Ronaldo anaendelea kutudhihilishia walimwengu kuwa Dunia bado inaviumbe wa ajabu katika suala la soka

Mashabiki wa mpira bwana siku mchezaji au timu ikifanya vizuri sifa kibao ila ngoja aharibu utasikia mara ooh umri umeenda atuachie timu yetu, mara oooh hana commitment etc. Huwa nacheka sana.
 
Mashabiki wa mpira bwana siku mchezaji au timu ikifanya vizuri sifa kibao ila ngoja aharibu utasikia mara ooh umri umeenda atuachie timu yetu, mara oooh hana commitment etc. Huwa nacheka sana.
Hao mashabiki Maandazi wapo wengi sana huku Bongo
 
Mbona Rooney alifunga zaidi ya hilo zidi ya man CTY...sio sababu ya kuanzisha uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…