uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Im a Messi fan ila Mwamba anaandamwa sana 🤣 hapumui wamwache ale pensheni kwa amaniDah.
Source:
Ila jamaa hela anazipenda mno,angeshusha mshahara asingekosa timu ulaya
Maisha ni zaidi ya utajiri au mshahara mkubwa.Hivi utaweza kuishi nchi ambayo Haina uhuru wa kuabudu, ukija na dini yako huruhudiwi kufanya ibada kwa uhuru, na hata nyumba za ibada wanazozitambua ni za Imani Yao tuu?Kosa vyote usikose akili
Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa 2023/2024
Pia imasemwa atakuwa anaenda uarabuni siku mbili kabla ya mechi,mechi ikiisha anapanda pipa anarudi spain
BBC Sports
Huyu mtu anateseka kwa kukosa akili na washauri
RONALDO AMEKOSA AKILI????
Hii ni dharau Kali ya Mwaka???
Ronaldo AMEKOSA AKILI????
Ronaldo AMEKOSA AKILI????
Ama kweli GT TUNAISHA KWA KASI HUMU NDANI.