Ana hoteli inaitwa CR7 kule ureno ,ndani yake kuna chumba kina alama ya 7 iliyochongwa kwa dhahabu ,ndio mzizi wakeKwani huyu jamaa jezi namba 7 kuna siri gani nyuma yake?
Acha upotoshajiAna hoteli inaitwa CR7 kule ureno ,ndani yake kuna chumba kina alama ya 7 iliyochongwa kwa dhahabu ,ndio mzizi wake
Hamna chochote ila ni kama brand na preference tu, ni kama ronaldinho alivyokua anatumia namba 10 au leo hii mtu kama lewandowsky ukute anatumia namba 9 au lukaku anavyo tumia namba 9 au 10 kila anapoenda!Kwani huyu jamaa jezi namba 7 kuna siri gani nyuma yake?
Funny eti jina linampaisha [emoji23]Ameshindwa nini kumwachia cavani iyo 7,, for me cavan ni bora kuliko ronaldo kwa sasa, sema jina linampaisha.
CR7
GGMU
Cavan ndiye aliye mpaka ronaldo na sio ronaldo alimnyang'anya cavan! Nenda kwenye insta ya man united utaona post cavan aliyo andika kama ishara ya kumpa ronaldo namba 7 yake.Ameshindwa nini kumwachia cavani iyo 7,, for me cavan ni bora kuliko ronaldo kwa sasa, sema jina linampaisha.
Kwanini asiende tim ambayo haijawahi chukua uefa akaisaidie?π€£
Alisepa manure 2009 kwenda Madrid piga hesabu mwenyeweHv jamaa amechukua miaka mingapi kurudi Man U
Yule Valencia alishawahi ivaa7 ni jersey ya heshima man utd usipoitendea haki unanyang'anywa na kipindi cha conservative Ferguson ilikuwa ni bora asivaliwe na mtu kuliko kumpa mtu asiyeeleweka, ilikuwa lazima uoneshe maajabu kwanza uwanjani ndio uaminike refer George best, cantona, Beckham, cristiano. Miaka ya hivi karibuni imechezewa sana kibiashara na depay, Sanchez, di maria, cavani
Ndio, hakuitendea haki baadae alibadilishiwa na kupewa 25Yule Valencia alishawahi ivaa