Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mkuu na wewe wahi kwenye box kusubir crossHakuna cha "haters" we mwenyewe umekubali kwa umri hule udambwi patupu. Yaani anawahi kwenye box kusubiri cross.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu na wewe wahi kwenye box kusubir crossHakuna cha "haters" we mwenyewe umekubali kwa umri hule udambwi patupu. Yaani anawahi kwenye box kusubiri cross.
msimu aliokuwa mchezaji bora, statistics zilikua zinaonesha udambwiudambwi?kama messi....
Anajua kufunga akitangulia kwenye box halafu aletewe cross ,itakuwa ajabu asipofunga.Ronaldo anajua kufunga.
Kifo cha mende miguu juu?
Sasa hivi kabakiza kuvizia ndani ya box kama namba 9 mithili ya Nestroy,kucheza mpira na udambwi kwisha habari yake.[/Q
Ukitaka kujua radha ya udambwidambwi waulize PSG kwa Neymar Jr, . PSG hawana hamu ya huo udambwidambwi unao sema wewe. Mpira siyo udambwidambwi , mpira ni magori, magori, magori mkuu.
Hao mashabiki Maandazi wapo wengi sana huku BongoMashabiki wa mpira bwana siku mchezaji au timu ikifanya vizuri sifa kibao ila ngoja aharibu utasikia mara ooh umri umeenda atuachie timu yetu, mara oooh hana commitment etc. Huwa nacheka sana.
kana kwamba akaburuza ulim au sio chief hahahah