RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Aisee we jamaa sijui hata nikupe zawadi. Utakua tu mhenga mwenzangu. Ni watoto wajuzi mapimbi ndo wataleta hii ligi kufananisha watoto wenzao akina Neymar na alikes dhidi ya legend.
 
Tatizo la mashabiki wa gaucho hamna evidence za kuonyesha ubora wa jamaa yenu zaidi ya kutia huruma
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability


bila kusahau entertainment
 
Kombe la dunia kitu gani anolo hadi Philip laham
philip lahm kwenye mabeki wazuri anakosaje??
beki hajui red lkn first eleven hajawah kukosa
tackle zake almost zote ni accurate
 
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability


bila kusahau entertainment

Usitufanye wapumbavu kiongozi. Vyote ulivyovitaja kazidiwa mbali mno na messi. Mmeshaambiwa wekeni statistics za Gaucho hamtaki badala yake mnatuwekea mnavyovijua ninyi.
 
Kama mlicheck game ya jana ndio mtajuwa gaucho ni mchumba sana kwa Messi. Na si first times kufanya hivyo...ndiyo kawaida yake, inshort ndiye mpira wake
 
Acha uongo wewe Zidane hajawai ichezea chelsea
 
Gaucho na goal ngapi Brazil na neymar anazo ngapi?

Alafu hizo ulizoandika ni statistics au umeleta umbea?
 
kwenye ability ambayo mess anamzidi dinho wa kwenye peak ni kufunga magoli tu
vingne vyote kazidiwa
kuanzia passing
free kick taking
penalty kicking
pace
shooting ability


bila kusahau entertainment
Kama gaucho kamzidi messi freeckick taking mbona gaucho record ya koeman ilimshinda kuivunja mpka messi kaja kuweka yake?
 
Mkuu sorry umeolewa?
No fcuk this ngoja nikuharibie tu.

Wewe una tabia shit sana ni kama vile kuna kitu hauna halafu compensation yake ni kudandia wanaume mitandaoni.

Wanawake wenzako wote hua wanaingia pm moja kwa moja, hawajizungushi kwa kumquote mtu na kuuliza us.nge,

So slide into my pm, halafu sema kua unataka ub00.

Simple like that
 
Sister mbona povu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…