Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

kwa kweli uchambuzi mwingi humu ni wa ushabiki usio na fact za kimsingi kwa mshabiki wa kawaida katika soka anaweza akamsifia dinho na kumponda messi ila nenda tu youtube utafute kitu ya kuitwa magical messi uone kwamba anayoyafanya kuna mtu anaweza kuyafanya?
 
Mkuu waache wapige kelele mpaka wachoke wabongo ndivyo tulivyo ndio maana wazungu wanatudharau...eti Messi anafananishwa na vitu vya kijinga/gaucho..ukimuomba facts/evidence haleti 😀
 
Alafu utasikia oh wameanza kushabikia kipindi cha messi..huo ndio msemo wao...mimi nakaribia kwenye 40 na nimewafuatilia vizuri na sijaona wa kumfika messi mpaka sasa,, sio maradona sio pele wala hawa makinda wanaofananishwa na MFALME/MAGICIAN MESSI
 
starehe zimeshusha kipaji chake huyu angedumu miaka mingi tu kwenye pic
 
Ronaldhinho alikuwa mchezea mpira tu hana chochote mbele ya Lionel Messiah

Watakubishia Mkuu 😀 Wakati hata kwenye top 10 hayumo. Ni vizuri mtu anamsifia mchezaji alafu anakuja na facts/evidence.but ukiomba evidence wanakimbia hawarudi 😀😀😀 hapo ndio huwa wananiacha mbavu ziume
 
Mtu mwenyewe hapo barca kapitwa goals hadi na neymar
 
Alafu utasikia oh wameanza kushabikia kipindi cha messi..huo ndio msemo wao...mimi nakaribia kwenye 40 na nimewafuatilia vizuri na sijaona wa kumfika messi mpaka sasa,, sio maradona sio pele wala hawa makinda wanaofananishwa na MFALME/MAGICIAN MESSI
Unavuta cha wapi mkuu?
 
Pia Dinho alishinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia kipindi hata Malaika wanadekea soka.
Sio kipindi hiki cha Soka kanjanja lililojaa salakasi na uhanithi wa Blatter.

Dinho kashinda tuzo Zidane, De Lima, Figo, Del Piero, Shevshenko, na alama nyingine za Soka zikiwa uwanjani na kwenye pic ya hatari.

Hakika Dinho ni mbarikiwa.
Umemwacha henry pia
 
Back
Top Bottom