Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Napata mashaka na mwili wake ataweza kweli kukimbiaInavutia, Akiweka juhudi kwenye mazoezi. Ronaldinho ni moja kati ya mchezaji mzuri
Apambane apunguze kilo kwanza Kuna mchezaji ana miaka 58 na bado ana kimbiza ground, ni mjapaniIla ule udambwiudambwi aliokuwa nao kwenye miguu yake mbele ya mpira nadhani itakuwa imebaki historia
Wajapan ni tofauti na wabrazil mkuu, hasa linapokuja suala la discipline michezoni, wajapani wanajitunza sanaApambane apunguze kilo kwanza Kuna mchezaji ana miaka 58 na bado ana kimbiza ground, ni mjapani
Ndio mana nikashauri aanze na uzito kwanza Kwa changamoto alizo pitia atakua amejifunza maana ya nidhamu UWANJANI hua tunajifunza kutokana na makosa.Wajapan ni tofauti na wabrazil mkuu, hasa linapokuja suala la discipline michezoni, wajapani wanajitunza sana