Bumpkin Billionare
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 1,332
- 621
I believe huenda wangeshinda wengine ambao huenda wana ubora hata Ronaldo naye sidhani kama angekuwa anashika namba mbili muda wote angeweza kuwa hata namba tatu au namba nyingine,lakini sio yeye four times consecutively hapan.Akili ya binadamu mara nyingi inatawaliwa na kuwa boosted sometimes,ndo maana unaweza ukawakuta watu wanabishana eti Redio fulani imesema fulani anacheza vizuri so naye anaamini hivo.But ni mtizamo wangu tu si lazima iwe hivo.
Mtaongea sana, lakini nikukumbushe tu kuwa Mchezaji Bora anachaguliwa na jopo la watu zaidi ya 500.
By the way, kwa nini wawe influenced juu ya Messi na isiwe kwa mwingine?