Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Mwachen Dinho apumzike asifananishe na watt
Hawa watoto wa Ronaldo vs Messi hawaelewi hili... Dinho ilikuwa habari nyingine kwenye suala zima la kukanyaga soka
 
kwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita

Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
 
Tulishasema huyu asifananishwe na kiumbe yeyote, anaevuta oksijeni.
 
nampenda Messi lakini Dinho ni zaidi ya messi kwenye mpira mara 1000
 
Dinho asifananishwe na vitu vya kijinga tafadhari?
Katika ulimwengu wa burudani ya soka, Dinho hana mpinzani! Ukibisha ingia you tube uone alivyoufanya mpira kuwa burudani!
Messi acha apambanishwe na wafumania nyavu kama Ronaldo lakini Kwa habari ya kuutawala na kuuchezea Mpira huo ni ulimwengu pekee wa Dinho!
 
kwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita

Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
Top ten Kwa kigezo kipi? Kama ni kigezo cha kufunga magoli mengi ni kweli hayupo kwenye top ten. Lakini Kwa kigezo cha kuutawala mpira, na kufanya vitu adimu, na kutoa burudani Kwa watazamaji, Dinho hana mpinzani! ni wa kutoka sayari nyingine! Kwa kigezo cha kunyanyasa mabeki hapo hana mpinzani! Messi na Rinaldo ni cha mtoto sana!
 
Dinho angeweza kuwa mfungaji bora pengine kila league kama angeamua Ila hakuwa mbinafsi

Na kumbuka mechi nying za barca alipata nafasi za wazi za kufunga lakini alitoa nafasi kwa mwingine kwa njia ya pasi hapa ndipo palifanya Samuel etoo anonekane


Dinho kwangu Ndio mchezaji bora wa karne kwa muda wote
Na sijajua kama kuna tumbo LA mwanamke litabeba mimba ya kumtoa gaucho tena au zaid Ila wakukaeiribia watakuja wengi
 
Ronaldo anacheza kwa falsafa za pele,mpira magoli.
Messi anacheza kwa falsafa za Maradona, mpira magoli, vyenga na trophies.
Ronaldinho alicheza kwa falsafa za Ronaldinho mwenyewe,mpira burudani na ushindi.
 
Dinho asifananishwe na vitu vya kijinga tafadhari?

Mtaongea sana ndivyo wabongo tulivyo...lakini chama cha soka ulimwenguni na mashabiki kote duniani wanamkubali na wanamtambua kuwa MESSI ndie mchezaji bora kuwahi kutokea..while huyo gaucho hata top 10 hayupo alafu unamfananisha na King Messi!!! Ninyi mnaleta utani..

Yani umewaruka baba zake wakina DIEGO MARADONA, PELE,DE STEFANO,JOHAN CRUIFF, ZIDANE N.K ukaja kwa MFALME!! Duh ipo kazi...kwa style hii acha huyu msukuma aendelee kutunyoosha kidogo kidogo.


Sasa kamanda ni hi hivii....Ili Gaucho um-compare na King Messi ni lazima kwanza apitie kwa wakubwa zake hao niliowataja hapo nuu...akipenya hapo ndipo mumlinganishe na MESSI. Otherwise mtaendelea kumwaga maji kwenye kinu.


 
There has never been a king without a crown.
Asanteni kwa kunielewa.
 
kwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita

Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
Hivi wewe unamjua Ronaldinho kweli au unamsikia daah!
 
Asiekusikia basi hatosikia tena, Ronaldinho ,the so called master of ball control
 
Asiekusikia basi hatosikia tena, Ronaldinho ,the so called master of ball control

Akkhui Unapomsifia weka basi na facts/evidence atleast tutaenda sambamba.....lakini ukisema gaucho alikuwa kiboko mara sijui master of ball control..ni vigumu kuelewa without any evidence


Bado sijapata mtu wa kuniletea ushahidi wa huyu jamaa yani mpaka nita retire humu jamiiforrums naamini hatatokea wa kuniletea facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…