Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

kwangu mimi dinho ni mungu wa mpira,ronaldo asis de morreira nafurahi sana kulitaja jina lake watu wanamkufuru mungu wa mpira kwa kumfananisha na huyo anakwenda anakwenda wa mguu wa kushoto aah dinhooooooooooo.

Kilimshinda nini kufanya huo umungu wake mbele ya Wilshere, Cleverly na Gerrard juzi?

Nafikiri ukiwarenk wachezaji wa Brazil katika ile mechi, basi mungu wenu angeshika nafasi ya mwisho. Kashindwa hata na Welbeck, utumbo mtupu. Labda kama uanzishe mashindano ya kuchekacheka
 
Bufa kama hawatokuelewa wewe basi hawawezi kuwaelewa miungu yao wanayoiabudu...

Kwa wewe unayeabudu miungu, mimi binafsi namuabudu Mungu na hafananishwi na kiumbe chochote.

Tukirudi kwa Ronaldinho......total failure. Poor performance na juu ya yote hata penalty imemshinda...what a shame!

Mnaweza mkawa na ugonjwa wenu mnaoygya akili kiasi hata mlichokiona kwa macho msikiamini, basi ni waache huru muendelee katika upotofu wenu, manake sitashangaa yale madudu aliyoyafanya Ronaldinho juzi mkisingizia ni 'PHOTOSHOP' ili tu mpindishe ukweli ambao mimi na ninyi tumeuona wazi.
 
panda ghorofani ujitupe dinho anatisha,kukosea mechi moja tena baada ya umri kuwa umeenda hakutoshi kumfanya mungu wa mpira adhalilike ushasema timu nzima iliyumba sasa vipi unamlaimu dinho.
 
panda ghorofani ujitupe dinho anatisha,kukosea mechi moja tena baada ya umri kuwa umeenda hakutoshi kumfanya mungu wa mpira adhalilike ushasema timu nzima iliyumba sasa vipi unamlaimu dinho.

Dinho huyu aliyechemka juzi kama hajawahi kucheza mpira au dinho yupi mnamzungumzia? Nyinyi wote hamkutazama mechi, hata si kweli kwamba timu nzima iliyumba, bali mnapokuwa na mchovu uwanjani lazima myumbe.

Usilete ngonjera za mechi moja na uzee, unataka kuniambia Ronaldinho ni mzee zaidi ya Andrea Pirlo na Carles Puyol?

Ronaldinho March 21, 1980
Carles Puyol April 13, 1978
Andrea Pirlo May 19, 1979
Frank Lampard June 20, 1978

Hata Barcelona walimuuza akiwa kijana tu kwa kuwa hakuwa na maana tena kwa timu. Ona sasa wenye kuujua mpira kina Puyol wanazeekea Nou Camp.
 

Huyo mtoto Wilshere ni nouma. Kwenye Bleacher mwandishi ameandika kitu mpk raha "They came to see Neymer. They left talking about Wilshere"
 
mimi ni shabuki wa england nisingekosa kuona hiyo mechi sababu wakati huo nilikuwa sambamba na mechi ya burkinabe na ghana sema utakavyosema dinho anatisha na kama ni suala la kuona dinho si bado yupo tutamuona tu.
 
"The best player [in the world] is Messi - he makes everything look so easy. He has everything in his locker, every player looks to him. He does things that no one else can do, and he embodies football and embodies perfection."

Nacho Monreal,
Arsenal newly invested left back
12.02.2013
 
mimi ni shabuki wa england nisingekosa kuona hiyo mechi sababu wakati huo nilikuwa sambamba na mechi ya burkinabe na ghana sema utakavyosema dinho anatisha na kama ni suala la kuona dinho si bado yupo tutamuona tu.

Una kazi ngumu! Yaani bora wenzako waliosema ya zamani, wewe unategemea kuona mapya kwa marehemu?!
 


Eti He has
everything in his locker...ana kombe la Dunia?
Msikurupuke
 

siku zote nimekua nikitafuta neno sahihi la kumuelezea Ronaldo de asis Moreira "Ronaldinho" nadhani nimepata
Gaucho ni mmoja wa wachezaji bora kabisa kuwahi kutokea ulimwenguni, Messi ameuwasha moto kwenye La Liga katika kipindi cha miaka 8, akivunja rekodi mbalimbali ikiwemo ya kufunga mabao mengi. Lakini Ronaldinho kipekee zaidi aliibadilisha historia ya Barca alipowasili Nou Camp 2003, na kuchangia kwa mafanikio wanayoyapata kikosi cha sasa. GAucho aliibadilisha historia ya barca kumbuka barca hawakuwa wameshinda taji lolote kwa miaka mingi. Alikuja na kuifanya Barca kuwa na nguvu.Alikuwa anafanya vitu vyake vya kustajaabisha kila siku.
 

Mkuu,
We need people like you to elaborate things...!
Nimeburudika sana na ufafanuzi wako.
 
Mkuu Sikonge nilikuwa sijaiona huo uchambuzi wako hapo juu, kumbe ulishamaliza kila kitu - hayo sio maoni, ndio ukweli wenyewe, tunaojua soka hatuwezi kudhalilisha utaalamu wetu kwa kukubishia; huyo jamaa hana wa kufanana naye hapa duniani ("he is in a class of his own")!

"Other players seem to chase the ball, while Messi moves in concert with it, full speed to full stop" - OTL: Lionel Messi, Here & Gone - Soccer - ESPN

"I saw a video of Messi playing soccer here with his young nieces and nephews, dodging and feigning, moving the tiny ball with his feet, the kids unable to take it away. The look on his face is the same as when he plays in front of millions of fans. There's something innocent about him with a ball. His friends laugh about how Messi seems somehow less than himself without one. Leguizamon told us a story. The last time Messi came to visit, they hung out in a backyard, and they watched him, uneasy, antsy. Finally, without even realizing he was doing it, he pulled a lemon from a tree and juggled it mindlessly with his feet, whole again" - OTL: Lionel Messi, Here & Gone - Soccer - ESPN

"'Some of the coaches told us not to tackle him too hard so as not to injure him. But even if we wanted to, we couldn't get anywhere near him. He was so quick, he was impossible to tie down" - Gerard Pique, http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-1264310/Lionel-Messi-You-stop-kid-says-Gerard-Pique.html
 
Messi na mpira ni kitu kimoja, yaani, Messi ni mpira na mpira ni Messi (football incarnate)!
 


Gaucho made Barca...Barca made Messi
 
Gaucho made Barca...Barca made Messi

"When Ronaldinho arrived to Barcelona, he won nothing. After my arrival, we won everything" - Et'oo, Eto'o: Barcelona won everything because of me, not Ronaldinho - Soccer News

"When Guardiola wanted me to go, Messi came to him and said: ‘Sell whoever you like, but not Samuel'" - Et'oo, Eto'o: Barcelona won everything because of me, not Ronaldinho - Soccer News

"The pair won two La Liga titles and one Champions League trophy during their time at Barça together" - Former Barça striker Samuel Eto'o: Ronaldinho is a genius - Sambafoot.com, all About Brazilian Football
 
Eti He has
everything in his locker...ana kombe la Dunia?
Msikurupuke

Nani analo kombe la dunia kwenye kabati lake?

Utakuwa unaumwa wewe, tena wazimu. Hivi kwa akili yako, walipomchagua George Opong Weah kuwa Mchezaji Bora wa Dunia, walikuwa hawajui kuwa Liberia haijawahi hata kushiriki kombe la dunia?

Ujinga ni mzigo ndugu yangu. George Weah alikuwa World Superstar japo timu yake ya Taifa haijawahi hata kushiriki Kombe la Afrika achilia mbali la dunia. Kombe la dunia ni zao la uimara wa soka la nchi na sio mchezaji binafsi. Ukiwa na akili angalau kidogo huwezi kumuondoa Mbwana Samata kwenye kinyang'anyiro cha uchezaji bora wa Africa eti kwa kuwa Taifa Stars haijawahi kuwa bingwa wa Africa......mburula wa akili wewe
 

Haya ndio mambo yanayomuudhi Etoo, mbona basi msijibu swali langu?

Kama mnaamini Gaucho aliibeba Barca, ilikuwaje Barca ikamuuza mungu wenu wa soka? Alikuwa kazeeka? Kwa nini kwa kiasi kidogo cha fedha? Mbona asipatikane wa kumnunua kwa £80m kama Christian Ronaldo au angalau £50m kama Torres?

Hebu acha kujitia wehu, soma hii link uone nani ni Barca King Barcelona's Lionel Messi snubs £205million Anzhi Makhachkala transfer | Metro News
 
Mie ningependa Kusema kwanza wanaosema MUNGU mie siwezi kumshirikisha mwenyezimungu na viumbe kabisa na kuviita Mungu, Mwenyezimungu ni Mmoja na hana mfano. Turudi kwa Gaucho na Messi kwa Maoni yangu Messi yupo mbele ki soka/football kuliko Ronaldinho huyu Gaucho alifanya vitu skillful ambavyo unaweza kusema kwenye macho ya watu yalikuwa mageni kuliko hata Messi ila tatizo la Gaucho linakuja alikuwa Mbinafsi saaaana na ndomana Barcelona yake kina Xavi na Eniesta hawakupata nguvu na walikuwepo hao kina Xabi na Eniesta wamewika muda wa Messi na Guadiola, So Barca ile tulimuona Ronaldinho vitu ambavyo hatukuona kwa mchezaji ila alikuwa mbinafsi sana Nyota wa Barcelona ile alikuwa ni Samuel Etoo alikuwa anatizama mbele na kutizama masilahi ya timu nini wanataka ni ushindi so alikuwa anapiga mabao na kuchezesha wenzake pia Barca toka aondoke Samuel Etoo haikupata Striker wa kati kama Samuel Etoo, Turudi kwa Messi sasa Messi ni Mkokotaji mpira mzuri sana hakuna kama yeye ni mchezeshaji pia mzuri kwenye kuchezesha game ya football na hajionyeshi ili Fan wamuone yeye anajali masilahi ya timu. Kila Mchezaji anaujuzi na ukali wake unajulikana hana haja kuwa hajashinda sijui kombe la Dunia au La CL kwa Game hachezi mchezaji mmoja sio Tennis hiyo kama Mchezaji mkali watu wanaona ukali kama alivyosema mdau na George Weah.
 


Mi naabudu miungu ninayoiona...
Kazi kwako wewe unaeburuzwa na porojo za wakoloni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…