RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Kweli neymar kampita gaucho kwa vingi
Neymar kapigwa wiki numbani kwao
Neymar analilia penalties ili awe na magoli mengi
Neymar kakimbia barca ili akawe mchezaji bora
Gaucho yeye;
Aliikuta timu ina ukame wa vikombe akavileta
Gaucho akamtungua David seaman mita 40 ukweni na kurudi na mwali numbani
Gaucho hakusaka uchezaji bora ila uchezaji bora ulimsaka
Gaucho akawatengeneza makinda akina Messi halafu akaenda zake kula bata
Au niwaongeze
Huyo neymar saizi yake ni kina Ricardo quaresma na asipoangalia ataishia kulilia penati
Kutwa mnalilia assist na magoli
Mbona huko timu ya taifa anapoangaliwa yeye kama mhimili hatuzioni hizo statistics zaid ya kula wiki
Once a legend will always remain a legend, that's Gaucho.
Aisee we jamaa sijui hata nikupe zawadi. Utakua tu mhenga mwenzangu. Ni watoto wajuzi mapimbi ndo wataleta hii ligi kufananisha watoto wenzao akina Neymar na alikes dhidi ya legend.
 
Tatizo la mashabiki wa gaucho hamna evidence za kuonyesha ubora wa jamaa yenu zaidi ya kutia huruma
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability

bila kusahau entertainment
 
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability

bila kusahau entertainment

Usitufanye wapumbavu kiongozi. Vyote ulivyovitaja kazidiwa mbali mno na messi. Mmeshaambiwa wekeni statistics za Gaucho hamtaki badala yake mnatuwekea mnavyovijua ninyi.
 
Kama mlicheck game ya jana ndio mtajuwa gaucho ni mchumba sana kwa Messi. Na si first times kufanya hivyo...ndiyo kawaida yake, inshort ndiye mpira wake
 
Arsenal tulikoma mbele yake, ila Chelsea walikoma zaidi.

Akiwa anatabasamu huku anakata viuno aliachia shuti lililotinga moja kwa moja wavuni. Hata kipa hakuruka kuonyesha ushahidi.

Hiyo ilikua Barcelona na Chelsea.

Zidane akavalishwa kanzu ya kwanza, akavuliwa, akapigwa tobo halafu jamaa akachanja mbuga.

Mwisho wa mchezo Zidane akawa anaongea na jamaa huku wanacheka.

Akiwa anadhihirisha ile free spirit aliyonayo, akaenda kwenye press conference huku anakunywa Pepsi wakati ana mkataba na Coca.

Mkataba na Coca ukasitishwa.

Jamaa ni moto
Acha uongo wewe Zidane hajawai ichezea chelsea
 
Kweli neymar kampita gaucho kwa vingi
Neymar kapigwa wiki numbani kwao
Neymar analilia penalties ili awe na magoli mengi
Neymar kakimbia barca ili akawe mchezaji bora
Gaucho yeye;
Aliikuta timu ina ukame wa vikombe akavileta
Gaucho akamtungua David seaman mita 40 ukweni na kurudi na mwali numbani
Gaucho hakusaka uchezaji bora ila uchezaji bora ulimsaka
Gaucho akawatengeneza makinda akina Messi halafu akaenda zake kula bata
Au niwaongeze
Huyo neymar saizi yake ni kina Ricardo quaresma na asipoangalia ataishia kulilia penati
Kutwa mnalilia assist na magoli
Mbona huko timu ya taifa anapoangaliwa yeye kama mhimili hatuzioni hizo statistics zaid ya kula wiki
Once a legend will always remain a legend, that's Gaucho.
Gaucho na goal ngapi Brazil na neymar anazo ngapi?

Alafu hizo ulizoandika ni statistics au umeleta umbea?
 
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability

bila kusahau entertainment
Kama gaucho kamzidi messi freeckick taking mbona gaucho record ya koeman ilimshinda kuivunja mpka messi kaja kuweka yake?
 
Mkuu sorry umeolewa?
No fcuk this ngoja nikuharibie tu.

Wewe una tabia shit sana ni kama vile kuna kitu hauna halafu compensation yake ni kudandia wanaume mitandaoni.

Wanawake wenzako wote hua wanaingia pm moja kwa moja, hawajizungushi kwa kumquote mtu na kuuliza us.nge,

So slide into my pm, halafu sema kua unataka ub00.

Simple like that
 
Sister mbona povu?
 
Back
Top Bottom