Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

samahani mkuu nina swali hv miaka 20 ni mkubwa au mdogo pia uniambie.mkubwa kuanzia miaka mingap

Usijifariji mkuu kwa kutwist miaka,Kombe la Dunia.alilotwaa Dihno Messi hana,we endelea kushangilia hilo kombe la dunia ambalo kulitaja ili ueleweke Lazima utoe maelezo mengi.Lkn linaloitwa KOMBE LA DUNIA Messi hajawahi twaa
 
Mnapata shida kumfananisha Golden Boy (Messi) na Dinho.

Dinho alikuwa mzuri lakini hamfikii Messi.

Dinho hamfikii hata Zidane.
 
Ukizingumzia uwezo wa entertainment Dinho hana mpinzani yeyote yule kwa wachezaji wote wale waliogusa mpira karne ya 21..

Ila likija suala la uwezo wa kuisaidia timu na threat kiujumla bila kusahau kuipa timu yake matokeo basi messi ni zaidi wa yeyote yule, kwa kuwa hata stats zinaonyesha mchezaji anayeongoza kwa kutoa assist, kucreate chances na kufunga ni lionel Messi...basi messi ni bora zaidi kwa Barca kushinda Dinho

Hizo ni facts.... Ukiachana na hayo tutakuwa tunabishana upenzi / unazi tuuu
 
Pia Dinho alishinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia kipindi hata Malaika wanadekea soka.
Sio kipindi hiki cha Soka kanjanja lililojaa salakasi na uhanithi wa Blatter.

Dinho kashinda tuzo Zidane, De Lima, Figo, Del Piero, Shevshenko, na alama nyingine za Soka zikiwa uwanjani na kwenye pic ya hatari.

Hakika Dinho ni mbarikiwa.

Kwani Blatter kaanza kuwa Rais wa FIFA kipindi gani? Wakati huo wa kina Ronaldinho FIFA ilikuwa inaongozwa na nani?
 
Ukizingumzia uwezo wa entertainment Dinho hana mpinzani yeyote yule kwa wachezaji wote wale waliogusa mpira karne ya 21..

Ila likija suala la uwezo wa kuisaidia timu na threat kiujumla bila kusahau kuipa timu yake matokeo basi messi ni zaidi wa yeyote yule, kwa kuwa hata stats zinaonyesha mchezaji anayeongoza kwa kutoa assist, kucreate chances na kufunga ni lionel Messi...basi messi ni bora zaidi kwa Barca kushinda Dinho

Hizo ni facts.... Ukiachana na hayo tutakuwa tunabishana upenzi / unazi tuuu

Sawa embu niambie, amesaidia vip kwa hizo facts zako kwa timu ya taifa Argentina? Mm ninavyofahamu ktk soka mafanikio ya timu au mchezaji ni mataji tu,
 
Huu mjadala ulishawahi kupelekwa hadi kwa mashabiki wenyewe wa Barca pale Camp Nou ambapo wengi walimchagua Messi kuliko Ronaldinho
 
Pale hawasingeweza kumchagua dinhnyo kwa kuwa mess bado anacheza , ata angekuwa kanjanja bado wangempoint tu.
 
huwezi kumuweka Messi kwenye level ya kina Pele.Miongoni mwa kitu Pele alichotuachia ,ukitupilia mbali magoli 1000 ni kupiga Tick tack, naomba uniambie Messi ametuachia nini?kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.

Unataka kusema wachezaji wengine hawana miguu ya kushoto? Kama ni vigumu kumkaba kwa kutumia mguu wa kulia, si watumie miguu yao ya kushoto?
 
mbona tunatukanana tena?Unaonekana umezaliwa kipindi cha kina mesi,kwa hiyo wewe ni kama kipofu alieona tembo.Nimekwambia Pele ndiye aliyegundua kupiga Tick Tack sasa niambie huyo Messi wako kagundua nini?Usiongee kama vile umetoka kuanguka kwenye mti.

Tick-tack sielewi unamaaniisha nini hasa, kama unamaanisha tik-tak, basi ni team style ya kupasiana mpira haraka haraka. lakini kama unamaanisha ile style ya acrobatics ambapo mpira unapigwa kwa juu kunyumenyume, inayojulikana kama bicycle kick, itakuwa vema kurudi kwenye historia maana ilianza kabla ya kipindi cha Pele, ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1900 (karne ya 20) hasa hasa nchini Peru na Chile, kwa maana hiyo, Pele si mwanzilishi wa style hiyo ya kupiga mpira, isipokuwa yawezekana katika wachezaji maarufu, yeye ndiye alionekana kwanza akiitumia na wengine wakaiga. naye pia aliiga somewhere.

Hata katika kombe la dunia (FIFA World Cup) style hii ilitumika kwa mara ya kwanza na Mbrazil Leonidas da Silva mwaka 1938, miaka miwili kabla Pele hajazaliwa. Katika mechi za kawaida huyu huyu Leonidas aliitumia style hii mwaka 1932, miaka minane kabla ya kuzaliwa Pele. Hivyo ningeomba kama tik tak unamaanisha bicycle kick, muondoe Pele kuwa mwanzilishi wa style hiyo. Ila kama unamaanisha kitu kingine, tueleweshane pia.

Soma zaidi hapa:
https://en.wikipedia.org/wiki/Bicycle_kick#Records (soma kipengele cha "Records" au some habari yote)
https://en.wikipedia.org/wiki/Leônidas#The_bicycle_kick (kuhusu Leonidas na Bicycle kick ya kwanza)
https://en.wikipedia.org/wiki/Tiki-taka (kwa maana halisi ya style ya tik-taka)
 
Du! Makubwa haya!! Sasa huo mguu wa ushoto ameazima au ni wake? Hao wengine kinawashinda nini kutumia miguu yao ya kushoto?

Ubishi mwingine hauna maana kwani badala ya kuja na statement za kuwa Messi ni mkali kwasababu anatumia mguu wa kushoto, tumia statistics ambazo zipo nyingi zinazoonesha nani ni zaidi kati ya Messi na Dinho. Mfano mdogo tu ingia wikipedia halafu linganisha rekodi zao ndio utajua nani zaidi.

Mkuu, inawezekana hao wengine miguu yote miwili ni ya kulia tu!
 
Forget about dinho we now talk about record breaker messi!haya mmuite huyo dinho tuone record zake.messi ni habari nyingine kabisa!
 
Tuzo huzitokei jasho hizo wewee...pasuka.
tuzo hizo unapigiwa kura, hazina offside, wala hukimbii, haukabwi wala kuzomewa.
Tuzo hizo hazina sub wala hauchezewi rafu.

Futa mimate hiyo.

Hii kauli yako ni ya zamani na umeirudia-rudia ila naamini sasa hivi huwezi kuirudia. Hivi unadhani hao wanaopiga kura wanakuja na majina yao kutoka nyumbani kwao , majina ya mtu yeyote wanayemjua hata kama hachezi mpira? Hivi hujui kwamba kura hizo zinatilia maanan majasho yote, chenga zote, magoli yote, makwanja yote na kadhalika ambayo mchezaji amepambana nayo uwanjani? Wale makocha unafikiri wanaangalia rekodi za kuimba muziki au kucheza ngoma? Si wanaangalia maisha ya wachezaji husika "wakiwa uwanjani" kwa mwaka husika? Hii comment yako ni ya kushangaza.
 
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1



His the reason most started watching football.

Hata wewe ulianza na Ronaldinho?
 
Back
Top Bottom