Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Dinho asifananishwe na vitu vya kijinga tafadhari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watoto wa Ronaldo vs Messi hawaelewi hili... Dinho ilikuwa habari nyingine kwenye suala zima la kukanyaga sokaMwachen Dinho apumzike asifananishe na watt
Hawa watoto wa Ronaldo vs Messi hawaelewi hili... Dinho ilikuwa habari nyingine kwenye suala zima la kukanyaga soka
Katika ulimwengu wa burudani ya soka, Dinho hana mpinzani! Ukibisha ingia you tube uone alivyoufanya mpira kuwa burudani!Dinho asifananishwe na vitu vya kijinga tafadhari?
Top ten Kwa kigezo kipi? Kama ni kigezo cha kufunga magoli mengi ni kweli hayupo kwenye top ten. Lakini Kwa kigezo cha kuutawala mpira, na kufanya vitu adimu, na kutoa burudani Kwa watazamaji, Dinho hana mpinzani! ni wa kutoka sayari nyingine! Kwa kigezo cha kunyanyasa mabeki hapo hana mpinzani! Messi na Rinaldo ni cha mtoto sana!kwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita
Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
Kweli kbsa kbsakwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita
Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
Dinho asifananishwe na vitu vya kijinga tafadhari?
There has never been a king without a crown.Mtaongea sana ndivyo wabongo tulivyo...lakini chama cha soka ulimwenguni na mashabiki kote duniani wanamkubali na wanamtambua kuwa MESSI ndie mchezaji bora kuwahi kutokea..while huyo gaucho hata top 10 hayupo alafu unamfananisha na King Messi!!! Ninyi mnaleta utani..
Yani umewaruka baba zake wakina DIEGO MARADONA, PELE,DE STEFANO,JOHAN CRUIFF, ZIDANE N.K ukaja kwa MFALME!! Duh ipo kazi...kwa style hii acha huyu msukuma aendelee kutunyoosha kidogo kidogo.
Sasa kamanda ni hi hivii....Ili Gaucho um-compare na King Messi ni lazima kwanza apitie kwa wakubwa zake hao niliowataja hapo nuu...akipenya hapo ndipo mumlinganishe na MESSI. Otherwise mtaendelea kumwaga maji kwenye kinu.
Hivi wewe unamjua Ronaldinho kweli au unamsikia daah!kwa watu wenye akili dinho hayupo hata top 10 mchezaji kakaa kwenye ubora miaka mitano sijui sita
Mpira alikua anajua ila alikua MTU bata sana
Asiekusikia basi hatosikia tena, Ronaldinho ,the so called master of ball controlRONADINHO.... Yeye aliufanya mpira uwe burudani, yaani kama muziki tu.. aliweza kuutuma na kuuamuru alivyotaka na mpira ulitii, unapomuangalia akiwa ameshika mpira unajikuta unatabasamu ni kama unamuangalia mtumbuizaji jukwaani, hakuwahi kuwa serious sana au kuukamia mpira daima kwake aliurahisisha sana mchezo wa mpira wa miguu, kwangu huyu ndo MCHEZAJI MWENYE KIPAJI ZAIDI CHA SOKA.
MESSI.... Mpira kwake ni matokeo ya mwisho, hakuna manjonjo yoyote ambaye yanamtambulisha kama ilivyo kwa Ronaldinho, au Zidane, yaani kuna pasi au kuna chenga ikipigwa unajua hii ilikuwa staili ya fulan lakin Messi hana staili inayomtambulisha kiasi cha wengine kuiga, daima hufanya bidii kwenye kutafuta nafasi ya kufunga au kutoa pasi ya hatari kwa mpinzani.. kwangu Messi ndo MCHEZAJI MWENYE MADHARA ZAIDI.
There has never been a king without a crown.
Asanteni kwa kunielewa.
Asiekusikia basi hatosikia tena, Ronaldinho ,the so called master of ball control