Mtwakulyalam Chotipango
Member
- Mar 19, 2018
- 83
- 53
HATERS LIKE YOU DIE EARLY. THE MAN IS A VERY GOOD PLAYER. UMRI ULE HUO UDAMBWI LAZIMA USIWEPO.Sasa hivi kabakiza kuvizia ndani ya box kama namba 9 mithili ya Nestroy,kucheza mpira na udambwi kwisha habari yake.
Hakuna cha "haters" we mwenyewe umekubali kwa umri hule udambwi patupu. Yaani anawahi kwenye box kusubiri cross.HATERS LIKE YOU DIE EARLY. THE MAN IS A VERY GOOD PLAYER. UMRI ULE HUO UDAMBWI LAZIMA USIWEPO.
SASA AFANYEJE KAMA SIO KUPIGA MAGOLI?Hakuna cha "haters" we mwenyewe umekubali kwa umri hule udambwi patupu. Yaani anawahi kwenye box kusubiri cross.
sijawah ona mafanikio kwenye udambwi udambwi next fixture itasomeka 0-3 aggregate wangeweka udamwiudambwi huwenda ingesomeka 0-0Hakuna cha "haters" we mwenyewe umekubali kwa umri hule udambwi patupu. Yaani anawahi kwenye box kusubiri cross.
Ataendelea kufunga kama waleta cross sio wachoyo. Lakini amerokodiwa kwenye youtube amekasirika mwenzake alipofunga badala ya kumpa pande yeye afunge.S
SASA AFANYEJE KAMA SIO KUPIGA MAGOLI?
hiyo hata mi niliiona huo tunaita ubinafs kapewa mipira kama miwili chance nzuri kakosaAtaendelea kufunga kama waleta cross sio wachoyo. Lakini amerokodiwa kwenye youtube amekasirika mwenzake alipofunga badala ya kumpa pande yeye afunge.
kama messi....sijawah ona mafanikio kwenye udambwi udambwi next fixture itasomeka 0-3 aggregate wangeweka udamwiudambwi huwenda ingesomeka 0-0
Cheza huo udambwi tukuone mkuuSasa hivi kabakiza kuvizia ndani ya box kama namba 9 mithili ya Nestroy,kucheza mpira na udambwi kwisha habari yake.
Mbona messi alishawahi kufunga kama hilo goli