Ronaldo anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka

Ronaldo anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka

Joined
Mar 19, 2018
Posts
83
Reaction score
53
Eebana huyu jamaa anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka. Mgoli wake wa pili unaweza toa Harara, mapunye , utapiamlo, kaswende, kisonono, tb, typhod, kuhala damu, tetekuwanga, kifaduro, preasure, upungufu wa maji mwilini, na kuongeza kinga za mwili kwa walio pungukiwa.........
d064cc5b6adb86a90899260fac8d699e--cristiano-ronaldo--cr-ronaldo.jpg
 
Huyu jamaa weka mbali na watoto aisee kadri umri unavyozidi kujongea ndio anazidi fanya mambo hatari zaidi....
 
Ni hatari sana..... Mwenyewe anakwambia siri ya mafanikio yake ni "Kufanya kazi kwa bidii"...... Hard work pays off!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mi nipo kijijini sikuliona hebu liwekeni hapo maana nina kaswende itoke
 
Ataendelea kufunga kama waleta cross sio wachoyo. Lakini amerokodiwa kwenye youtube amekasirika mwenzake alipofunga badala ya kumpa pande yeye afunge.
hiyo hata mi niliiona huo tunaita ubinafs kapewa mipira kama miwili chance nzuri kakosa
 
Asee yaan leo kama kuna mtu hata taja jina la Cr7 atakuwa na matatizo.
 

Attachments

  • kxh24I5rl5.jpg
    kxh24I5rl5.jpg
    16.8 KB · Views: 40
Ulimwengu umejaa majitu mavivu huu...hivi hili goli lina ajabu gani?



Vitu vya kawaida sana kwenye soka unless wakuja au umri mdogo.



Narudia tena, hilo goli la kawaida tu. Ni vile Team Ronaldo vs Team Messi hawalali, lkn mi sioni jipya. Tazama videos hizo.



Na wewe mwenye huu uzi koko, next time andika KUTUDHIHIRISHIA na sio huo upupu koko ulioandika hapa.
 
Back
Top Bottom