RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

Duu!!nenda Gaucho na kipaji chako hakika mpira uliujua kuuchezea
 
Gaucho na goal ngapi Brazil na neymar anazo ngapi?

Alafu hizo ulizoandika ni statistics au umeleta umbea?
Pooovuuu
Ingekuwa uchezaji bora ni magoli na assists zidane wala cannavaro wasingetwaa
Mlilia penati ili awe na magoli meengiii [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…