Well written Sikonge, nilisoma maelezo ya Deco kuhusiana na Barca hii ya sasa, yeye alisema Barca hii haina tofauti na ile ya kwao kwani game approach ni ileile na wana maintain-philosophy-ileile isipokuwa tofauti kubwa ni Messi.Mwana mtoka Pabaya,
Nafikiri ukiangalia Record, utakuwa unamfanyia unyama Ronadinho. Ni sawa na kuangalia kwenye mechi za timu ya Taifa, utakuwa unamnyanyasa Messi.
Kwenye mpira kuna Team Work. Ronadinho alikuwepo wakati Mpira wa Barca unaingia kwenye Total Football na watoto wa nyumbani ambao waliongozwa na Xavi & Iniesta. Wengine walianza kujazilia jazilia nyama kwenye timu ya Barca huku wakienda kuwachukua wacheaji wa timu nyingine kutengeneza timu.
Kuwepo kwa wachazaji kama Puyol na Shakira boyfriend Gerrad Pique kuliifanya timu nzima ya Barcelena kukamilika. Wakawa wanatafutwa sasa wachezaji wa kumalizia ambao mwanzo walikuwa Etoo na Ronadinho. Tatizo kubwa ni kuwa wakati huo, hao wachezaji wanne nguzo ya Barcelona walikuwa bado hawajaiva vizuri.
Kuingia kwa Pepe na kubadilisha kidogo mchezo kulianza kuibadilisha na Barca. Messi alipokuwa na kuanza kuibeba Barca huku uzoefu wa Xavi na Iniesta ukionekana waziwazi, imekuwa kama nyenzo inayomfanya Messi azidi kungaa. Kwa mbele tatizo ni Messi peke yake kwani kuna wachezaji wengi tu wanaoweza kupokea mpira kutoka kwa Messi na kufunga. Sasa haijulikani mumkabe yeye au wale wengine.
Kwa ujumla, Barca imetulia mno kwa kila nafasi na labda kibonde ni Kipa wao ila sema mshenzi ana BAHATI sana na sijui wanampenda kwa sababu hiyo maana wangeliweza kutafuta mtu mrefu na mzuri zaidi ila wanaye huyo huyo pamoja na makosa ambayo pana wakati hufanya.
Messi angelikuwa kweli NYOTA ya kutisha basi kwenye timu ya Taifa tungelimuona pia. Na sawa na mechi ambayo sikumbuki lini walipofungwa na Barca, Argentina waandishi wa habari wakasema "Tik Taka bila Messi, hamna kitu" na Argentina walipofungwa na Spain wakaandika Messi bila Tik Taka si chochote.
Ongeeni tu ila unapomzungumzia Lionel Messi ni habari nyingine kabisa. Anajua majukumu yake uwanjani.
Gaucho ni Mungu wa Mpira wa miguu...hajazaliwa mwingine na hatazaliwa. Kile kipaji Mesi hatokifikia....Long live Mungu wa soccer Gaucho
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya, nikwambie kitu?
Asante sana mkuu...
Kombe la dunia lililofanyika SA, sports commentators waliweka wazi kuwa Lione Messi amepwaya na michuano imekosa msisimko kutokana na kukosekana kwa Ronaldinho. Hakukuwa na mchezaji aliyewaza kuonyesha umahiri wa GAUCHO, licha ya wapambe (waandishi uchwara) kumwita Messi -The Megician kabla hajaingia uwanjani na kuchemsha vibaya mno.
Messi ni mfungaji bora ni makosa makubwa ambayo fifa wamefanya na hizo kamati feki zinazoundwa na waandishi wa habari kumpa Messi uchazaji bora wa dunia. Msimu uliopita hakupata mafaniko yoyote kupelekea team alizochezea kuanzia timu ya taifa mpaka BARCA . Iweje watu waliopelekea timu zao kupata mafanikio msimu uliopta kama Ronaldo ama Drogba wasiwekwe kwenye list wampe mtu aliyestahli ufungaji bora na si uchezaji bora.
mwmabie mnazi wa messi huyo mtoka kupaya......na alaaniwe dunga mpumbavu sana huyu kocha aliniuzi sana....Kombe la dunia lililofanyika SA, sports commentators waliweka wazi kuwa Lione Messi amepwaya na michuano imekosa msisimko kutokana na kukosekana kwa Ronaldinho. Hakukuwa na mchezaji aliyewaza kuonyesha umahiri wa GAUCHO, licha ya wapambe (waandishi uchwara) kumwita Messi -The Megician kabla hajaingia uwanjani na kuchemsha vibaya mno.
Messi ni mfungaji bora ni makosa makubwa ambayo fifa wamefanya na hizo kamati feki zinazoundwa na waandishi wa habari kumpa Messi uchazaji bora wa dunia. Msimu uliopita hakupata mafaniko yoyote kupelekea team alizochezea kuanzia timu ya taifa mpaka BARCA . Iweje watu waliopelekea timu zao kupata mafanikio msimu uliopta kama Ronaldo ama Drogba wasiwekwe kwenye list wampe mtu aliyestahli ufungaji bora na si uchezaji bora.
Mwana mtoka patamu umemsoma kamanda hapo juu?
mwmabie mnazi wa messi huyo mtoka kupaya......na alaaniwe dunga mpumbavu sana huyu kocha aliniuzi sana....
Tell me braza
MKuu, Mesi ni mzuri, lakini Gaucho ni shughuli nyingine kabisa, Messi nje ya viungo wa Barca (Xaxi, Iniesta nk) si kitu kabisa na ndio maana hana mafanikio yoyote kwenye timu yake ya taifa, na hapo ndipo Gaucho anapomzidi Messi
Kila Team inataman kumpata Messi, Trust me Bro Hakuna Pesa ya Kumtoa Lionel Messi pale Barcelona. Ndio maana Team yoyote ikitaka kumsajil kwenye mazungumzo hata wiki moja haichukui, unapomzungumzia Messi basi unazungumzia Habar nyingine katika SOKA, nenda pale Madrid kauze wachezaji wote rudi na uingereza ukauze wachezaji wa Team kubwa wote na bado usipate ela ya kumnunua. Nkwambie kitu kingine tena!!!???
Messi is overrated........
He is what i call a media sensation
For me Gaucho hands down
usisahau pia kuwa Messi ndiye aliyeongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye timu za taifa mwaka 2012, alifunga magoli 12, akifuatiwa na Neymar magoli 11.
Shame on you.
Mpira hauchambuliwi kupitia magazeti ya sh mia tatu ya bongo, kama unataka kuuchambua ingia maktaba na angalia mechi.
Messi ana medali ya dhahabu ya Olympic ya mwaka 2005. Kwa taarifa yako, kwenye michuano hiyo yeye ndie alikuwa mfungaji bora (6 goals)
Kama ni Xavi na Iniesta hata Gaucho alicheza nao, mbona na yeye asiwe mchezaji bora mfululizo?
La tatu, (hii ni kwa faida yako na mama Yo Yo, Gang Chomba na wengineo) Messi kwa muda wote aliochezea timu ya Taifa ya Argentina amekuwa akicheza kama Playmaker (namba 8) ukiondoa mwaka 2012 ambapo kwa mara ya Kwanza amecheza kama Namba 10 na kudhihirisha kuwa hakabiki, mechi yake ya kwanza tu kucheza kama mshambuliaji alipiga Hat-Trik. Kumbuka hapo mwanzo jukumu la kufunga lilikuwa kwa Tevez na Higuan (Fuatilieni mpira sio majungu tu)
Kwa kuongezea, magoli 4 kati ya 12 aliyoifungia Argentina mwaka 2012 ameyafunga baada ya kumaliza beki zote kwa chenga za maudhi
Kama ulivyosema, FOR YOU.
Lakini kwa mujibu wa makocha wa vilabu na manahodha wa timu za taifa, Messi ndio bora zaidi.
Na hata kama ni kumshindanisha basi Ronaldinho sio saizi yake, yupo mtu mmoja tu: Ronaldo de Lima 'The Phenomenon Boy'. Haya anayobebewa mbeleko Gaucho hata Gervinho na Kanu wamefanya