Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Haahaaa, asanteni kwa uzi huu, hayo maneno ya Arteta yamenifanya nicheke hadi walio karibu wananishangaa... AntMessi baada ya kuona issue ya kombe la dunia inamwangusha na CR7 pia, naona wameamua kutafuta mwingine wa kumlinganisha naye! Kazi mnayo...

Jiulize kwa nini watu waliokaribu yako wanakushangaa kisha ukipata jibu kachukue kopo ukachambe.

Mpira ungekuwa na mdomo basi ungeomba kila dakika upelekwe kwa Mtakatifu Gaucho, ili ukafurahi, pia wewe mpinga Gaucho nawe ufurahi na pia Messi ajifunze na kufurahi.
 
Tuzo huzitokei jasho hizo wewee...pasuka.
tuzo hizo unapigiwa kura, hazina offside, wala hukimbii, haukabwi wala kuzomewa.
Tuzo hizo hazina sub wala hauchezewi rafu.

Futa mimate hiyo.

Kama tuzo huzitolei jasho mbona asipewe Gaucho mara 4?
Kwa hiyo unadhani tuzo wanapewa na Blatter? Uliza uambiwe, anapigiwa kura na wanaojua vigezo na kuzingatia mambo fulani sio wewe na Mama Yo Yo na jealous zenu.

Mwaka wenu huu, na bado, Messi ataendelea kuwashika. This time mtamlinganisha na Leodger Tenga.
 
Last edited by a moderator:

Na kumbe unajua off side ni kikwazo eeh, basi ndio ujue Messi alifanya kazi kubwa. Kapiga mabao mengi kuliko mtu yeyote pale Barca kwa hiyo alizishinda off sides nyingi
 
Ndetichia kajaribu kukueleza hapo juu jinsi tuzo hizo zinavyopatikana.
Kama hujamuelewa yeye basi huwezi kumuelewa hata Mungu usiemuona.
 
Last edited by a moderator:
nadhani ishu hapa inayoongelewa ni vigezo vya kumpa jamaa ballon d or huwa hazieleweki maana huyu CR7 akijitahidi kuchukua ndoo huwa wanaondoa kipengele cha ndoo akijitahidi kutupia kamba wanaondoa kipengele za kufunga soo lazima watu waongee ila wangesema mchezaji kuchukua ndoo aliyestaili ni torres maana kachukua uero na champions league..

#FIFA =NEC
Haahaaa! mkuu ndetichia, salama?! Umeelewa issue inayoongelewa hapa na una uhakika ulichoandika hapa ni sahihi?! Haya bana. Kuna watu ambao itawachukua miaka 10 au hata 20 kutoka sasa kung'amua kuwa Messi ni habari nyingine kabisa.
 
Au ndio ID mbili mbili sasa unajimix mkuu
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……

Kwa hiyo ni Ronaldinho ndio ameitengeneza Barca eti? Halafu wakamuuza mwalimu wao? Kweli DOUBLE ID, maana mawazo ni yale yale. Ni kweli Barca imemtengeneza Messi, ila hilo la Gaucho kuitengeneza Barca ndio illusions zenyewe.
Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….

Well then, baada ya yeye kuitengeneza Barca, iweje wenye Barca yao wamtukuze Messi kiasi hicho? Nikukumbushe kuwa Anzhi Makatchakala wametoa ofa ya £205m kwa Barcelona na mshahara wa £430,000 kwa Messi lakini still Barca wamekataa kumuuza Messi japo walimuuza Ronaldinho kwa bei chee?
Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……

Mkuu mama Yo Yo, ni hao hao kina Arsene Wenger, Jose Mourinho, Diego Maradona, Marcello Lipi na makocha wengineo ndio wamempigia Messi kura na sio shabiki njaa kama mimi na wewe.
mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?

Kwa vile mleta maada amewalinganisha magwiji hawa wakiwa Barcelona, nimeona ni vema nikiweka rekodi zao wakiwa wachezaji wa Barcelona tu (Gaucho amechezea klabu zingine zaidi ya Barcelona).

[TABLE="class: grid, width: 613"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Lionel Andrés "Leo" Messi [/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year[/TD]
[TD="align: center"]Club[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012/13[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]27[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2011/12[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]37[/TD]
[TD="align: center"]50[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010/11[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009/10[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]34[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2008/09[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]28[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]26[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]232[/TD]
[TD="align: center"]196[/TD]
[TD="align: center"]74[/TD]
[TD="align: center"]77[/TD]
[TD="align: center"]58[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Ronaldo de Assis Moreira ( Ronaldinho Gaúcho)[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]32[/TD]
[TD="align: center"]21[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]29[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2003/04[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]146[/TD]
[TD="align: center"]70[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]44[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mataji waliyopata wakiwa na Barcelona
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]Mataji[/TD]
[TD="align: center"]Messi[/TD]
[TD="align: center"]Gaucho[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]La Liga[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copa del Rey[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Supercopa de Espana[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Super Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIFA Club World Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nani zaidi? Amua mwenyewe!

Sources:
Lionel Messi - Wikipedia, the free encyclopedia
Ronaldinho - Wikipedia, the free encyclopedia
Lionel Messi Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
Ronaldinho Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC

Mkuu we ungetubandikia tu hata huko Ronaldinho alikoelekea ili ANTI-MESSIS wajue kuwa hata wakiongezewa miaka mingine bado Messi ni Messi tu. Kuna watu wana jealous mbaya mpk wanapata vidonda vya tumbo.
 
Na kumbe unajua off side ni kikwazo eeh, basi ndio ujue Messi alifanya kazi kubwa. Kapiga mabao mengi kuliko mtu yeyote pale Barca kwa hiyo alizishinda off sides nyingi

hitimisho ni kuwa kila alichokishinda Messi basi Gaucho alisha kishinda.

Lakini kuna alichokishinda Gaucho huyo Messi hajawahi kukishinda.

So kwa niaba ya wamiliki wa Jamii forums, pia kwa mamlaka niliokabidhiwa na mtoa mada ndugu Yo Yo, na wachangiaji woote waliochangia thread hii napenda kumpa kura zoote za ushindi nabii wa Soka Ronaldinho gaucho ambaye ni WORLD CUP WINNER.

Narudia tena WORLD CUP WINNER.

Asanteni.
 
Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……

Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….

Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……

mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?

Arifu niliwahi kuwa na IDs zaidi ya 23 hapo kale…niliacha mambo hayo long kitambo…kama un anilinganisha na GC basi umepotea sana kamanda……

Arifu hapa ni jukwaa la spoti kamanda usijibu kama uko jukwaa la siasa aisee….tizama era ya barca utajua kwanini nasema hivyo…tatizo lako hujatulia unavyojibu thread hii….

Kumbuka hata maradona alihama kutoka borca jr kwenda bara kwa ada iliovunja rekodi ya $ mil 5 kipi cha ajabu?? Hizo figure hazi justfy kuwa messi ni mkali zaidi ya dinho……

mkuu mie sio mama ni baba wa motto mmoja wa kike anaitwa Lisa…jifunze kujenga hoja bila kutoka nje ya mada ya kutoa kashfa za reja reja….mkuu niambie ni lini hao jamaa wamepiga kura ya kumchagua messi ?

Achana na mambo ya arifu arifu, mimi sielewi kiarabu wala kisomali twende kwa kiswahili.

Ulizojibu sio hoja, umejidandisha tu kwenye mama Yo Yo na ID mbili. Sio wewe umebana pua ooh sijui nani kasema nini, sasa mimi nimekuwekea list ya manguli wakitoa comments juu ya Messi mbona hilo hujajibu unajikimbizia kwenye arifu arifu na ID.

Kwani wakati Barca wanamuuza Ronaldinho alikuwa amezeeka au? Hivi kwa akili yako £205m ni senti za majadiliano? Hii inamaanisha Messi ni most valuable to them, na ndio maana hawamuuzi kama walivyomuuza Dinho.

Mwaka wenu, wivu utawaua
 
Last edited by a moderator:
Je unakumbuka kuwa kabla ya hiyo mechi waliyoshinda 4-0, Barca walifungwa 3-0 huko Italy? Walishinda na kuendelea kwa sababu tu walikuwa na goli moja zaidi. Anyway, tuliona wote mechi ambazo Barca walifungwa na Gaucho akaanza kufanya faulo za kitoto... Mie mwenyewe hapa ni mpenzi mkubwa sana kwake ila siyo KIPOFU wa kutokuona akifanya makosa.

Anyway, wote tuliangalia mechi za Gaucho na Messi na kila mtu ana uamuzi wake wa kusema nani ni zaidi. Ila sidhani hata kama umesoma nilichoandika zaidi ya kukurupa. Sawa, bana, wee mpiganie huyo Mpiga ny*t* Online ili dunia nzima imuone akijikamua (najua na hili utabisha, hahahaaa.......).
napinga na wewe.
Nani alikwambia ni kitu rahisi kumnyang'anya Dinho mpira?
Huko ni kukurupuka.
Ronaldinho akiichezea Barca katika mchezo wa nUsu fainali dhidi ya AC Milan aliwadhalilisha nguli wawili Gatuso na Nesta na ifamike kuwa Nesta ni beki bora wa kati kisha Gaucho akasababisha majanga kwa Milan.

The same shit last season Barca vs Milan Alesandro Nesta anaapa Messi hata acheze na mikono basi hawezi kumpita na kwenda kufunga na hata kuwatoa katika robo fainali.

Messi alishindwa.
Messi hakumpita NESTA aliekuwa na 37yrs.
Then tazama mechi ambazo Dinho yuko uwanjani na Messi yupo uwanjani utagundua ni nani mrahisi kumnyang'anya mpira.

Kumkaba Gaucho na kumnyang'anya mpira kirahisi inakubidi umfuate ukiwa na bikali au kisoda cha kumkwangua mgongoni.
 
Kwani wakati Barca wanamuuza Ronaldinho alikuwa amezeeka au? Hivi kwa akili yako £205m ni senti za majadiliano? Hii inamaanisha Messi ni most valuable to them, na ndio maana hawamuuzi kama walivyomuuza Dinho.
Mwaka wenu, wivu utawaua
Tztizo lako nakuambia unajibu hoja kama unapongea na wakina Nape.....wewe huzijui clab hizi kubwa Barcelona na Real Madrid hawana heshima kwa Legends hata Messi ataishia river plate na CR7 ataishia sporting lisboa wakati umri wao utakapoanza kuwatupa mkono...angalia Raul aliisshia wapi.....alitupwa mbali hakuna aliemjali na wakati ndio mfungaji wao bora pale....samuel etoo je? basi walibadilishana kwa mil 40 kumnasa Ibra....beckam je? Figo waliishiaje? those clubs lack grace....ndio maana nakuambia unajibu kama una reply post ya nape au zito
 
Acha uongo bana. Ile timu wameiunda Waholanzi.

Ndiyo maana ingawa wanaita Tik Taka mchezo wao, ila kwa Kiingereza unaitwa TOTAL FOOTBALL ambao ni Waholanzi waanzilishi na Makocha wa Uholanzi ndiyo wameuleta huo mchezo huo hapo Barca. Arsenal pia wanacheza mchezo huo ambao kwao ni SHOW zaidi na matokeo baadaye.

Ukimuangalia Xavi anapocheza, utaona mpira unakuja, watu wanakimbia mbele na yeye anautuliza na kurudisha nyuma na hapo Show ya Barca au Spain inaanza. That's TOTAL FOOTBALL.

Angalia Barca ya mwaka 90; 1999

Baba ya Mpira wa Barcelona hadi leo ni huyu hapa Johan Cruyff: http://en.wikipedia.org/wiki/Johan_Cruyff
Toa huu upuuzi.
Umeambiwa Dinho created Barca, ila Barca created Messi
 
Mkuu we ungetubandikia tu hata huko Ronaldinho alikoelekea ili ANTI-MESSIS wajue kuwa hata wakiongezewa miaka mingine bado Messi ni Messi tu. Kuna watu wana jealous mbaya mpk wanapata vidonda vya tumbo.
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1

His the reason most started watching football.
 
kupitia TV nilimsikia na kumuona maradona akisema mchezaji yeyote aliyeko barcelona kwa sasa lazima ataonekana bora kwa sababu ya timu yeyenyewe. na mimi nasema ukiwaondoa viungo wa barca messi ni sifuri mbona mnamsahau Etoo alipokuwa hapo kama sio ngozi nyeusi rekodi alizopata mesi etoo angeshapata siku nyingi sana
 
hitimisho ni kuwa kila alichokishinda Messi basi Gaucho alisha kishinda.

Lakini kuna alichokishinda Gaucho huyo Messi hajawahi kukishinda.

So kwa niaba ya wamiliki wa Jamii forums, pia kwa mamlaka niliokabidhiwa na mtoa mada ndugu Yo Yo, na wachangiaji woote waliochangia thread hii napenda kumpa kura zoote za ushindi nabii wa Soka Ronaldinho gaucho ambaye ni WORLD CUP WINNER.

Narudia tena WORLD CUP WINNER.

Asanteni.

Huna uwezo wa kufunga mada, kitu pekee unachoweza kufanya ni kukimbia, hiyo moja.

Mbili, hizi kura zako na za jealous maker wenzako zitaishia hapa hapa JF (tena ndani ya uzi huu) lakini zile ambazo Arsene Wenger, Jose Mourinho, Carlo Ancellotti, Diego Simeone, Didier Deschamps, Rafael Benitez, Pep Guardiola, Sir Alex Ferguson, Jorgen Klopp, Roberto Mancini na hata Pele mwenyewe haziishii mioyoni bali zinampa Lionel Andres 'Leo' Messi Ball'on Dior 4 na ya 5 atachukua mwakani.

Suala la World Cup kuna wajinga wajinga wengi tu wamechukua, Torres mmoja wapo. Ukitaka kujua maana ya Personal Achievment, hesabu magoli sio chenga. Chenga hata Gevinho anapiga. Kuna mdau kawawekeeni hata chati mjisomee wenyewe rekodi naona mmegoma mmeamua tu kustick kwenye illusions zenu, nawaambia mwaka huu jealous zitawaua.

Halafu usijidanganye kuwa Gaucho anamfikia Messi, Messi ana rekodi ambazo Gaucho hana na ndio maana unaumwa.

World Cup hata wewe ukiwekwa kwenye timu pamoja na kuwa hujui mpira utashinda tu wenzako wakishindwa lkn:
1. Kuifungia Barca magoli mengi zaidi ya mtu yeyote ni Messi tu
2. Kuchukua Ballon D'or mara 4 mfululizo ni Messi tu
3. Kutupia goli 91 kwa mwaka ni Messi tu

Jealous zitakuua

Messi bana.jpg

Au ingia hapa ujionee mwenyewe
 
Ronaldo and Messi are both great players but Ronaldinho was something else. He was unpredictable, yeah sure he could pass, dribble etc but he was incredible. Most defenders said the reason why Ronaldinho was so hard to defend agaist was because one minute the balls by his feet the next its in the 18 area. Messi has Iniseta and Xavi. Ronaldinho was a one man show, he didn't have that much support from his team mates. He was just born with the ball, you can't take that away from him though I think Messi is close to him but Ronaldinho is still #1

His the reason most started watching football.

Weka rekodi, mbona unabwabwaja kwa mujibu wa moyo wako badala ya rekodi?
 
Tztizo lako nakuambia unajibu hoja kama unapongea na wakina Nape.....wewe huzijui clab hizi kubwa Barcelona na Real Madrid hawana heshima kwa Legends hata Messi ataishia river plate na CR7 ataishia sporting lisboa wakati umri wao utakapoanza kuwatupa mkono...angalia Raul aliisshia wapi.....alitupwa mbali hakuna aliemjali na wakati ndio mfungaji wao bora pale....samuel etoo je? basi walibadilishana kwa mil 40 kumnasa Ibra....beckam je? Figo waliishiaje? those clubs lack grace....ndio maana nakuambia unajibu kama una reply post ya nape au zito

We ulitaka Raul afanywe nini? Afunguliwe kiosk nje ya uwanja auze AZAM Ice Cream au? Mtu kama mpira umekwisha kuondoka ni ada, ama ulitaka afanyweje?

Mimi nataka kama kuna mmoja wenu ana takwimu zozote zile zenye kuonesha jinsi Ronaldinho alivyo na mafanikio zaidi ya Messi na aweke hapa na sio kutuambia hisia zenu.
 
Toa huu upuuzi.
Umeambiwa Dinho created Barca, ila Barca created Messi

Hah! hah! hah! Numbers don't lie. You must be a f$*l to believe that Dinho created Barca. Barca was a big club even before Dinho was born.

Kwa vile wewe ni mzee wa kubwabwaja ovyo, believe what you want but remember numbers do not lie.
 
Back
Top Bottom