Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
samahani mkuu nina swali hv miaka 20 ni mkubwa au mdogo pia uniambie.mkubwa kuanzia miaka mingap
samahani mkuu nina swali hv miaka 20 ni mkubwa au mdogo pia uniambie.mkubwa kuanzia miaka mingap
kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiii....
Pia Dinho alishinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia kipindi hata Malaika wanadekea soka.
Sio kipindi hiki cha Soka kanjanja lililojaa salakasi na uhanithi wa Blatter.
Dinho kashinda tuzo Zidane, De Lima, Figo, Del Piero, Shevshenko, na alama nyingine za Soka zikiwa uwanjani na kwenye pic ya hatari.
Hakika Dinho ni mbarikiwa.
Ukizingumzia uwezo wa entertainment Dinho hana mpinzani yeyote yule kwa wachezaji wote wale waliogusa mpira karne ya 21..
Ila likija suala la uwezo wa kuisaidia timu na threat kiujumla bila kusahau kuipa timu yake matokeo basi messi ni zaidi wa yeyote yule, kwa kuwa hata stats zinaonyesha mchezaji anayeongoza kwa kutoa assist, kucreate chances na kufunga ni lionel Messi...basi messi ni bora zaidi kwa Barca kushinda Dinho
Hizo ni facts.... Ukiachana na hayo tutakuwa tunabishana upenzi / unazi tuuu
Kwani Blatter kaanza kuwa Rais wa FIFA kipindi gani? Wakati huo wa kina Ronaldinho FIFA ilikuwa inaongozwa na nani?
huwezi kumuweka Messi kwenye level ya kina Pele.Miongoni mwa kitu Pele alichotuachia ,ukitupilia mbali magoli 1000 ni kupiga Tick tack, naomba uniambie Messi ametuachia nini?kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.
Wana World CupHata pele na maradona hawajawahi kuchukua Copa Amerika!!
Mkuu yo yo huyo kiumbe wa kuitwa Dinho ni habari nyingine.
ni mchezaji pekee aliewahi kushinda man of the match pasipo kuwepo uwanjani.
mbona tunatukanana tena?Unaonekana umezaliwa kipindi cha kina mesi,kwa hiyo wewe ni kama kipofu alieona tembo.Nimekwambia Pele ndiye aliyegundua kupiga Tick Tack sasa niambie huyo Messi wako kagundua nini?Usiongee kama vile umetoka kuanguka kwenye mti.
Du! Makubwa haya!! Sasa huo mguu wa ushoto ameazima au ni wake? Hao wengine kinawashinda nini kutumia miguu yao ya kushoto?
Ubishi mwingine hauna maana kwani badala ya kuja na statement za kuwa Messi ni mkali kwasababu anatumia mguu wa kushoto, tumia statistics ambazo zipo nyingi zinazoonesha nani ni zaidi kati ya Messi na Dinho. Mfano mdogo tu ingia wikipedia halafu linganisha rekodi zao ndio utajua nani zaidi.
Tuzo huzitokei jasho hizo wewee...pasuka.
tuzo hizo unapigiwa kura, hazina offside, wala hukimbii, haukabwi wala kuzomewa.
Tuzo hizo hazina sub wala hauchezewi rafu.
Futa mimate hiyo.
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1
His the reason most started watching football.