Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Bondia bora wa muda wote katika madaraja yote ya ngumi (Pound for pound),Floyd Mayweather aliwahi kusema "If it makes dollars it makes sense" kauli hii aliitoa baada ya watu kumshutumu kwamba amefulia kwa kitendo cha yeye kucheza exhibition fights na kuacha kupigana na real boxers wanaotrend kwa sasa. Floyd akawajibu yeye kwa sasa anachoangalia ni pesa tu hakuna alichokiacha kwenye boxing ku prove kwamba yeye ndiye bondia bora wa muda wote.
Hii ni sawa pia kwa Christiano Ronaldo hakuna alichokiacha kwenye mpira ku prove kwamba yeye ni bora, hivyo basi kwa muda uliobakia ni bora a focus kwenye kuangiza pesa zaidi maana kwa alipofikia hakuna anachodaiwa kwenye mpira.
Pia Floyd aliwahi kusema "Tough times never last but tough people do" ,hii kauli pia inasadifu vilivyo kwa CR7 kutokana na misukosuko aliyoipitia kipindi cha hapa kati.