Kuna watu huwa wanasema Ronaldinho made the modern Barcelona and Barcelona made Messi. Kwa miaka mitatu, Ronaldinho alikuwa showman wa Barcelona. Hiki pia kilikuwa kipindi ambacho nilifurahia kuangalia mpira to the maximum. Mtu unatamani dakika 90 zisiishe.
Kwangu Messi anacheza classic football – pass assist - goal; na yuko very effective in it. Ronaldinho alikuwa team player. His skills were speechless. Kuna mtangazaji mmoja alisema kwenye mechi ya Barca na Chelsea kuwa some of his tricks were too small to notice.
Zaidi, kipindi alichocheza Ronaldinho walikuwepo watu kama Zidane, Cannavaro, Ronaldo mkubwa, Thierry Henry, n.k. Kwa hiyo, standard ya Ronaldinho ilikuwa inalinganishwa na these very top players.
Kipindi cha Messi hakuna wachezaji wakali sana zaidi ya Ronaldo mdogo ambaye hata hivyo angeonekana wa kawaida kama angecheza Madrid wakati wa akina Zidane na Ronaldo mkubwa wakiwa kwenye form.
Nafikiri Ronaldinho ni mchezaji pekee ambaye alishawahi kufunga goli dhidi ya Real Madrid pale Bernabeu na kupewa outstanding ovation kutoka kwa washabiki wa Madrid for his fantastic performance. That was exceptional ukizingatia utani wa hizi timu mbili. Cheki video hapo chini.
Kwangu mimi Ronaldinho was better kuliko alivyo Messi sasa. Messi hawezi kuongoza timu. Wachezaji kama Ronaldinho, Zidane na hata Pirlo waliweza. Ndiyo maana performance yake kwenye timu ya taifa siyo sawa na performance yake Barca
Tofauti kubwa kati ya hawa wachezaji ni kwamba Ronaldinho was the leading force behind the team. In contrast, Messi's team is the leading force behind him. In addition, Ronaldinho coined what we now call "sexy football". When he had the ball on his feet you just wanted it to say there forever.
Kama nataka kuangalia mechi moja kati ya mbili zinazochezwa kwa wakati mmoja na nina TV moja halafu nichague kuangalia kati ya Ronaldinho wa wakati ule and Messi wa sasa, nitachagua mechi anayocheza Ronaldinho.
Don't get me wrong, Messi is magical, unlimited, unconditional and breathtaking to watch. Hata hivyo, nitaangalia highlights za mabao aliyofunga wakati wa half-time au kwenye extended highlights baada ya mechi.