Ronaldo aichezea Man United, aondoka uwanjani baada ya kufanyiwa 'sub'

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Ronaldo aichezea Man United, aondoka uwanjani baada ya kufanyiwa 'sub'

Cristiano Ronaldo ameichezea Manchester United mechi ya kwanza baada ya kukosekana kwa zaidi ya mwezi mmoja, pamoja na hivyo alicheza kwa dakika 45 dhidi ya Rayo Vallecano kisha akaondoka uwanjani wakati kipindi cha pili kikiendelea.

Mashabiki walimpiga picha akitoka Uwanja wa Old Trafford, wapo walioamini alicheza mechi hiyo ili kujiweka fiti kwa kuwa anaondoka, wengine wakatafsiri ni utovu wa nidhamu kwa klabu na wachezaji wenzake.

Katika mchezo huo wa kirafiki ni #Ronaldo pekee ndie aliyefanyiwa mabadiliko wakati wa mapumziko, huku mchezo ukimalizika kwa matokeo 1-1.

Kocha wa #ManUnited, Erik ten Hag hakuzungumzia suala hilo.


===============

Glum-looking Cristiano Ronaldo leaves Old Trafford before the final whistle after he was the ONLY player to be hauled off at half-time against Rayo Vallecano

Cristiano Ronaldo left Manchester United's friendly with Rayo Vallecano early, intensifying the scrutiny over his Old Trafford future, according to reports.

He played the first 45 minutes of Sunday's friendly against Rayo Vallecano but was the only player to be substituted off by manager Erik ten Hag at halftime.

The reported early exit comes amid uncertainty over his Old Trafford future with Ronaldo wanting out of the club as United have no Champions League football this season.

The forward received a rapturous reception from United fans in attendance but he looked glum as he briskly made his way to his car, according to The Times.

Ten Hag did not address the matter after the game as the club had already decided prior that the Dutchman would not hold a post-match press conference and he was not quizzed on Ronaldo's reported early exit in his only post-match interview with the club's in-house TV station, MUTV.

The report adds that the club declined to comment when asked if Ronaldo had permission to leave the stadium before the end of the match.

Source: DailyMail
 
Zama zake zimepita lazima akubali, kama bado angekuwa na soko angeshaondoka Man Utd, hakuna timu inayomtaka.

Makocha wanataka kutengeneza timu inayofanya kazi kwa pamoja, sio kumtegemea mtu mmoja aje kutengeneza jina lake kupitia timu yako.
 
Sasa abaki kufanya nini wakat ni mchezo wa kupasha misuli halafu sio kocha
 
Anajiona eye nani Kwa mfano,akubali tu kuwa umri umemtupa mkono hawezi Fanya alikuwa anafanya alipokuwa madrid, maana hata huko Juve hakushaine kiivyo
 
Zama zake zimepita lazima akubali, kama bado angekuwa na soko angeshaondoka Man Utd, hakuna timu inayomtaka.

Makocha wanataka kutengeneza timu inayofanya kazi kwa pamoja, sio kumtegemea mtu mmoja aje kutengeneza jina lake kupitia timu yako.
Shida si ubora wa ronaldo.. Cr7 bado ni bora kuliko wachezaji wengi saana, uzee wwa ronaldo si ujana wa nketiah pale arsenal, msimu uliopita pamoja na man u mbovu alibishana na kina salah, son kwa magoli, shida ya ronaldo inakuja kwenye mshahara wake, cadabra juzi tu kaongezewa mkataba na AC MILAN atakuwa anachukua kama pauni milioni 1 au 1.5 kwa mwaka, rudi sasa kwa cr7 usikute anataka kwenye pauni milioni 8 huko kwa mwaka, ashushe mshahara aseme kwa wiki apewe pauni laki kwa wiki kama hajagombaniwa na kila timu.

Lakini pia anataka timu ya kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE
 
Nawaonea huruma sna man u nawaona Kama ss liver tulivyokuwa kwa takrban miaka 20 bila title ya ligi kuu ninhatari sijui mnampamgo gani na dunia sas HV hkn jipya kwa wachezaji mambo ni Yale yake ahakuna vipaji nasema hakunaa media zimewaaribu vibaya sna wachezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…