Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hata ukiwa upo Timu pinzani utapenda awepo ili uone burudani ya mpiraHuyu jamaa alikuwa ni entertainer aliifanya soka kuwa burudani, yaani akiwepo uwanjani unaburudika hata akikufunga unaridhika na kusuuzika roho. Yaani hata yeye mwenyewe alikuwa ana enjoy sanaa yake, sio mchezaji unakuwa serious kama unauwa nyoka. Yeye anakupiga chenga tobo kanzu anakupiga gori alafu anacheka.
Nilimpenda sana huyu jamaa amefanya miujiza mingi sana kwenye soka hasa ya kiburudani.
Kwani messi keshaweka daluga juu kama vinjino, aweke daluga ndio tufanye comparison, lakini mnabishana na mtu aliyestaafu na mwingine bado yumo kwenye game, hakutakuwa na uwianoGaucho hana alichompita messi acheni mihemuko ya kijinga
Hongera yake,ameweka legacy ambayo ni ya kipekee sana
Hizi chuki hata shetani anakushangaa, acha FUNDI aitwe FUNDI, usifananishe Nabii Wa soka na vitu vingine mkuu.Overrated tu huyo lakini si lolote kwa messiah cuccittini
Sana mkuu kwa kizazi chake cha soka basi alitesa hasa. Puyol Na Sergio Ramos walikuwa wana kazi kubwa kumzuia maana jamaa akiwa Na mpira utadhani kaupaka gundiKipaji chake huyu kilikuwa cha hali ya juu. Sasa hivi hakuna mchezaji mwenye kipaji kama cha huyu mchawi wa soka.
Sana mkuu kwa kizazi chake cha soka basi alitesa hasa. Puyol Na Sergio Ramos walikuwa wana kazi kubwa kumzuia maana jamaa akiwa Na mpira utadhani kaupaka gundi
Neymar amechukua World Cup? Na wewe acha mihemko ya kishoga.Zako ni taarabu tupu gaucho Hamna anachomzidi neymar kipi ambacho gaucho amekifanya neymar hajafanya?
Acheni mihemuko ya kike
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldo de Assis Moreira Maarufu kama Ronadinho Gaucho amestaafu soka.
Licha ya Ronadinho kutocheza soka la kiushindani lakini toka mwaka 2015 amekua akicheza michezo ya mabonanza
Kaka na wakala wa mchezaji huyo Roberto de Assis Moreira amethibitisha kuwa umefika mwisho kwa fundi huyo wa kibrazil kucheza soka.
Ronaldinho alianzia soka lake katika klabu ya Gremio ya nchini kwao kabla ya kujiunga na Paris St-Germain mwaka 2001 na baadae kujiunga na Barcelona alikong'ara sana.
Katika msimu wa 2010 -2011 alijiunga na Ac Milan ya Italia kabla ya kurudi kwao na kujiunga na Flamengo mwaka 2011. Kisha alichezea vilabu vya Atletico Mineiro, na Queretaro ya nchini Mexico na kurudi tena kwao Brazil katika klabu ya Fluminense.
Tujikumbushe kidogo aliyokuwa wanafanya uwanjani Ronaldinho
Leta stastics za messi na gaucho tuone nani bora maneno ya vijiwe vya kahawa hatutaki
Akileta nitag. najuwa hataleta mark my words mkuuLeta goals and assist makombe sio takwimu za kupima ubora
Leteni stastics za neymar na gaucho ushabiki wa mihemko hautakuwi