If you will try to find the definition of dribble don't be surprise to find the answer is gaucho! Even god is watching him when he play! Messi learnt a lot of skills from gaucho honestly no doubt
Zama hizi mimi najua messi huwa hajadiliwi,
Ukimjadili unaikosea heshima football mnao ugua ugonjwa wa messi poleni sana
Asante sana Sokwe...
Asante tena Sokwe...
Umeandika mistari michache ambayo Mwana mtoka pabaya na Mourinho itawakereketa wiki nzima.
Am not a hater so worry not, halafu hizo mbwelambwela tu, sio facts, kwamba eti god watch when he plays? What god?
Kuna watu huwa wanasema Ronaldinho made the modern Barcelona and Barcelona made Messi. Kwa miaka mitatu, Ronaldinho alikuwa showman wa Barcelona. Hiki pia kilikuwa kipindi ambacho nilifurahia kuangalia mpira to the maximum. Mtu unatamani dakika 90 zisiishe.
Kwangu Messi anacheza classic football pass assist - goal; na yuko very effective in it. Ronaldinho alikuwa team player. His skills were speechless. Kuna mtangazaji mmoja alisema kwenye mechi ya Barca na Chelsea kuwa some of his tricks were too small to notice.
Zaidi, kipindi alichocheza Ronaldinho walikuwepo watu kama Zidane, Cannavaro, Ronaldo mkubwa, Thierry Henry, n.k. Kwa hiyo, standard ya Ronaldinho ilikuwa inalinganishwa na these very top players.
Kipindi cha Messi hakuna wachezaji wakali sana zaidi ya Ronaldo mdogo ambaye hata hivyo angeonekana wa kawaida kama angecheza Madrid wakati wa akina Zidane na Ronaldo mkubwa wakiwa kwenye form.
Nafikiri Ronaldinho ni mchezaji pekee ambaye alishawahi kufunga goli dhidi ya Real Madrid pale Bernabeu na kupewa outstanding ovation kutoka kwa washabiki wa Madrid for his fantastic performance. That was exceptional ukizingatia utani wa hizi timu mbili. Cheki video hapo chini.
Kwangu mimi Ronaldinho was better kuliko alivyo Messi sasa. Messi hawezi kuongoza timu. Wachezaji kama Ronaldinho, Zidane na hata Pirlo waliweza. Ndiyo maana performance yake kwenye timu ya taifa siyo sawa na performance yake Barca
Tofauti kubwa kati ya hawa wachezaji ni kwamba Ronaldinho was the leading force behind the team. In contrast, Messis team is the leading force behind him. In addition, Ronaldinho coined what we now call "sexy football". When he had the ball on his feet you just wanted it to say there forever.
Kama nataka kuangalia mechi moja kati ya mbili zinazochezwa kwa wakati mmoja na nina TV moja halafu nichague kuangalia kati ya Ronaldinho wa wakati ule and Messi wa sasa, nitachagua mechi anayocheza Ronaldinho.
Dont get me wrong, Messi is magical, unlimited, unconditional and breathtaking to watch. Hata hivyo, nitaangalia highlights za mabao aliyofunga wakati wa half-time au kwenye extended highlights baada ya mechi.
Huwezi kumlinganisha messi na dinho! Messi ni namba nyingine na sijui ni mwaka gani atapata mpinzani! Huyu atachukua uchezaji bora hata mara tisa, na atachukua hadi achoke. Gogo ana kipaji sana, na anajiheshimu, na anauheshimu mpira. Dinho kipaji chake kimeonekana akiwa 25yrs huku messi ameanza kupata mataji akiwa na 13 yrs. Kama watu hamjui vipaji kaeni kimya!
ujue hapo kila mmoja analake, dihno alikuwa na uwezo wa kumili mpira na kuuchezea atakavyo mpaka wapinzani wake wanabaki wakimshangaa kitu ambacho messi hana, messi amekuwa ni mtu mwenye bahati na uwezo wa kufumania nyavu na mtu asiyekuwa na hasira uwanjani hata akifungwa amekuwa hana makuu kitu ambacho dihno japo alikuwa nacho ila siyo kama ilivyo kwa messi. Conlusion kwa mpira wa show dinho yupo juu ila kwakupachika mabado na nidhamu uwanjani messi yupo juu
Asante sana Sokwe...
Asante tena Sokwe...
Umeandika mistari michache ambayo Mwana mtoka pabaya na Mourinho itawakereketa wiki nzima.
Jana na Sociedad kajambishwa akauachia wa mtindi na Yai la kuchemsha...
Kila mtu akaziba pua na kuondoka...
Sasa asijadiliwe ana lipi haswa?
Tofauti na ujinga, upumbavu ndio mzigo ambao mbebaji anabeba kwa madaha akidhani yeye ni mfalme wa enzi zake. Maneno ya kipumbavu hayabadilishi uhalisia wa anachokifanya Messi uwanjani.
Barcelona imemtangaza Messi kama all time best player wa timu yao na nadhani wao wanafahamu kuwa Ronaldinho alikuwepo na bila shaka wana vigezo zaidi ya tuvijuavyo.
Ama kuhusu mechi ya jana, Barcelona ilishindwa kama timu lkn Messi kama mchezaji alifanikiwa kwa upande wake. Nikukumbushe kuwa ndie aliyefunga goli la kwanza, sasa mambo ya kujamba ni kujiaibisha na kushindwa kuficha upumbavu wako unapoongea kama hayawani wa jangwani.
I wish tungelazimika kuweka picha zetu halisi hapa, naamini tusingekuwa na wapumbavu wenye kuandika maneno yaliyo ustaarabu wa wazazi wao kama hayo niliyoya-bold.
Mavi matupu...
Mavi ni sehemu ya ubongo wako, upande ule wa kufikiri. Mtu mzima huwezi kuwa mjinga namna hiyo kiasi kila dakika useme maneno ya kijinga. Siku zote punguani huonekana kwa maneno yake.
Chuki dhidi ya Messi inakufanya unapoteza udhibiti wa akili yako sasa unaongea kama hayawani. Messi havunjwi mguu na maneno ya wenye wivu kama wewe. Wivu wako unakuumiza mwenyewe
Haya futa mimate hiyo kisha kachukue kopo ukachambe.
Dinho ni Special Weapon kwa kila timu atakayochezea
messi ni mzuri lakini gaucho ni zaidi.,gaucho aliisaidia zaidi barca lakini messi analishwa sana mipira na wakina xavi