Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Mbona yupo tofauti na yule niliyemgugo?
Embu tumuone uliyemgugo halafu tutofautishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona yupo tofauti na yule niliyemgugo?
The real trouble makerKibongo bongo inaaminika kua ili uwe mwanaume basi inatakiwa uwe sahbiki wa mchezo wa mpira.
Upande wangu kama Me nimejitahidi sana kuangali mpira ila nimeshindwa kabisa. Nina mpenda na kumshabikia messi tu (sio Barcelona) ila sijawahi kaa dakika 90 kuangalia akicheza mpira.
Kwenye mpira japo sio mfuatiliaji sana ila nawapenda na kuawakubali zaidi watu waiwili tu Ronaldinho na Messi. Hawa naamini ndio binaadamu wenye uwezo mkubwa wa kucheza mpira. Ronaldinho namuweka namba moja ndio binaadamu anayeweza kuchezesha/kuuchezea mpira na Kuufanya vile atakavyo (kwa mujibu wa clip za YouTube nilizowahi tizama)
Messi namuweka namba 2 ndio binaadamu anayejua kucheza mpira kuliko yoyote yule hapa duniani....Binafsi nampenda sana Dinyo, Yupo Cool. Kila mtu anampenda hua hachukii. Ukuwa Cool and Kind you won my Heart.
Kuna clip nitaweka link Dinyo anafanya vitu nilivyokua naona kwenye muvi ya Shaolin Soccer.. Kasimama kwenye boksi la 18 halafu anapiga mpira unagonga mwamba kisha unamrudia anapiga tena meamba zaidi ya mara tano (sio kubahatisha). Nyingine kapiga danadana zaidi ya 50 akiwa kafunga kitambaa usoni.
Sidahani kama messi anaweza fanya haya.
Kama upo stressed au bored wala usiende kunywa pomba..Nenda YouTube then tafuta Clip za Dinyo utafurahi kwa bei sawa na bure
Live long Ronaldinho
My Ambition siku moja nikutembelee nikupe heshima yako. Either ukiwa hai au kwenye kaburi lako (kama utatangulia)View attachment 1429176
😀😀 Kuna watu duniani ni wakipekee nilijaribu sana kumuiga huyu jamaa.Naombeni mnitafutie picha ya Dinyo akiwa kanuna..
Akiwa na mpira ni mtu mwingine.He's a peace maker..!
Sure thing. Kuna mambo hayaigwi ni inborn characteristics. Huyu kutabasamu sio anafanya yy kama ww unavyoamua utabasamu. Bali inakuja Involutary act (?)😀😀 Kuna watu duniani ni wakipekee nilijaribu sana kumuiga huyu jamaa.
Nadhani niliona akiwa mdogo.Embu tumuone uliyemgugo halafu tutofautishe
Hapo namjua tuu kobe, Don.
Ndio msiba wake.Hahaha, basi wewe issue hauko kabisa.
Nafikiri hata Kobe ni kwa sababu ya msiba wake.
Ndio msiba wake.
Kwenye michezo (yote), sipo kabisa.