Ronaldo anatia huruma aomba kujiunga na Newcastle united kwa mkopo msimu ujao

Yaani mtu aliyejipambania tangu akiwa mtoto masikini mpk kupata utajiri wa kuweza kuilisha tanzania ukiwemo ww kwa mwaka mzima unamwita amekosa akili? Tuko na kizazi cha ajabu sana
Hana huo utajiri wa kuilisha Tanzania mwaka mzima pitia data vizuri, anazidiwa had na mo dewji utajiri mkuu,
 
Christiano ronaldo aliyehamia klabu moja uko uarabuni amelazimisha kipengele cha kujiunga na Newcastle united majira ya joto ikiwa new castle united ya uingereza utafuzu kucheza UEFA msimu wa 2023/2024

Pia imasemwa atakuwa anaenda uarabuni siku mbili kabla ya mechi, mechi ikiisha anapanda pipa anarudi spain

BBC Sports

Huyu mtu anateseka kwa kukosa akili na washauri
Kwahiyo hapo ndo anatia huruma? Nchi hii inawatu wa hovyo Sana 😂😂😂
 
Ukishindana sana na messi hayo ndo yanakukuta
Hawezi shindana na mess kipengele Cha world cup Kisha watofautisha ,so hakuna jipya hapo. Ni nyie mashabiki mnatengeza perception za kwenu.
 
Ni kweli penaldo hawezi kushindana na Messi
 
Yaani mtu aliyejipambania tangu akiwa mtoto masikini mpk kupata utajiri wa kuweza kuilisha tanzania ukiwemo ww kwa mwaka mzima unamwita amekosa akili? Tuko na kizazi cha ajabu sana
Nimeshangaa sana aisee. Hivi vibando vinawapa watu uhuru wa kujimwambafai wakati hajawahi fikia status ya hata kiongozi wake wa Kata

Mwenzio kakubaliana nao kimkataba kabsaa wewe unamuita hana AKILI.
 
Yaani mtu aliyejipambania tangu akiwa mtoto masikini mpk kupata utajiri wa kuweza kuilisha tanzania ukiwemo ww kwa mwaka mzima unamwita amekosa akili? Tuko na kizazi cha ajabu sana
Sijui yy na Ronaldo nani hana akili.😂😂😂

asichokijua ni kuwa wamiliki wa Hiyo team ndio wamiliki wa Newcastle
 
RONALDO AMEKOSA AKILI????

Hii ni dharau Kali ya Mwaka???
Ronaldo AMEKOSA AKILI????
Ronaldo AMEKOSA AKILI????

Ama kweli GT TUNAISHA KWA KASI HUMU NDANI.
Hata Reginald Mengi na Augustine Mrema walikosa akili. Kukosa akili hakuchagui umaarufu....
 
Yaani mtu aliyejipambania tangu akiwa mtoto masikini mpk kupata utajiri wa kuweza kuilisha tanzania ukiwemo ww kwa mwaka mzima unamwita amekosa akili? Tuko na kizazi cha ajabu sana
Unaweza kuwa na akili miaka yote ya ujanani afu kakatokea kademu kama Jack Ntuyabaliwe kakakufanya kiazi.
 
Back
Top Bottom