Ronaldo anatia huruma aomba kujiunga na Newcastle united kwa mkopo msimu ujao

Ronaldo anatia huruma aomba kujiunga na Newcastle united kwa mkopo msimu ujao

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa 2023/2024

Pia imasemwa atakuwa anaenda uarabuni siku mbili kabla ya mechi, mechi ikiisha anapanda pipa anarudi spain

BBC Sports

Huyu mtu anateseka kwa kukosa akili na washauri
 
Kosa vyote usikose akili

Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa 2023/2024

Pia imasemwa atakuwa anaenda uarabuni siku mbili kabla ya mechi,mechi ikiisha anapanda pipa anarudi spain

BBC Sports

Huyu mtu anateseka kwa kukosa akili na washauri
Maisha ni zaidi ya utajiri au mshahara mkubwa.Hivi utaweza kuishi nchi ambayo Haina uhuru wa kuabudu, ukija na dini yako huruhudiwi kufanya ibada kwa uhuru, na hata nyumba za ibada wanazozitambua ni za Imani Yao tuu?
 
Back
Top Bottom