Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Sifa tumpe lakini ukweli lazima tuuseme,,, ronaldinho, ametisha sana miaka ya 2002 to 2006 baada ya kuja barcelona na miaka hiyo zidane alikuwa anapotelea ndo anastaafu, ronaldo de lima hakuna kitu anaishia, na del piero ndo kabisaaaa so hata yeye hakuwa na competitors wenye peak,,,
Messi anaelekea mbele golini, hana mambo ya kuuza sura kama dinho timu imefungwa lakini dinho anacheka cheka tu,,, messi mtu wa kazi..
Tukatae tukubali messi yupo juu zaidi ya dinho ndo maana wachambuzi wanamuweka level ya best player of all time..
Messi anawekwa class ya kina pele, maradona...
Wakati ronaldinho anawekwa class ya kina ronaldo original, matheus, na wengineo lakini sio level ya kina pele na maradona
Waandishi wanaomfananisha Nesi na Maradona na Pele ni hao akina Edo Kumwembe.
Huwezi fananishwa na watu hao wakati hujabeba World cup.
Huo ni wendawazimu uliomithirika.
Na hao waandishi waje waandike tu waandike Ilani ya Chama cha Mapinduzi...
Maana ndio wanaloweza.