabu ya kuangalizia mechi vibandani.
Hiyo Mechi Zizzou angempiga kanzu Dinho basi kiza kingetanda palepale na kisha upepo mkali ungevuma na kuleta madhara makubwa mno.
.
Chukua hii any goal scored by ronaldinho
is ALWAYS a highlight...

Katafute hiyo game uangalie tena uone tofauti kati ya a mediocre mnenguaji (Dinho) na the great Zizou, halafu uje ueleze hapa alikua na mchango gani kwenye team yake coz facts zipo wazi Ronaldinho hajawahi kuonesha kiwango kwa team yake ya Taifa kama alivyoshainishwa na kina Deco na Xavi akiwa Barca.

Hivi hujiulizi huko kwenye team yako ya Ac Milan huyu mediocre kwa nini alikua below an average player?
 
Futa mikohozi hiyo...
washambenga wenzio nshawaambia kuwa Tuzo huzitokei jasho.
Wenzake wanapiga picha na ndoo ya Dunia walioitokea jasho.

Forza Dinho

Kwa hiyo kwa akili yako unadhani Messi aliweka masaburi chini kama unavyoweka wewe ukiwa unaandika jealous zako halafu akaletewa tuzo?

Ndoo ya dunia ni ya timu sio ya mchezaji. Kama ulivyosema wanapiga nayo picha, lkn Messi ye mavitu yake anayo kabatini, mwaka wako huu, kama sio shinikizo la damu basi utakufa kwa sononi.

Huyo kapiga picha na kombe mwenzake anamiliki makombe
 
Futa mikohozi hiyo...
washambenga wenzio nshawaambia kuwa Tuzo huzitokei jasho.
Wenzake wanapiga picha na ndoo ya Dunia walioitokea jasho.

Forza Dinho

Kwa hiyo unamaanisha Dinho ni bora kuliko Messi kwa sababu alikuwepo kwenye kikosi cha Brazil kilichoshinda World Cup? hiki ndio kigezo chako? Gang Chomba unaitia aibu soka kama vipi piga kimya tu!!
 
mzee wangapi katika list hii walichukua Ballon D'or???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…