Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi Barcelona

kama tunaelekea mbeya basi umechanja pori na sasa hivi uko karatu.....unaonge ishu tofauti na nilivyoleta sredi.....sijasema messi sio mkali messi ni mkali tena sana hakuna ubishi na ambao wanahisi ronaldo kaonewa ni mazumbukuku wa soka......nimesikia clouds wanaponda tuzo za messi nimewaona mabwegge sana....na wengi walitaka ronaldo shinde si kwa kuwa anajua ila eti wanaona messi kashinda sana! upuuzi huu......

Mbona unakurupuka? Kwani mimi nilikuwa najibu mada yako au namjibu Gang Chomba jealous zake? Au ndio ID mbili mbili sasa unajimix mkuu? Wewe sasa ndio hasa unaongea kwa kukurupuka kama uneanguka kutoka kwenye mti. Acha povu, nilikuwa namjibu jealous mwenzio

Tukija kwa mwenye heri dinho kwa upande wangu na member wengine tunaona ni better than messi......
dinho created barcelona but barcelona created messi....
Kwa hiyo ni Ronaldinho ndio ameitengeneza Barca eti? Halafu wakamuuza mwalimu wao? Kweli DOUBLE ID, maana mawazo ni yale yale. Ni kweli Barca imemtengeneza Messi, ila hilo la Gaucho kuitengeneza Barca ndio illusions zenyewe.

Well then, baada ya yeye kuitengeneza Barca, iweje wenye Barca yao wamtukuze Messi kiasi hicho? Nikukumbushe kuwa Anzhi Makatchakala wametoa ofa ya £205m kwa Barcelona na mshahara wa £430,000 kwa Messi lakini still Barca wamekataa kumuuza Messi japo walimuuza Ronaldinho kwa bei chee?

"ronnie alikuwa mtu muhimu kwangu.....nilijaribu hata kuiga style yake" Mchawi messi anakubali hata ukali wake umetokana na mwenye heri Gaucho...na kakiri wazi style yake aliiga kwa mwenye heri....
Shida ni kufikiri kila mtu ana jealous kama wewe kiasi Messi aulizwe anamuonaje Gaucho na yeye aseme ''Ah yule hamna kitu, haniwezi mimi.'' Messi alijifunza ndio kwa Gaucho kama ambavyo Gaucho naye atakuwa alijifunza kwa mwingine yeyote aliyemvutia. Lkn hiyo haimaanishi Gaucho hakuwa na haki ya kumpiku huyo aliyejifunza kwake.

Wachezaji waliocheza na wote wawili wanakiri hivyo arifu...achana na coments za edo kumwembe and etal wanaojua soka la uingereza tu.....beki nguli beleti anakubali kuwa dinho alikuwa bora sana zaidi ya messi anasema..."Ronaldinho had opponents who magnified his peak even more – he was up against Zidane, Figo. Messi has much more help at Barcelona...."Messi has much more help at Barcelona. If I had to chose between Ronaldinho at that time or Messi now, I'd chose Gaúcho."

Personal comments hizo, acha nikuoneshe wengine wanasemaje:

Michal Kadlec


"When you play against such a player (Messi), then you always want his shirt"


Pep Guardiola
"Put in the superlatives yourselves, I'm running out. It's already been a while now that he has been outstanding. He's more than decisive in every way. That he's capable of doing everything that he does at his age is something impressive, that doesn't make any sense.

"The best players are always in the thick of the action. (Michael) Jordan did it with the Bulls, (Kobe) Bryant does it with the Lakers and Leo does it here. We want him to stay with us because he's the best and we wouldn't swap him for anyone."

"Messi is an irreplaceable player, today if he was here we would have won 5-0 but he was not and we had to play another in his place."


Diego Maradona


"I have seen the player who will inherit my place in Argentine football and his name is Messi. Messi is a genius and he can become an even better player."

"His potential is limitless and I think he's got everything it takes to become Argentina's greatest player."

"Messi I think is like me, he is the best in the world along with Ronaldinho."


Frank Rijkaard


"He's a unique player and he deserves it, because he can do things of almost imperceptible excellence and is a gem to watch."


Johann Cruyff


"He deserves ten out of ten for doing what he does. He is a sensation, but still he can improve. He must know when to move the ball on quickly and when to try the impossible mission. When he learns this, he won't win a single Golden Ball, but an entire collection."


Carlos Tevez


"His speed is astonishing. It's amazing how he can go 1 to 100 in just one second. I'm constantly around great players like Cristiano and Rooney, But this guy is just a step up above every other great footballer out there at the moment, Not only is he quick, determined, and extremely intelligent on the ball, but his movement off the ball is just as fantastic – unbelievable to sum it up in a word."


Juan Sebastian Veron


"I see Maradona every time he grabs the ball and accelerates. We must protect him. I'd personally put him in a drawer of my bedside table." (Hapa najua hutaelewa: Veron anamaanisha, kila Messi anapochukua mpira, yeye anamuona Maradona)


Gilberto


"Messi's plaudits are hard to accept, we play in other countries and we do not see the local fans supporting our players there. Over 40 thousand Brazilians applauded, and that's hard for who is on the field. When I see them applauding Messi I get annoyed."


Julio Grondona


"Without Messi there isn't a team for Argentina, Messi is brilliant, different, with a strong mentality. Let's hope he doesn't change."


Jose Mourinho


"The best way to stop Messi is when you play with 11 men and then you can double mark him, one player to stay on him and the other to help out. If it is 11 against 10 then you have almost no chance of stopping him."


Karl-Heinz Rummenigge


"Nobody was so wonderful at 19 years, neither Pele nor Maradona."


Fernando Gago


"For me, the best in the world is Messi because of the way he plays, moves with the ball and changes matches, Messi has incredible ability and I love the way that he plays."

"Messi is the best player in the world by some way, I always thank God that he is an Argentine, not just as a player, but as a person too. I have known him since I was 18, he is incredible, a very good person and we are very good friends. Right now, he is at another club, and we have a little bit of a rivalry, but the friendship is larger and stronger."


Theirry Henry


"I have the possibility to watch Messi in training each morning, and because of what he demonstrates he is the best player in the world, he stated during a press conference. It is a pleasure to watch him, and because of the way he plays he is an undisputed leader of the Barcelona team."


Antonio Cassano


"Ronaldinho is better than Cristiano Ronaldo, but neither are as good as Leo Messi."


Sergio Aguero


"Nowadays, Messi is better than Ronaldinho. He is the best footballer in the world right now. And I'm not the only who says so. Everyone who has seen him play says so too."


Pele


"I knew when we gave Kaka the FIFA World Player of the Year award that he (messi) would become the best player in the world. With young people like him we need patience and that is the problem we have in Brazil."


Luiz Inacio Lula da Silva


"When I see Messi – who is the best player in the world in my opinion – lose the ball, he runs off until he gets it back or commits a foul. Our guys lose the ball and fold their arms."


Juan Laporta


"This year at Barcelona team spirit is dominating but players like Messi show there is individuality too. He is a virtuoso player who is determined and fast with the ball at his feet….he is a mixture of Maradona and Cruyff."


Carles Puyol


"He is a spectacular player, there is nobody else like him. I should not because I have suffered so much in training. I think he is the best forward at the moment and I think he will be so for many more years. He has his feet on the ground."


Cesc Fabregas


"He has a great future if he can stay clear of injuries. For me, he is the best there is."


Ronaldinho


"Every time he plays, Leo Messi reminds me more of Maradona, both left-footed and short, Messi is the best player in the world, along with Kaká and Cristiano Ronaldo. For us it is not a surprise. Since he began to come and train with us and we knew we would go down this path. Someday I will explain that I was at the birth of one of the footballing greats: Leo Messi."


Txiki Begiristain


"He is priceless. Right now, in Messi, Barcelona has the best soccer player on planet Earth."

Marcello Lippi


"The best? Messi"


Daniel Alves


"Lionel Messi? When I played against him at Sevilla it was always very difficult, so now I'm pleased that we're on the same side. He's just fantastic."


Mikel Arteta


"It is as if someone commands him from the stands, like a video game. I have never seen a human run with the ball at that speed. I have not seen Maradona so I cannot compare, but Messi is simply unbeatable."


Raul


"The other day I saw one of his games. He was running with the ball at a hundred percent full speed, I don't know how many touches he took, maybe five or six, but the ball was glued to his foot. It's practically impossible!"


Xavi


"It is clear that Messi is on a level above all others. Those who do not see that are blind."


Johnny Heitinga


"I believe that I played well against Barcelona, the problem was that Lionel Messi was simply unstoppable."


Arsene Wenger


"He's like a PlayStation"

Mkuu mama Yo Yo, ni hao hao kina Arsene Wenger, Jose Mourinho, Diego Maradona, Marcello Lipi na makocha wengineo ndio wamempigia Messi kura na sio shabiki njaa kama mimi na wewe.


dinho mkali sawa messi plays plays classic football..pass assist goal lakini dinho his skills amazing speechless...his goals...muulize sergio ramos atakuambia...dinho mkali aisee acha unazi mkuu na hata siku moja CR7 hawezi kimfikia messi....

Mbona sikuelewi, tayari umechanganyikiwa? Dino mkali sawa mara Messi mara classic football.

Bofya hapa What do other stars say about Messi
 
Last edited by a moderator:
Ok Tik Tak hata Kibunge wa kibangu Rangers anapiga...
Je kombe la Dunia Nesi kabeba?

Kama mafanikio yanapimwa kwa Kombe la Dunia, nenda kamnyang'anye Messi tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia umpe Fernando Torres kwa kuwa yeye amebeba World Cup. Jealous zitakuua tehe tehe tehe
 
Tik Tak hata Kibunge wa Kibangu Rangers anapiga acha ujinga wako wewe. Pele hamwezi Messi na hampendi kama usivyompenda wewe ndio maana aliamua kumkweza Neymar bila aibu lakini siku Barca walipocheza na Santos, Messi aliudhihirishia ulimwengu kuwa yeye ndiye Messi 'The Little Messiah' kwa kupiga goli 2 na kuchukua tuzo mbili kwenye Klabu Bingwa ya Dunia.

Haya maandiko yenu ni kukerwa kwenu na Messi kunyakua tuzo kila uchao. Pigeni kelele weeeeeeeeee, lkn itabaki ilipo kuwa kwa sasa Messi ndio ana rekodi ya kuchukua tuzo ya mwanasoka Bora wa Dunia mara 4, tena mfululizo.

sio mara nne mfululizo ni tatu mfululizo mkuu..
 
Soma Thread inasemaje?
Then mtafute aliemtumbukiza Pele katika huu uzi.
Mimi ni muumini wa Santa Gaucho aliyewahi kushinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia mbele ya akina De Lima, Zidane, Figo, Nedved, Del Piero, Paolo Maldini, Kluivert na alama nyingine za Soka.
Dinho aliepata funga magoli yanayokumbukwa na ya kusisimua.
Ronaldinho aliebeba kombe la Dunia.

Inaaminika kuwa Ronaldinho ndie aliyekuja kuutia ladha mpira na kupelekea hata wewe utamani kuuangalia na hata kuucheza.

Sempre Dinho

Na iendelee kuaminika huku Lionel Messi anaendelea kuchukua tuzo na kuandika rekodi.
 
Ndugu zangu, Gaucho ni khatwaari kabisa. Gaucho alikua ndio fundi pekee pale barca, yeye ndio aliekuwa akiipeleka mbele barca pekee. Messi anachezeshwa barca, sio kama Gaucho, gaucho alikua akichezesha barca hachezeshwi!
Hebu tujiulize, kiwango cha messi akiwa argentine na akiwa barca ni sawa? Obviously jibu sio sawa, sasa ujiulize kwanini?
 
Kama mafanikio yanapimwa kwa Kombe la Dunia, nenda kamnyang'anye Messi tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia umpe Fernando Torres kwa kuwa yeye amebeba World Cup. Jealous zitakuua tehe tehe tehe


ishu ni ndogo tu...
ishu inasema Ronaldinho alikuwa zaidi ya Messi.
Na tumelinganisha uzaidi wa Gaucho na tukagundua kuwa Messi amefunga magoli lakini Gaucho kafunga magoli pia.
Messi kachukua tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia lakini Dinho alichukua pia.
Shuzi likaja pale ambapo mtakatifu Gaucho alibeba kombe la Dunia...

Hapo ndio wewe ukaja piga tik tak huku umevaa taulo matokeo yake unatoka mipovu kiasi kwamba unakuja na kauli za watu wanaomzungumzia Messi, labda baada ya kuchukua tuzo.

Lakini ni watu wawili au watatu ambao wamewalinganisha Messi na Mtakatifu.

Njoo na kauli za watu wanaomzungumzia The Saint sasa uone balaa lake.

Dinho ni nabii wa Soka.
 
Pia Dinho alishinda tuzo ya mwanasoka wa Dunia kipindi hata Malaika wanadekea soka.
Sio kipindi hiki cha Soka kanjanja lililojaa salakasi na uhanithi wa Blatter.

Dinho kashinda tuzo Zidane, De Lima, Figo, Del Piero, Shevshenko, na alama nyingine za Soka zikiwa uwanjani na kwenye pic ya hatari.
.
Ni kweli kabisa. Kuchukuz tuzo enzi za akina Zizzou na Ronaldo wakiwa juu ilikuwa si kazi ndogo!
Hakika Dinho ni mbarikiwa
 
kwani huwa anatumia vigezo gani kuchagua mchezaji bora?
 
Kwa vile mleta maada amewalinganisha magwiji hawa wakiwa Barcelona, nimeona ni vema nikiweka rekodi zao wakiwa wachezaji wa Barcelona tu (Gaucho amechezea klabu zingine zaidi ya Barcelona).


[TABLE="class: grid, width: 613"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Lionel Andrés "Leo" Messi [/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year[/TD]
[TD="align: center"]Club[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012/13[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]27[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2011/12[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]37[/TD]
[TD="align: center"]50[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010/11[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009/10[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]34[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2008/09[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]28[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]26[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]232[/TD]
[TD="align: center"]196[/TD]
[TD="align: center"]74[/TD]
[TD="align: center"]77[/TD]
[TD="align: center"]58[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Ronaldo de Assis Moreira ( Ronaldinho Gaúcho)[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]32[/TD]
[TD="align: center"]21[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]29[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2003/04[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]146[/TD]
[TD="align: center"]70[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]44[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mataji waliyopata wakiwa na Barcelona
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]Mataji[/TD]
[TD="align: center"]Messi[/TD]
[TD="align: center"]Gaucho[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]La Liga[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copa del Rey[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Supercopa de Espana[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Super Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIFA Club World Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nani zaidi? Amua mwenyewe!

Sources:
Lionel Messi - Wikipedia, the free encyclopedia
Ronaldinho - Wikipedia, the free encyclopedia
Lionel Messi Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
Ronaldinho Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
 
wacheni zenu,kila mtu ana flavor zake kipindi hiki ni cha messi bassssi
 
Wote ni Wachezaji wazuri sana sana ambao dunia imewashuhudia.

Kama Barca inacheza leo na ninataka ishinde, basi nitamkata Messi awepo uwanjani.

Kama ninataka kuona SHOW, basi nitataka Gaucho awepo uwanjani. Gaucho alikuwa ni showman si uwanjani tu bali hata nje ya uwanja. Ndiyo maana hata matangazo mengi ya biashara alichukuliwa.

Kuna ile Video kama sikosei akiwa aningia Japan, pale Airport alikuwa kabeba vile vingoma vya kupigia SAMBA. Watu walikuwa wakimuona na ile ngoma, waliishia kucheka sana maana hawategemei BIG STAR kama yeye aonekane akiwa kabeba kitu kama kile.

Ukweli kwangu ni kuwa Ronadinho alikuwa na Sifa zote muhimu kama mchezaji wa mbele: Speed, kupiga pasi, Chenga, hana woga, mwepesi kufikiri na kuchukua uamuzi na mfunga magoli. Wakati huo, ilikuwa ni rahisi kupoteza mpira kirahisi jambo ambalo hulioni kwa Messi. C Ronaldho pia ana sifa hizo ingawa na yeye ni vilevile kuwa ni rahisi kuuchukua mpira. Hivyo ukichunguza sana bila kuwa na mapenzi kwa mmoja wao, Gaucho sifa pekee anayobaki nayo ni SHOW.

Hata Thierry Henry wakati akiwa Arsenal, mwaka ambao Arsenal hawakufungwa hata mechi moja, huyu jamaa alikuwa pia na sifa hizo nyingi ila kwenye kupiga pasi anabaki kuwa kama C. Ronaldho. Hivyo basi kwangu mie, tofauti kubwa sana ya Gaucho na Messi inabaki kuwa Messi huwezi kumnyang'anya mpira kirahisi na hapotezi mpira (nakubaliana na aliyesema kuwa watu wa Mguu wa kushoto vigumu sana kucheza nao) na Gaucho ni Show Man.

Hata hii Video ambayo alilimwa RED CARD, bado aliishia kufanya Show.

 
Last edited by a moderator:
Haahaaa, asanteni kwa uzi huu, hayo maneno ya Arteta yamenifanya nicheke hadi walio karibu wananishangaa... AntMessi baada ya kuona issue ya kombe la dunia inamwangusha na CR7 pia, naona wameamua kutafuta mwingine wa kumlinganisha naye! Kazi mnayo...
 
Ebana hebu nyamazia hapohapo.
Narudia kusema Dinho alishushwa ili kutuonesha soka la Mbinguni linavyochezwa.
Unaposema Messi mtu wa kazi then Gaucho ni Entertainer unachuma dhambi, ndio mana nakwambia nyamazia hapohapo.

Kuna vitu Gaucho kavipata kwa kuvitokea jasho, huyo Nesi wako hajavipata.
Sasa je nani ni mtu wa kazi hapo?

Anaitwa Ronaldo De Assis Morreira almaarufu kama Ronaldinho Dinho Gaucho.
Mtu huyu awapo uwanjani inaaminika Malaika huacha shughuli zao huko mbinguni na kumuangalia.


Namkubali hakika!!!!!!!
 
Haahaaa, asanteni kwa uzi huu, hayo maneno ya Arteta yamenifanya nicheke hadi walio karibu wananishangaa... AntMessi baada ya kuona issue ya kombe la dunia inamwangusha na CR7 pia, naona wameamua kutafuta mwingine wa kumlinganisha naye! Kazi mnayo...

nadhani ishu hapa inayoongelewa ni vigezo vya kumpa jamaa ballon d or huwa hazieleweki maana huyu CR7 akijitahidi kuchukua ndoo huwa wanaondoa kipengele cha ndoo akijitahidi kutupia kamba wanaondoa kipengele za kufunga soo lazima watu waongee ila wangesema mchezaji kuchukua ndoo aliyestaili ni torres maana kachukua uero na champions league..

#FIFA =NEC
 
Wote ni Wachezaji wazuri sana sana ambao dunia imewashuhudia.

Kama Barca inacheza leo na ninataka ishinde, basi nitamkata Messi awepo uwanjani.

Kama ninataka kuona SHOW, basi nitataka Gaucho awepo uwanjani. Gaucho alikuwa ni showman si uwanjani tu bali hata nje ya uwanja. Ndiyo maana hata matangazo mengi ya biashara alichukuliwa.

Kuna ile Video kama sikosei akiwa aningia Japan, pale Airport alikuwa kabeba vile vingoma vya kupigia SAMBA. Watu walikuwa wakimuona na ile ngoma, waliishia kucheka sana maana hawategemei BIG STAR kama yeye aonekane akiwa kabeba kitu kama kile.

Ukweli kwangu ni kuwa Ronadinho alikuwa na Sifa zote muhimu kama mchezaji wa mbele: Speed, kupiga pasi, Chenga, hana woga, mwepesi kufikiri na kuchukua uamuzi na mfunga magoli. Wakati huo, ilikuwa ni rahisi kupoteza mpira kirahisi jambo ambalo hulioni kwa Messi. C Ronaldho pia ana sifa hizo ingawa na yeye ni vilevile kuwa ni rahisi kuuchukua mpira. Hivyo ukichunguza sana bila kuwa na mapenzi kwa mmoja wao, Gaucho sifa pekee anayobaki nayo ni SHOW.

Hata Thierry Henry wakati akiwa Arsenal, mwaka ambao Arsenal hawakufungwa hata mechi moja, huyu jamaa alikuwa pia na sifa hizo nyingi ila kwenye kupiga pasi anabaki kuwa kama C. Ronaldho. Hivyo basi kwangu mie, tofauti kubwa sana ya Gaucho na Messi inabaki kuwa Messi huwezi kumnyang'anya mpira kirahisi na hapotezi mpira (nakubaliana na aliyesema kuwa watu wa Mguu wa kushoto vigumu sana kucheza nao) na Gaucho ni Show Man.

Hata hii Video ambayo alilimwa RED CARD, bado aliishia kufanya Show.




napinga na wewe.
Nani alikwambia ni kitu rahisi kumnyang'anya Dinho mpira?
Huko ni kukurupuka.
Ronaldinho akiichezea Barca katika mchezo wa nUsu fainali dhidi ya AC Milan aliwadhalilisha nguli wawili Gatuso na Nesta na ifamike kuwa Nesta ni beki bora wa kati kisha Gaucho akasababisha majanga kwa Milan.

The same shit last season Barca vs Milan Alesandro Nesta anaapa Messi hata acheze na mikono basi hawezi kumpita na kwenda kufunga na hata kuwatoa katika robo fainali.

Messi alishindwa.
Messi hakumpita NESTA aliekuwa na 37yrs.
Then tazama mechi ambazo Dinho yuko uwanjani na Messi yupo uwanjani utagundua ni nani mrahisi kumnyang'anya mpira.

Kumkaba Gaucho na kumnyang'anya mpira kirahisi inakubidi umfuate ukiwa na bikali au kisoda cha kumkwangua mgongoni.
 
Last edited by a moderator:
nadhani ishu hapa inayoongelewa ni vigezo vya kumpa jamaa ballon d or huwa hazieleweki maana huyu CR7 akijitahidi kuchukua ndoo huwa wanaondoa kipengele cha ndoo akijitahidi kutupia kamba wanaondoa kipengele za kufunga soo lazima watu waongee ila wangesema mchezaji kuchukua ndoo aliyestaili ni torres maana kachukua uero na champions league..

#FIFA =NEC
uko njeee kabisaaaa ya thread aisee......
 
Yo Yo,

Ukiangalia hiyo Video utamuona jinsi GAUCHO alivyo binadamu wa kawaida ambaye anatumia nguvu zake zote ili kuwapita wapinzani wake. Atajirusha, kuanguka, kupiga Tik Tak nk ili tu afanikiwe lengo lake. Alikuwa ananiuwa zaidi anapogipa zile chenga zake za mara mbili yaani anaupiga mpiga tuseme upande wa kulia na palepale anaurudisha kushoto.

Kinachonishangaza na kuniudhi kwa Messi ni kuwa jamaa hatumii kabisa maguvu. Akifika anakuwa kama vile kawapulizia adui zake dawa fulani ya kuwalaza. Akiwapita ndiyo wanakimkimbiza ila wakimfikia bado wanapooza tena. Sijui kama hii ina mahusiano yoyote na mguu wake wa kushoto.

Ukiangalia vizuri Video yako, hasa zile slow motion, unaona kabisa pana wakati mpira hata haugusi ila Mabeki wanapita na kuukosa. Unaweza ukaamini kuwa ni Uchawi ila jamaa kweli aianafanya vitu vyake. Messi anafuata sehemu walipo Mabeki wengi na siyo kuwakimbia. Kwenye 4:21 naona anatumia Jordan Law (Michael Jordan) kwa kulipita goli la upinzani na kufungia upande wa pili. Waangalie wachezaji wa upinzani kama vile wamepuliziwa dawa ya kufikiri. Mbele zaidi unaona anavyowapita hata Real Madrid huku wamesimama...... Huyu jamaa sijui anatumia uchawi gani. Hili ndiyo wengine linawaudhi maana inakuwa kama vile Messi anacheza na wenzake ambao wameleshwa wakati Gaucho unaona kweli anacheza na Binadamu wenzake...... Ni maoni yangu.

ronaldinho is talented and funny - YouTube
 
Kwa vile mleta maada amewalinganisha magwiji hawa wakiwa Barcelona, nimeona ni vema nikiweka rekodi zao wakiwa wachezaji wa Barcelona tu (Gaucho amechezea klabu zingine zaidi ya Barcelona).


[TABLE="class: grid, width: 613"]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Lionel Andrés "Leo" Messi [/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year[/TD]
[TD="align: center"]Club[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2012/13[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]27[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2011/12[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]37[/TD]
[TD="align: center"]50[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2010/11[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2009/10[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]34[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2008/09[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]31[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]28[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]26[/TD]
[TD="align: center"]14[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]6[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]232[/TD]
[TD="align: center"]196[/TD]
[TD="align: center"]74[/TD]
[TD="align: center"]77[/TD]
[TD="align: center"]58[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Ronaldo de Assis Moreira ( Ronaldinho Gaúcho)[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]La Liga[/TD]
[TD="colspan: 3, align: center"]UEFA CL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[TD="align: center"]Played[/TD]
[TD="align: center"]Goals[/TD]
[TD="align: center"]Assists[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2007/08[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2006/07[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]32[/TD]
[TD="align: center"]21[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2005/06[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]29[/TD]
[TD="align: center"]17[/TD]
[TD="align: center"]13[/TD]
[TD="align: center"]12[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2004/05[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]35[/TD]
[TD="align: center"]9[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]2003/04[/TD]
[TD="align: center"]Barcelona[/TD]
[TD="align: center"]33[/TD]
[TD="align: center"]15[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[TD="align: center"]7[/TD]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[TD="align: center"]TOTAL[/TD]
[TD="align: center"]146[/TD]
[TD="align: center"]70[/TD]
[TD="align: center"]23[/TD]
[TD="align: center"]44[/TD]
[TD="align: center"]18[/TD]
[TD="align: center"]8[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Mataji waliyopata wakiwa na Barcelona
[TABLE="class: grid, width: 500"]
[TR]
[TD]Mataji[/TD]
[TD="align: center"]Messi[/TD]
[TD="align: center"]Gaucho[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]La Liga[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Copa del Rey[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Supercopa de Espana[/TD]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Champions League[/TD]
[TD="align: center"]3[/TD]
[TD="align: center"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UEFA Super Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]FIFA Club World Cup[/TD]
[TD="align: center"]2[/TD]
[TD="align: center"]0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Nani zaidi? Amua mwenyewe!

Sources:
Lionel Messi - Wikipedia, the free encyclopedia
Ronaldinho - Wikipedia, the free encyclopedia
Lionel Messi Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC
Ronaldinho Bio, Stats, News - Football / Soccer - - ESPN FC

Toa huu upuuzi.
Umeambiwa Dinho created Barca, ila Barca created Messi
 
Back
Top Bottom