Mjomba Malume JF-Expert Member Joined Apr 8, 2025 Posts 927 Reaction score 1,368 Jun 24, 2026 #1 Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo. Mabao hayo: Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa. Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti. Ronaldo sasa amefunga kwenye michuano ya World Cup ya: 2006 2010 2014 2018 2022 2026 Mabao yake dhidi ya Uzbekistan pia yamemfanya amefikisha: Mabao 145 ya kimataifa 🔥 Ndani ya mechi 230 akiwa na taifa la Portugal Na anaendelea kuwa: - Mchezaji mwenye mabao mengi zaidi ya ngazi ya timu ya taifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya soka la wanaume Baada ya mechi kuisha, Ronaldo alienda kwenye camera na kupaza sauti: “I’m back, I’m back.”
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo. Mabao hayo: Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa. Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti. Ronaldo sasa amefunga kwenye michuano ya World Cup ya: 2006 2010 2014 2018 2022 2026 Mabao yake dhidi ya Uzbekistan pia yamemfanya amefikisha: Mabao 145 ya kimataifa 🔥 Ndani ya mechi 230 akiwa na taifa la Portugal Na anaendelea kuwa: - Mchezaji mwenye mabao mengi zaidi ya ngazi ya timu ya taifa kuliko mchezaji yoyote kwenye historia ya soka la wanaume Baada ya mechi kuisha, Ronaldo alienda kwenye camera na kupaza sauti: “I’m back, I’m back.”
Mjomba Malume JF-Expert Member Joined Apr 8, 2025 Posts 927 Reaction score 1,368 Jun 24, 2026 Thread starter #3 Harmful said: View attachment 3614505 Click to expand... Naona kijana umefurahi.
fogoh2 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 6,029 Reaction score 6,379 Jun 24, 2026 #4 Kutokufunga mechi moja tu ndio ukame tayari
Mjomba Malume JF-Expert Member Joined Apr 8, 2025 Posts 927 Reaction score 1,368 Jun 24, 2026 Thread starter #5 fogoh2 said: Kutokufunga mechi moja tu ndio ukame tayari Click to expand... Mechi moja kivipi wakati unaambiwa mechi kumi😅
fogoh2 said: Kutokufunga mechi moja tu ndio ukame tayari Click to expand... Mechi moja kivipi wakati unaambiwa mechi kumi😅