putinelimusu
Senior Member
- Aug 26, 2016
- 180
- 169
kwa kweli uchambuzi mwingi humu ni wa ushabiki usio na fact za kimsingi kwa mshabiki wa kawaida katika soka anaweza akamsifia dinho na kumponda messi ila nenda tu youtube utafute kitu ya kuitwa magical messi uone kwamba anayoyafanya kuna mtu anaweza kuyafanya?
kama mpira ungekuwa una mungu basi ni dinhoMkuu yo yo huyo kiumbe wa kuitwa Dinho ni habari nyingine.
ni mchezaji pekee aliewahi kushinda man of the match pasipo kuwepo uwanjani.
Ronaldhinho alikuwa mchezea mpira tu hana chochote mbele ya Lionel Messiah
Mtu mwenyewe hapo barca kapitwa goals hadi na neymarWatakubishia Mkuu π Wakati hata kwenye top 10 hayumo. Ni vizuri mtu anamsifia mchezaji alafu anakuja na facts/evidence.but ukiomba evidence wanakimbia hawarudi πππ hapo ndio huwa wananiacha mbavu ziume
Unavuta cha wapi mkuu?Alafu utasikia oh wameanza kushabikia kipindi cha messi..huo ndio msemo wao...mimi nakaribia kwenye 40 na nimewafuatilia vizuri na sijaona wa kumfika messi mpaka sasa,, sio maradona sio pele wala hawa makinda wanaofananishwa na MFALME/MAGICIAN MESSI
Unavuta cha wapi mkuu?
Mtu mwenyewe hapo barca kapitwa goals hadi na neymar
Umemwacha henry piaPia Dinho alishinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia kipindi hata Malaika wanadekea soka.
Sio kipindi hiki cha Soka kanjanja lililojaa salakasi na uhanithi wa Blatter.
Dinho kashinda tuzo Zidane, De Lima, Figo, Del Piero, Shevshenko, na alama nyingine za Soka zikiwa uwanjani na kwenye pic ya hatari.
Hakika Dinho ni mbarikiwa.