Ronaldo akubaliane na hali halisi, aondoka uwanjani kabla mechi haijaisha

Ronaldo akubaliane na hali halisi, aondoka uwanjani kabla mechi haijaisha

Thaari

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2022
Posts
402
Reaction score
645
Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag.

Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya vizuri hata bila ya uwepo wake.

----------------

Kocha kumchukulia hatua Ronaldo baada ya kuondoka uwanjani mechi ikiendelea

Cristiano Ronaldo amefanya tukio hilo kwenye Uwanja wa Old Trafford baada ya kuwekwa benchi muda wote wakati Manchester United ikishinda 2-0 dhidi ya Tottenham katika Premier League.

Kocha wa ManUnited, Erik ten Hag alipoulizwa kuhusu tukio hilo lililotokea dakika ya 89 amesema “Nilimuona akiondoka lakini sijazungumza naye, nitamshughulikia kesho (leo Oktoba 20, 2022) kwakuwa muda huu tunafurahia ushindi.”.

Hii ni mara ya pili Ronaldo anafanya tukio la aina hiyo chini ya Ten Hag, alifanya hivyo Julai 2022 wakati timu ikicheza dhidi ya Rayo Vallecano baada ya kutolewa uwanjani kipindi cha kwanza.

==========

Cristiano Ronaldo storms down the tunnel and out of Old Trafford BEFORE full-time after Erik ten Hag didn't bring him on in United's 2-0 win over Spurs... with boss vowing to 'deal with him tomorrow'

Erik ten Hag will take action over Cristiano Ronaldo’s latest strop on Thursday after the Portugal star stormed away from Manchester United’s victory over Tottenham at Old Trafford before full-time.

Ronaldo responded to being left on the bench as an unused substitute by disappearing down the tunnel in the 89th minute, and Sportsmail understands he may even have left the stadium before the match finished.

Ten Hag didn’t give an answer when he was asked if Ronaldo had been given permission to leave. The United manager said: ‘I have seen him, but I didn’t speak to him. I will deal with that tomorrow, not today. We are celebrating this victory.

‘I don’t pay attention today. I will deal with it tomorrow. I want to keep the focus on the team and a magnificent performance from all 11 players and the subs who came on. It was a squad performance.’

It is the second time Ronaldo has left a United game without permission under Ten Hag. In July, the 37-year-old exited Old Trafford at half-time after being substituted in a pre-season friendly against Rayo Vallecano.

Ten Hag described the incident as ‘unacceptable’ but pointed out that Ronaldo wasn’t the only United player who went early.

The five-time Ballon d’Or winner’s behaviour has been a problem for both Ten Hag and his predecessor Ralf Rangnick.

Only three days, Ronaldo attracted more negative publicity when he was substituted against Newcastle by Ten Hag and left the pitch shaking his head and muttering.

In the build-up to this game, Ten Hag said he had no problem with Ronaldo’s reaction as long as it was ‘in a quiet normal way’.

But the Dutchman will be furious that Ronaldo’s latest sulk has overshadowed United’s best performance under him, with goals from Fred and Bruno Fernandes giving United a richly deserved 2-0 win.

Alan Shearer, who was on commentary for Amazon Prime Video during the match, said: ‘I understand his frustration but if you look at the bigger picture his team has put in a really good performance.

‘The manager had a big decision and it’s been proven right. You’re talking about maybe the best player we’ve ever seen, but it makes things difficult for the manager.

‘He’ll be asked about that but he should be talking about the players on the pitch tonight.’

Ronaldo’s former United team-mate Patrice Evra added: ‘Everyone is different. I want to stay on the United performance, not to protest against Cristiano.

‘He might have said to Ten Hag, “I am going in”, and we are going to make a story just showing him walking. Maybe he said he needed some treatment.

‘I don’t want to find any excuse, but I want to be focused on the story of United and we have to stop talking every day about Cristiano.’

Thierry Henry said: ‘I don’t know, Ten Hag has to deal with it. This was a magnificent game for Man United, the story shouldn’t be Ronaldo walking off.’

Ten Hag tried to focus on the rest of his players as he celebrated an excellent United performance.

He paid tribute to Marcus Rashford, who replaced Ronaldo on Sunday and started ahead of him on Wednesday night.

‘Offensive wise, you need dynamic and that is what Marcus can bring. You saw in the last 20 minutes against Newcastle, he came in and changed the game.’

Source: DailyMail
 
Dah, jamaa alirudi kwa mapenzi makubwa na usshawishi wa babu,

Katika vitu huenda anajutia ni kurudi United na kuikacha city.. Binafsi naamini hajaisha.
Mi nakubaliana na uamuzi wake! Huyo Ten, anamuharibia tu R7 mipango yake! Alishaomba tena kwa nguvu kubwa asisajiriwe, lakini hao MANUTD wakamng'ang'ania, kumbe wazidi kumdharirisha tu na benchi!
Januari 2023 wamuachie aende zake!
 
Ronaldo aondoke , nipo upande wake , kumweka bench ni kumdhalilisha sana , jamaa bado ni mchezaji Bora wa kumfikia ni wachache....!! January asepe zake , hata ningekuwa Mimi ningeondoka Kwa hasira
 
Dah, jamaa alirudi kwa mapenzi makubwa na usshawishi wa babu,

Katika vitu huenda anajutia ni kurudi United na kuikacha city.. Binafsi naamini hajaisha.
But Man utd coach ameamua kumdhalilisha Ronaldo, inaonekana wazi hayumo kwenye programs za coach, Ronaldo kaifanyia Man Utd mengi mazuri ni vema wakamwacha kwa amani na upendo
 
Dah, jamaa alirudi kwa mapenzi makubwa na usshawishi wa babu,

Katika vitu huenda anajutia ni kurudi United na kuikacha city.. Binafsi naamini hajaisha.
City ndio walimkataa sio yeye aliwakataa city
 
Mi nakubaliana na uamuzi wake! Huyo Ten, anamuharibia tu R7 mipango yake! Alishaomba tena kwa nguvu kubwa asisajiriwe, lakini hao MANUTD wakamng'ang'ania, kumbe wazidi kumdharirisha tu na benchi!
Januari 2023 wamuachie aende zake!
Unajuaje kama Man U walimng'ang'ania? Professionally, Man U hawakutakiwa kuja na kusema NDIYO, tumemruhusu aondoke.

Walikuwa wanasema hauzwi, at the same time aliruhusiwa kutafuta team.. We all know kuwa alitafuta sana team, akakosa.

Maisha ni safari, hata hapo kwenye kibarua chako muda utafika nguvu zako zitapungua, au basi ufanisi utapungua, itabidi uachie vijana watekeleze majukumu yako mengi na wewe unabaki kama mshauri na final touches.. CR7 anatakiwa anajue kuna akina Sancho wanatakiwa wapewe game time kubwa ili wa improve kwajili ya maendeleo ya team.

Mbinafsi sana yule legend wetu
 
Kitu sielewi ni kuwa Hana maelewano mazuri na Hag au nini?? Maana ukweli ni kwamba huyu jamaa Bado hajaisha
Huyu bwana alijiharibia mwenyewe toka azire kwenda pre-season; na kauli zake kuwa anataka kuondoka ManU.

Hakujua kuwa Ten Hag si kama mameneja waliomtangulia waliokuwa wanamwona kama indispensable.
 
Huyu ten hag akitaka kujiharibia kazi basi amchekee huyo jamaa anaweza asifike hata top 4.
 
Ifike mahali United wakubali kumwachia Ronaldo, Binafsi naona hata mchango wake kwenye timu unapungua so ili yasitokee mengine kama haya bora kumuachia ajue pa kwenda. Maoni tu🙃
 
Back
Top Bottom