Ronaldo Amaliza Ukame na Kuweka Rekodi Mpya World Cup šŸ”„

Ronaldo Amaliza Ukame na Kuweka Rekodi Mpya World Cup šŸ”„

Mjomba Malume

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2025
Posts
927
Reaction score
1,368
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo.

Mabao hayo:

  • Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa.
  • Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti.

Ronaldo sasa amefunga kwenye michuano ya World Cup ya:

  • 2006
  • 2010
  • 2014
  • 2018
  • 2022
  • 2026

Mabao yake dhidi ya Uzbekistan pia yamemfanya amefikisha:

  • Mabao 145 ya kimataifa šŸ”„
  • Ndani ya mechi 230 akiwa na taifa la Portugal

Na anaendelea kuwa:

- Mchezaji mwenye mabao mengi zaidi ya ngazi ya timu ya taifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya soka la wanaume

Baada ya mechi kuisha, Ronaldo alienda kwenye camera na kupaza sauti:

ā€œI’m back, I’m back.ā€
 
IMG_9187.jpeg
 
Back
Top Bottom