RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Wote wamecheza barca as a free role player na kazi ya free role ni kufunga na kuassist sasa mbona hana lolote gaucho alilolifanya?
 
Nilikuwa napenda sana kumuona Gaucho na yale Mautundu yake.Ila pia nafarijika sana Kumuona Lionel Messi akiwa yupo high akichambua mabeki na lile guu la Kushoto.Gaucho atabaki na Ubora wake na Pia Bwana LM ataendelea kwa ubora wake ambao anao na huwezi compare hao watu.Nyakati zile na nyakati hizi.Mtaishia tu kutukanana sana humu .Ona wenyewe wanavyosema kuhusu kila moja,anagalia comments zao humu zilivyo.

Blaugrana legend Ronaldinho, who provided the assist for Messi's first senior goal against Albacete on 1 May 2005, has revealed he is proud to have played a role in the Argentina captain's career.

"It's a beautiful story. I feel proud to have been part of the beginning of his incredible story," the Brazilian told UEFA.

"He's on the verge of 500 goals for the club (quotes from before El Clasico) and I set up the first of them with my pass. So I played my part in the beginning of his story. I'm really proud of it.

"He's a great friend of mine. He's like a brother too. He's a great man.

"It's wonderful to see everything he's achieved and he still has lots to give – so I feel really proud to have played a part in the beginning of that story."
“Leo Messi reminds me more of Maradona, both left-footed and short, Messi is the best player in the world, along with Kaka and Cristiano Ronaldo.

"For us it is not a surprise. Since he began to come and train with us and we knew we would go down this path. Someday I will explain that I was at the birth of one of the footballing greats: Leo Messi."







Tuendelee na kupuyanga na matusi na kejeli juu ya hao wawili,wote ni bora na wataendelea kuwa bora daima mpaka wapatikane watu kama hao hapo baadaye.Kama ilivyo kwa manabii walikuja na wakaondoka kwa nyakati tofaut tofaut.Huwezi kutuambi sijui nani ndio nabii wa mpira wa maisha.Tuwe tunatumia critical reasoning.Ndio maana soka la africa lipo lipo tu tunabaki kushangilia vya hao jamaa.
Kuanzia mashabiki mpaka wachezaji hatujielewi.
 
Bro alikua vizur sana! Katika soka hakuna ubishi wengine watakuja na ubishi tu wa kumponda ila hamna jinsi
 
Umeongea point sana mkuu
 
Bro alikua vizur sana! Katika soka hakuna ubishi wengine watakuja na ubishi tu wa kumponda ila hamna jinsi
Tatizo la mashabiki wa gaucho hamna evidence za kuonyesha ubora wa jamaa yenu zaidi ya kutia huruma
 
Dah....jamaa alikuwa zaidi ya mchawi,hakika hatokaa asahaulike kwenye ulimwengu wa soka.
 
Ivi mbona gaucho fans boys mkiambiwa mlete statistics for comparison kati ya neymar na gaucho za Brazil,P.S.G,Barca tuone who was the best mnakasirika?
Naomba unikumbushe kama nimesahau Toka nymar kaanza kuchezea timu ya taifa kabeba kombe la dunia?
Brazil ya neymar si ndiyo ile ilipigwa kipigo cha aibu cha 7up na timu ya ujerumani world cup tena neymar akiwa team captain, yule bwana mdogo msimfananishe na gaucho banaau unamaanisha ada ya uhamisho ya neymar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…