shizukan
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 1,158
- 564
Kwa wanaojua mpira. Huwezi sema Messi anautandika zaidi ya Ronaldinho. Gaucho mbaya!!!
Sent via EyePhone
Nakuunga mkono, Barcelona hawajui mpira ndio maana wakamuuza Gaucho na namba 10 wakampa Messi. Hata jopo la makocha na manahodha wa timu za taifa wanaomchagua Messi kuwa mchezaji bora kwa mara ya 5...oh I mean ya 4 nao hawajui mpira.
Mpira unaujua wewe na Gang Chomba na ndio maana mna wadhifa mkubwa kwenye soka la ulimwengu
Last edited by a moderator: