Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona


Mtaongea sana, lakini nikukumbushe tu kuwa Mchezaji Bora anachaguliwa na jopo la watu zaidi ya 500.

By the way, kwa nini wawe influenced juu ya Messi na isiwe kwa mwingine?
 
messi ancheza kama wachezaji wa play station,maneno yaliyotamkwa na arsene wenger,fabio carpelo amekiri kuwa ye ni shabiki namba moja wa messi,messi anawekwa kundi la malijendari maradona na pele,messi anacheza dunia ya peke yake.sio maneno yangu mm ni wadau tofauti tofauti huko mbele.acheni messi aitwe messi.dihno alikuwa bora ila messi bora zaidi hasa katika kuamua matokeo ya timu..
 
Match ya jana kati ya England Vs Brazil imeuthibitishia ulimwengu that Ronaldinho was just a mediocre, alikua mzurimzuri only na Barca, sasa hivi ni galasa tu na kwa umri wake huo hakutakiwa kucheza makhirikhiri Vs team ya kawaida sana kama England, angekutana na Wajerumani au Waspain je?
 
Dah, mkuu....!! You believe... huenda....wangeshinda....huenda....angekuwa...angeweza....!! Mkuu majibu gani haya sasa??? Huna jina hata moja???
 
Wakuu , tusimsahau JJ Okocha, naye pia alikua na vitu hadimu.
 
Wakuu , tusimsahau JJ Okocha, naye pia alikua na vitu hadimu.

Though ni nje ya mada ila Okocha alikua na mbwembwe na manjonjo mengi but hakua na mchango wa kuamua matokeo ya match, we hushangai na huo ukali wake wote hakuwahi kuchezea any big club in Europe? Okocha was an average player!
 
By the way, Austin 'Jay Jay' Okocha usimlinganishe na Gaucho, Okocha ndie nabii hasa aliyetuletea 'baiskeli' uwanjani. Kwa taarifa yako, baiskeli kwa mara ya kwanza ilipigwa 1994 kwenye kombe la dunia Marekani

Waeleze hao!

"He [Okocha] continued to shine for the German side, one highlight being a goal he scored against Karlsruhe, dribbling in the penalty box and slotting the ball past Oliver Kahn even going past some players twice.[SUP][2][/SUP] The goal was voted Goal of the Season by many soccer magazines"
 
Though ni nje ya mada ila Okocha alikua na mbwembwe na manjonjo mengi but hakua na mchango wa kuamua matokeo ya match

Hivi kumbe pia kuna vilaza wa historia ya soka?

"His debut season, despite being hampered by injury, made him a favourite with the Bolton fans, with the team printing shirts with the inscription "Jay-Jay – so good they named him twice". He steered the team away from relegation with seven goals, including the team Goal of the Season in the vital league win against West Ham.[SUP][4][/SUP] This was voted Bolton's best Premier League goal in a fans vote in 2008.[SUP][5][/SUP] The next season saw Okocha receive more responsibility as he was given the captain's armband following Guðni Bergsson's retirement. As captain he led Bolton to their first cup final in nine years where they finished runners-up in the 2004 Football League Cup"
 

Hivi nani kilaza hapa? Kama bolton nayo ni club kubwa ya kumfanya Okocha greater than Dinho then kuna problem somewhere.
 
Eti Okocha ndiye aliyeleta "baiskel" uwanjan halafu kuna watu wanajifanya wanajua history ya soccer, katafuteni clip za The Greatest footballer ever Diego Maradona muone hizo baiskel mpaka helicopter kutoka kwa the football God himself, hakuna kitu kipya kwenye soccer kwa Maradona, alishafanya vyote
 

Kwa hiyo Maradona kamzidi kiwango na manjonjo Ronaldinho?

CC: Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Narudia toka kuwekwa kwa misingi ya dunia; dunia haijawahi kumpata mtu kama Gaucho wakati yuko kwenye peak. Kuna manabii kadhaa wa soccer kama Okocha, Pele, Maradona, De lima, Garincha ila Gaucho ni nabii mkuu na wa mwisho katika soccer, sasa wanafuata messengers akina Messi, Neymar, Cr7 na wengine wote
 
Kwa hiyo Maradona kamzidi kiwango na manjonjo Ronaldinho?

CC: Gang Chomba

Like I said, hakuna kipya kwa Maradona katika soccer, he is the football God, hao wengine c mnawaita manabii sijui (mind you kuna manabii wa uongo) wanaleta ujumbe wa the football God, Diego Armando Maradona.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahha manabii wa uongo akina Cr7 na Messi binafsi nawaona wajumbe tu. Maradona alikua mzima pia nakubali ila kwa Ronaldinho Gaucho acheni bwana huyu jamaa katenda miujiza nyie katika soccer
 
Hahahahha manabii wa uongo akina Cr7 na Messi binafsi nawaona wajumbe tu. Maradona alikua mzima pia nakubali ila kwa Ronaldinho Gaucho acheni bwana huyu jamaa katenda miujiza nyie katika soccer

Shida yako juzi shemeji yako alikuamrisha ukakojoe ukalale kwa hiyo hukuona jinsi Gaucho alivyotia kichefu chefu. Kwa kifupi Andrea Pirlo ana umri mkubwa kuliko Gaucho, lkn hata leo hii anaupiga mpira mpk unasikia raha, huyo unayemuita Nabii unaweza hata kumuita mume au mkeo, lkn mpira pale hakuna.

Show ya juzi tulimtazama Wilshere na sio Gaucho wala Neema
 
Messi bana ndo kila kitu at this moment. Wote hao walikua na nyakati zao za kusumbua katika soka. Na kila mtu alikua atapita atakuja mwingine zaid ya hao. Mfano kipindi cha maradona hakukua na wanasoka mahiri wengi kama ilivo kipindi iki. So ilikua rais kwake kuvuma sana
 
Hahahahha manabii wa uongo akina Cr7 na Messi binafsi nawaona wajumbe tu. Maradona alikua mzima pia nakubali ila kwa Ronaldinho Gaucho acheni bwana huyu jamaa katenda miujiza nyie katika soccer


Bufa kama hawatokuelewa wewe basi hawawezi kuwaelewa miungu yao wanayoiabudu...
 
kwangu mimi dinho ni mungu wa mpira,ronaldo asis de morreira nafurahi sana kulitaja jina lake watu wanamkufuru mungu wa mpira kwa kumfananisha na huyo anakwenda anakwenda wa mguu wa kushoto aah dinhooooooooooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…