ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
mpka sasa anacheza football
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni mnipe mafanikio ya gaucho baada ya kuondoka nou camp mpaka sasa huko kwao
Kila mtu na zama zake! Dinho ni entertainer wakati Messi ni mtu wa kazi. Ni kama Dansi (Dinho) na Hip Hop (Messi).
Kama mtu wa kazi mwambie aipe Makombe Argentina
huyo dinho uzur bado hajastaafu na yupo uturuki sasa mtamlinganisha vp na messiAcheni. Maskhara..mchezaji kama dinho hajawahi kutokea..messi atasubiri sana kwa dinho.
aha hah hah amebeba Copa Libertadores yaani Klabu bingwa America ya Kusini.
mark and bind it...hilo kombe Nesi pia hajabeba
Ronadinho kachukua Champions league na Barcelona MARA MOJA. Lionel Messi kachukua Champions League na Barcelona MARA TATU! I rest my case.
najisikia mwenye bahati kumshuhudia gaucho enzi zake
hata mimi dinooooo gaucho hatareeee
Kile kiumbe ni hatareeeee
Kwanza kuwa.heshima kwa king Messi pili MESSI KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL WORLD CUP NA KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL COPA AMERICA MARA 2. vp una la ziada au unataka nikukumbushe na ile FIFA WORLD.CUP under 20 messi alivyotwaa ubingwa ila.niishie hapo maana ushasahau olympic 2008 Messi.alivyotishakwa hio wote wana medali ya Champions League...
ok Dinho Mnyama kabeba World Cup Mara 1.
haya vp kuhusu Nesi?
Piga ua garagaza mzee mzima Gaucho alikuwa king Barca nimeamua kumlinganisha na Messi baada ya kuona mafanikio alioyapata akiwa Barca
Kwanza kuwa.heshima kwa king Messi pili MESSI KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL WORLD CUP NA KAIFIKISHA ARGENTINA FINAL COPA AMERICA MARA 2. vp una la ziada au unataka nikukumbushe na ile FIFA WORLD.CUP under 20 messi alivyotwaa ubingwa ila.niishie hapo maana ushasahau olympic 2008 Messi.alivyotisha
Kufikisha finali na kutwaa kombe.ni vitu viwili tofauti kabisa.Itaendelea kuandikwa tu kuwa Messi hajawahi twaa kombe la dunia la wakubwa,na hajawahi twaa kopa America.Fullstop
Kufikisha finali na kutwaa kombe.ni vitu viwili tofauti kabisa.Itaendelea kuandikwa tu kuwa Messi hajawahi twaa kombe la dunia la wakubwa,na hajawahi twaa kopa America.Fullstop