Kwa wanaojua mpira. Huwezi sema Messi anautandika zaidi ya Ronaldinho. Gaucho mbaya!!!
Sent via EyePhone
haya matusi ni ya ushabiki wa simba na yanga..usituletee humu
kama kuna mechi mbili kwa wakati mmoja,huku yupo gaucho kule yupo messi,utaangalia mechi ipi?
football is more than scoring goals,mashabiki wa barca wanapenda sexy football na ndio maana wakamvuta gaucho kutoka psg sababu walimuona ndio master wa mipira hiyo
Hizo zote ni mbwelambwela, hakuna data hapo, tuambie Gaucho alicheza game ngapi, akatoa assists ngapi, akafunga magoal mangapi, alishinda vikombe vingapi, alishinda individual awards ngapi,yote hayo akiwa mchezaji wa barca then ufanye comparison na Messi.
Sio kukurupuka tu eti ooh alitransform team, waulize real fans wa barca watakwambia the man responsible kwa hiyo sex football ni Johan Cruyff, sio huyo mkata viuno.
Halafu I repeat, don't compare this mediocre with the Great Zinedine Zidane Zizou, Zizou akicheza club na national side alikua ana-determine the pace of the game, kupiga pass za mwisho, assists if u like, na kufunga key goals. Huyo Gaucho alishine barca tu, hajawahi kuwa a key player for his country in any of the major tournament ambayo team yake ilishinda e.g WC 2002.
Unaweza ukam-criticize Messi akiwa na National team, for being a shadow of a player he is at barca but Messi still ana muda wa kumake this right unlike Gaucho ambaye tayari ni maji ya jioni.
unaweza kuropoka vyovyote unavyotaka lakini kwenye bold inaonyesha hujui soka na inawezekana wc 2002 ulikuwa bado upo kijijini kwenu unawinda ndezi,..mechi ya england vs brazil wc 2002 gaucho aliivusha brazil single handedly!!!wakiwa nyuma kwa goli moja alimtikisa ashley hadi akaanguka chini akatoa pasi yamwisho iliyomkuta rivaldo(kama niko sawa)alipiga free kick ya ushindi ambayo seaman alidhani inatoka nje akabaki amesimama,..alipewa kadi nyekundu kwenye ile mechi kiftinafitna..humjui gaucho wewe!!!mtu huyu alishinda tuzo katikati ya vipaji halisi vya kipindi hicho,figo,ronaldo de lima,zizzou,becks..
narudia kusema messi ni mfungaji mzuri lakini nje ya barca messi hawezi kitu..gaucho created barca,barca created messi,hujui barca walivyokuwa vibonde prior the arrival of the magician himself..saint gaucho
unaweza kuropoka vyovyote unavyotaka lakini kwenye bold inaonyesha hujui soka na inawezekana wc 2002 ulikuwa bado upo kijijini kwenu unawinda ndezi,..mechi ya england vs brazil wc 2002 gaucho aliivusha brazil single handedly!!!wakiwa nyuma kwa goli moja alimtikisa ashley hadi akaanguka chini akatoa pasi yamwisho iliyomkuta rivaldo(kama niko sawa)alipiga free kick ya ushindi ambayo seaman alidhani inatoka nje akabaki amesimama,..alipewa kadi nyekundu kwenye ile mechi kiftinafitna..humjui gaucho wewe!!!mtu huyu alishinda tuzo katikati ya vipaji halisi vya kipindi hicho,figo,ronaldo de lima,zizzou,becks..
narudia kusema messi ni mfungaji mzuri lakini nje ya barca messi hawezi kitu..gaucho created barca,barca created messi,hujui barca walivyokuwa vibonde prior the arrival of the magician himself..saint gaucho
Nyabhingi.
Eti "gaucho created barca, barca created Messi" halafu ukiambiwa that you are stupid utasema unatukanwa?
Hivi unaweza kuwa Magician na Saint at the same time?
You are really stupid boy!
Nadhani I made a mistake nilivyodhani that you are a fool, kumbe you are really stupid.
WC 2002, kwa Brazil key player alikua Ronaldo de Lima akifuatiwa na Rivaldo au tuanze darasa la maana ya a key player?
Ngoja nikupe mfano (coz a lot of fools hawaelewi bila mifano) Zizou alikua key player France ikichukua both the WC 1998 na Euro 2000 na hakuwa nyota kwa team yake tu bali mchezaji bora wa tournaments na akaenda kuwa World player of the respective year, sasa huyo Gaucho alikua bora kwenye mashindano gani?
Like I said, kama huna cha kuongea just shut up kuliko kudhihirisha upumbavu wako!
Asante kwa blah blah na maneno mengi yasiyo na paragraph wala herufi kubwa. Unaweza kuniambia kwa nini Barcelona walimuuza Gaucho?
Walimuuza akiwa na umri gani?
Aliuzwa kwa kiasi gani?
Kiasi alichouzwa kinafanania na mauzo ya timu inayomuuza mchezaji inayomtegemea?
mimi matusi siyawezi ila hujui kwenye ile quarter final bila uchawi binafsi wa saint gaucho brazil ilishakaa!!!na nafikiri ile kadi nyekundu ilimdisqualify kucheza for th rest of the games(if i can remember well)
narudia ile robo fainali bila uchawi wa gaucho brazil ilikuwa njee,mabeki wa england walijipanga kisawa,..muulize ashley cole atakwambia gaucho alitoa mchango gani brazil kuchomoka ile game..
gaucho created barca,barca craeted messi,..huu ndo ukweli sababu barca walikuwa vibonde wa kawaida kabla ya ujio wa gaucho(narudia kusema inawezekana ulikuwa bado machakani kwenu unalima mchunga)
and don't call me"boy" na upunguze hasira hii ni soka na mtazamo makini
ni mchezaji pekee aliyekuwa anapiga pasi huku akiangalia sehemu nyingine kabisa na pasi inafika kwa mlengwa,hakika aliutendea haki mpira na mpir4a ulikuwa unampenda
matusi matusi matusi!!!umeshindwa ku-beat huo uchambuzi unaishia kutukana,.haya ndio matatizo ya kutoka maporini huko na kufikia manzese lazima ujifunze kwanza kiswahili cha matusiI wont call you a boy again,coz you clearly not a man neither a boy, then I'll be calling you Stupid Girl. And what makes you so sure that am not still in "machakani kwetu nalima mchunga" stupid girl?
Dalili za kuishiwa hoja hizo, hiyo ni fallacy stupid girl, go back to school ikajifunze kujenga hoja.
Halafu narudia tena kwa manufaa yako coz level ya stupidness yako inazidi kuwa wazi with what you write, SHUT UP stupid girl!
matusi matusi matusi!!!umeshindwa ku-beat huo uchambuzi unaishia kutukana,.haya ndio matatizo ya kutoka maporini huko na kufikia manzese lazima ujifunze kwanza kiswahili cha matusi
now i declare kufunga huu mjadala maana sibishani na watu wanaowasikilza wakina shafii dauda na kujifanya wanaijua soka.Signing out
punguza jazba mjomba.. sie wote ni armchair managers. Hatuangalii Messi ana TUZO ngapi tunalingansha KIWANGO cha usakataji kabumbu wake ukilinganisha na Gaucho.Nakuunga mkono, Barcelona hawajui mpira ndio maana wakamuuza Gaucho na namba 10 wakampa Messi. Hata jopo la makocha na manahodha wa timu za taifa wanaomchagua Messi kuwa mchezaji bora kwa mara ya 5...oh I mean ya 4 nao hawajui mpira.
Mpira unaujua wewe na Gang Chomba na ndio maana mna wadhifa mkubwa kwenye soka la ulimwengu
You can score a million goals and still be a bad player.but you can't get past defenders if you're a bad player, simple and short ronaldinho is better than the small midget (messi)
If you will let messi play without xavi and iniesta! I guarantee you, he will play nonsense! Gaucho was a one man show like Michael Jordan when you talk about basketball
punguza jazba mjomba.. sie wote ni armchair managers. Hatuangalii Messi ana TUZO ngapi tunalingansha KIWANGO cha usakataji kabumbu wake ukilinganisha na Gaucho.
punguza jazba mjomba.. sie wote ni armchair managers. Hatuangalii Messi ana TUZO ngapi tunalingansha KIWANGO cha usakataji kabumbu wake ukilinganisha na Gaucho.