Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Sifa tumpe lakini ukweli lazima tuuseme,,, ronaldinho, ametisha sana miaka ya 2002 to 2006 baada ya kuja barcelona na miaka hiyo zidane alikuwa anapotelea ndo anastaafu, ronaldo de lima hakuna kitu anaishia, na del piero ndo kabisaaaa so hata yeye hakuwa na competitors wenye peak,,,

Messi anaelekea mbele golini, hana mambo ya kuuza sura kama dinho timu imefungwa lakini dinho anacheka cheka tu,,, messi mtu wa kazi..

Tukatae tukubali messi yupo juu zaidi ya dinho ndo maana wachambuzi wanamuweka level ya best player of all time..

Messi anawekwa class ya kina pele, maradona...

Wakati ronaldinho anawekwa class ya kina ronaldo original, matheus, na wengineo lakini sio level ya kina pele na maradona

Waandishi wanaomfananisha Nesi na Maradona na Pele ni hao akina Edo Kumwembe.
Huwezi fananishwa na watu hao wakati hujabeba World cup.
Huo ni wendawazimu uliomithirika.
Na hao waandishi waje waandike tu waandike Ilani ya Chama cha Mapinduzi...
Maana ndio wanaloweza.
 
Mkuu jenga hoja. Mbona unamwandama sana Edo. Acha wivu wa kizamani
 
Anza kusoma post zangu mwanzo wa thread mpaka hapa kisha utagundua mi ni wa mlengwa upi na vithibitisho kuwa Dinho yupo juu nimeviweka...
 
ALIPATA KUNENA HAYA...
Ninapomuangalia Saint Gaucho anapokuwa uwanjani ndipo napothibitisha kuwa mimi sijui mpira...

Kauli hiyo ilitolewa na aliepata kuwa kiungo mkabaji wa Chelsea Claude Makelele.
 
Sifa tumpe lakini ukweli lazima tuuseme,,, ronaldinho, ametisha sana miaka ya 2002 to 2006 baada ya kuja barcelona na miaka hiyo zidane alikuwa anapotelea ndo anastaafu, ronaldo de lima hakuna kitu anaishia, na del piero ndo kabisaaaa so hata yeye hakuwa na competitors wenye peak,,,

Messi anaelekea mbele golini, hana mambo ya kuuza sura kama dinho timu imefungwa lakini dinho anacheka cheka tu,,, messi mtu wa kazi..

Tukatae tukubali messi yupo juu zaidi ya dinho ndo maana wachambuzi wanamuweka level ya best player of all time..

Messi anawekwa class ya kina pele, maradona...

Wakati ronaldinho anawekwa class ya kina ronaldo original, matheus, na wengineo lakini sio level ya kina pele na maradona

huwezi kumuweka Messi kwenye level ya kina Pele.Miongoni mwa kitu Pele alichotuachia ,ukitupilia mbali magoli 1000 ni kupiga Tick tack, naomba uniambie Messi ametuachia nini?kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.
 
Ebana hebu nyamazia hapohapo.
Narudia kusema Dinho alishushwa ili kutuonesha soka la Mbinguni linavyochezwa.
Unaposema Messi mtu wa kazi then Gaucho ni Entertainer unachuma dhambi, ndio mana nakwambia nyamazia hapohapo.

Kuna vitu Gaucho kavipata kwa kuvitokea jasho, huyo Nesi wako hajavipata.
Sasa je nani ni mtu wa kazi hapo?

Anaitwa Ronaldo De Assis Morreira almaarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho.
Mtu huyu awapo uwanjani inaaminika Malaika huacha shughuli zao huko mbinguni na kumuangalia.
bwahaha mkuu nimecheka sana....

ukweli ndio huu hakuna kama Dinho hakika nakubaliana na wewe anafa kutawazwa mwenye heri dinho..ni mchezaji pekee akifuatiwa na yazid zidane ambao hakika sikuchoka kuwaangalia kwa kila wakicheza....
Messi huwezi kumlinganisha na mwenye heri Dinho kwa kila kitu....
 
Anti-Messi Campaigns na mtashindwa.

Si sisi tu tuliowahi kumuona Gaucho na sasa tunamuona Messi, bali hata wenye timu yao ambao naamini wanafanya professional analysis wanamtamka Lionel Messi kama All Time Best Player wa Barcelona.

Kama Dinho alimpiga mtu chenga kwa maudhi basi Messi humfunga kipa kwa kejeli. Mimi huwa nawatambua walioumizwa na Messi kwa namna yao ya kuwasifia wachezaji wengine dhidi ya Messi.

Kwa taarifa yako, kama unamtafuta mtu wa kumshusha Messi kiwango, basi mtaje Ronaldo de Lima (The Phenomenon Boy) na sio Ronaldinho.

Najua kinachowakera ni hizi rekodi za Messi ambazo anaziweka na kuzishindilia kiasi mnakata tamaa kama atatokea mtu mwingine wa kuzivunja. Majuzi mlikuja na Mzambia anayechezea mchangani leo mko na Ronaldinho. Chenga kitu gani bwana, Okocha na Kanu nao walipiga chenga
 
huwezi kumuweka Messi kwenye level ya kina Pele.Miongoni mwa kitu Pele alichotuachia ,ukitupilia mbali magoli 1000 ni kupiga Tick tack, naomba uniambie Messi ametuachia nini?kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.

Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.

Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.
 
if you talk about ronaldinho ur talking about a player from another planet....
 
Waandishi wanaomfananisha Nesi na Maradona na Pele ni hao akina Edo Kumwembe.
Huwezi fananishwa na watu hao wakati hujabeba World cup.
Huo ni wendawazimu uliomithirika.
Na hao waandishi waje waandike tu waandike Ilani ya Chama cha Mapinduzi...
Maana ndio wanaloweza.

Sioni kama unamsifia Ronaldinho, bali unamponda Messi. Na inaelekea anakukera kweli kweli, pole sana. Kumuita Nesi ni dalili tosha kuwa unamchukia na kinachokusumbua ni Inferiority Complexion. Unajua kuwa yupo juu na there is nothing you can do about it ndio maana unatoka povu kama mama chiku na sabuni yake ya family detergent.

Wendawazimu uliomithirika
ni huo ulionao wewe kukosa haya na akili. Pele hakuchukua World Cup kwa kuwa yeye ni Pele, bali alichukua kwa kuwa alicheza na kina Carlos Alberto, Gilmar, Garincha, Pereira, Riverinho n.k kwa hiyo timu ilikuwa nzuri. Messi kutochukua World Cup hakumnyimi mafanikio binafsi na ndio maana tunapoongea Messi ndio mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya 4 mfululizo na wewe UTAKE USITAKE Messi ataendelea kucheza mpira wake kwa kadiri Mungu atakavyomjalia.

Kushindwa kwa Christian Ronaldo ndio kunawafanya mnalia, basi tu hamtaki kusema. Kama tuzo angepewa Ronaldo naamini kusingekuwa na nyongo inawamwagika leo.

Ikiwa kubeba World Cup ndio ubora unaotazamwa basi kuna wachezaji bora maelfu ambao wanafanana na Pele wako.

Kumchukia Messi ni kujitafutia magonjwa ya moyo. We muite kwa jina lolote unalotaka NESI, MKUNGA, BAA MEDI, MKATA NYASI na vyovyote vile utavyojisikia, lkn still waliomchagua kuwa BORA ni makocha na sio mashabiki njaa.

Kumkataa Messi unayemuona kwa simulizi za Pele unayemsikia ndio wendawazimu uliomithilika
 
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.

Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.

mbona tunatukanana tena?Unaonekana umezaliwa kipindi cha kina mesi,kwa hiyo wewe ni kama kipofu alieona tembo.Nimekwambia Pele ndiye aliyegundua kupiga Tick Tack sasa niambie huyo Messi wako kagundua nini?Usiongee kama vile umetoka kuanguka kwenye mti.
 
kama tunaelekea mbeya basi umechanja pori na sasa hivi uko karatu.....unaonge ishu tofauti na nilivyoleta sredi.....sijasema messi sio mkali messi ni mkali tena sana hakuna ubishi na ambao wanahisi ronaldo kaonewa ni mazumbukuku wa soka......nimesikia clouds wanaponda tuzo za messi nimewaona mabwegge sana....na wengi walitaka ronaldo shinde si kwa kuwa anajua ila eti wanaona messi kashinda sana! upuuzi huu......

Tukija kwa mwenye heri dinho kwa upande wangu na member wengine tunaona ni better than messi......

dinho created barcelona but barcelona created messi....

"ronnie alikuwa mtu muhimu kwangu.....nilijaribu hata kuiga style yake" Mchawi messi anakubali hata ukali wake umetokana na mwenye heri Gaucho...na kakiri wazi style yake aliiga kwa mwenye heri....

Wachezaji waliocheza na wote wawili wanakiri hivyo arifu...achana na coments za edo kumwembe and etal wanaojua soka la uingereza tu.....beki nguli beleti anakubali kuwa dinho alikuwa bora sana zaidi ya messi anasema..."Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. Messi has much more help at Barcelona...."Messi has much more help at Barcelona. If I had to chose between Ronaldinho at that time or Messi now, I'd chose Gaúcho."

dinho mkali sawa messi plays plays classic football..pass assist goal lakini dinho his skills amazing speechless...his goals...muulize sergio ramos atakuambia...dinho mkali aisee acha unazi mkuu na hata siku moja CR7 hawezi kimfikia messi....
 
mbona tunatukanana tena?Unaonekana umezaliwa kipindi cha kina mesi,kwa hiyo wewe ni kama kipofu alieona tembo.Nimekwambia Pele ndiye aliyegundua kupiga Tick Tack sasa niambie huyo Messi wako kagundua nini?Usiongee kama vile umetoka kuanguka kwenye mti.

Sijakutukana bana nimekuita tu mjinga kwa kuwa umeamua kuwa mjinga. Messi hana haja ya kugundua Tik Tak ili wewe umkubali. Aliyegundua Motokaa leo akirudi duniani hataamini kwa kuona magari yaliyopo leo hayatoi moshi na badala yake kuna viyoyozi ndani yake.

Acheni kujifanya kuwa mlimshuhudia Pele akicheza uwanjani kama tunavyomuona Messi leo. Unaweza ukawa na video clips mbili tatu na masimulizi lkn usijifanye shuhuda wa matendo yake mpk uniambie nimezaliwa kizazi cha Messi.

Wakati ule Pele anacheza mpira, hatukuwa na TV na uwepesi wa kuangalia yanayojiri duniani kama unavyotaka kujifanya unajua.
 
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.

Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.
kwa akili yako unaweza kusema haruna moshi ni bora kuliko hamis gaga......
 
Anti-Messi Campaigns na mtashindwa.

Si sisi tu tuliowahi kumuona Gaucho na sasa tunamuona Messi, bali hata wenye timu yao ambao naamini wanafanya professional analysis wanamtamka Lionel Messi kama All Time Best Player wa Barcelona.

Kama Dinho alimpiga mtu chenga kwa maudhi basi Messi humfunga kipa kwa kejeli. Mimi huwa nawatambua walioumizwa na Messi kwa namna yao ya kuwasifia wachezaji wengine dhidi ya Messi.

Kwa taarifa yako, kama unamtafuta mtu wa kumshusha Messi kiwango, basi mtaje Ronaldo de Lima (The Phenomenon Boy) na sio Ronaldinho.

Najua kinachowakera ni hizi rekodi za Messi ambazo anaziweka na kuzishindilia kiasi mnakata tamaa kama atatokea mtu mwingine wa kuzivunja. Majuzi mlikuja na Mzambia anayechezea mchangani leo mko na Ronaldinho. Chenga kitu gani bwana, Okocha na Kanu nao walipiga chenga

Rekodi gani za kumuonea wivu?
Kufunga magoli mengi kwa mwaka wa kalenda?
Mi nachojuwa kwenye soka tuna season yaani msimu, hatuna mwaka.

Au rekodi ya kuwa mwanasoka bora wa Dunia mara 4 mfululizo?
Kwa mwenye akili timamu hiyo ishu ambayo huitokei jasho bali unachaguliwa tu is easy thing.
Na ndio maana mtu hajawahi kulia au hata kuuzwa katika timu au hata kocha kutimuliwa eti kisa amekosa tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia.

Narudia kukwambia kuwa Mbarikiwa Gaucho ni World Cup winner.
Na miongo mwa mambo yanayopelekea kumkumbuka katika World Cup ni Super Free kick iliozaa Gorazoo akiwaandamisha England.

Forza Gaucho
 
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.

Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.

Ok Tik Tak hata Kibunge wa kibangu Rangers anapiga...
Je kombe la Dunia Nesi kabeba?
 
kama wewe umewahi kucheza mpira Messi kinachomsaidia ni mguu wa kushoto,kwani kumkaba mtu wa aina hiyo ukiwa unatumia mguu wa kulia huwa inasumbua.Lakini kwangu mimi Messi hana uwezo wa kumfikia Dinho.Kama unabisha fuatilia Ligi ya kule kwao, kwani bado anacheza vizuri sana.

Du! Makubwa haya!! Sasa huo mguu wa ushoto ameazima au ni wake? Hao wengine kinawashinda nini kutumia miguu yao ya kushoto?

Ubishi mwingine hauna maana kwani badala ya kuja na statement za kuwa Messi ni mkali kwasababu anatumia mguu wa kushoto, tumia statistics ambazo zipo nyingi zinazoonesha nani ni zaidi kati ya Messi na Dinho. Mfano mdogo tu ingia wikipedia halafu linganisha rekodi zao ndio utajua nani zaidi.
 
Halafu watu wengi wanamzunguzia Gaucho Barca,kumbuka first time alipoingia timu ya Taifa akiwa na afya mbofumbofu ,walipotengeza The 3R-Ronaldo,Rivaldo & Dinho( Yaani hapo nimeongea Kimulugo)
 
Sioni kama unamsifia Ronaldinho, bali unamponda Messi. Na inaelekea anakukera kweli kweli, pole sana. Kumuita Nesi ni dalili tosha kuwa unamchukia na kinachokusumbua ni Inferiority Complexion. Unajua kuwa yupo juu na there is nothing you can do about it ndio maana unatoka povu kama mama chiku na sabuni yake ya family detergent.

Wendawazimu uliomithirika
ni huo ulionao wewe kukosa haya na akili. Pele hakuchukua World Cup kwa kuwa yeye ni Pele, bali alichukua kwa kuwa alicheza na kina Carlos Alberto, Gilmar, Garincha, Pereira, Riverinho n.k kwa hiyo timu ilikuwa nzuri. Messi kutochukua World Cup hakumnyimi mafanikio binafsi na ndio maana tunapoongea Messi ndio mchezaji bora wa Dunia kwa mara ya 4 mfululizo na wewe UTAKE USITAKE Messi ataendelea kucheza mpira wake kwa kadiri Mungu atakavyomjalia.

Kushindwa kwa Christian Ronaldo ndio kunawafanya mnalia, basi tu hamtaki kusema. Kama tuzo angepewa Ronaldo naamini kusingekuwa na nyongo inawamwagika leo.

Ikiwa kubeba World Cup ndio ubora unaotazamwa basi kuna wachezaji bora maelfu ambao wanafanana na Pele wako.

Kumchukia Messi ni kujitafutia magonjwa ya moyo. We muite kwa jina lolote unalotaka NESI, MKUNGA, BAA MEDI, MKATA NYASI na vyovyote vile utavyojisikia, lkn still waliomchagua kuwa BORA ni makocha na sio mashabiki njaa.

Kumkataa Messi unayemuona kwa simulizi za Pele unayemsikia ndio wendawazimu uliomithilika

Soma Thread inasemaje?
Then mtafute aliemtumbukiza Pele katika huu uzi.
Mimi ni muumini wa Santa Gaucho aliyewahi kushinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia mbele ya akina De Lima, Zidane, Figo, Nedved, Del Piero, Paolo Maldini, Kluivert na alama nyingine za Soka.
Dinho aliepata funga magoli yanayokumbukwa na ya kusisimua.
Ronaldinho aliebeba kombe la Dunia.

Inaaminika kuwa Ronaldinho ndie aliyekuja kuutia ladha mpira na kupelekea hata wewe utamani kuuangalia na hata kuucheza.

Sempre Dinho
 
Back
Top Bottom