Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Habari zilizo tikisa dunia ya kandanda ni kitendo cha Ronaldinho gaucho, kurekea UWANJANI kuichezea Ravenna fc ya italia serie c.
Akizungumza mwenyekiti wa klabu hiyo kaongeza kua Ronaldinho asajiliwa Kwa AJILI ya mpira wa ushindani na si maswala ya matangazo. Hivo mashabiki wajiandae kuona soka la Ronaldinho UWANJANI