Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Naombeni mnipe mafanikio ya gaucho baada ya kuondoka nou camp mpaka sasa huko kwao

aha hah hah amebeba Copa Libertadores yaani Klabu bingwa America ya Kusini.

mark and bind it...hilo kombe Nesi pia hajabeba
 
Acheni. Maskhara..mchezaji kama dinho hajawahi kutokea..messi atasubiri sana kwa dinho.
 
Acheni. Maskhara..mchezaji kama dinho hajawahi kutokea..messi atasubiri sana kwa dinho.
huyo dinho uzur bado hajastaafu na yupo uturuki sasa mtamlinganisha vp na messi
 
najisikia mwenye bahati kumshuhudia gaucho enzi zake
 
Ronadinho kachukua Champions league na Barcelona MARA MOJA. Lionel Messi kachukua Champions League na Barcelona MARA TATU! I rest my case.
 
Ronadinho kachukua Champions league na Barcelona MARA MOJA. Lionel Messi kachukua Champions League na Barcelona MARA TATU! I rest my case.

kwa hio wote wana medali ya Champions League...

ok Dinho Mnyama kabeba World Cup Mara 1.

haya vp kuhusu Nesi?
 
kwa hio wote wana medali ya Champions League...

ok Dinho Mnyama kabeba World Cup Mara 1.

haya vp kuhusu Nesi?
Kwanza kuwa.heshima kwa king Messi pili MESSI KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL WORLD CUP NA KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL COPA AMERICA MARA 2. vp una la ziada au unataka nikukumbushe na ile FIFA WORLD.CUP under 20 messi alivyotwaa ubingwa ila.niishie hapo maana ushasahau olympic 2008 Messi.alivyotisha
 
Piga ua garagaza mzee mzima Gaucho alikuwa king Barca nimeamua kumlinganisha na Messi baada ya kuona mafanikio alioyapata akiwa Barca

...nshasema humu si mara moja si mara mbili, na bado nasema leo tena kuwa kumfananisha Messi na Ronaldinho ni sawa na kumfananisha Queen Elizabeth (Messi) na miss Britain (Ronaldinho).

elegance!!!
 
Last edited by a moderator:

Kufikisha finali na kutwaa kombe.ni vitu viwili tofauti kabisa.Itaendelea kuandikwa tu kuwa Messi hajawahi twaa kombe la dunia la wakubwa,na hajawahi twaa kopa America.Fullstop
 
Kufikisha finali na kutwaa kombe.ni vitu viwili tofauti kabisa.Itaendelea kuandikwa tu kuwa Messi hajawahi twaa kombe la dunia la wakubwa,na hajawahi twaa kopa America.Fullstop

samahani mkuu nina swali hv miaka 20 ni mkubwa au mdogo pia uniambie.mkubwa kuanzia miaka mingap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…